Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mheshiwa mkuu wa Nchi, umemtumbua Mrisho Gambo kimakosa sana. Na hapa ninaona kama ameonewa sana. Gambo alikuwa mkuu wa mkoa. Mkuu wa mkoa ndio top say ya mkoa wa Arusha, iweje Mkurugenzi na DC...
14 Reactions
216 Replies
24K Views
Sikilizeni makamanda wenzangu, amesema anafuatilia tunavyomnanga sasa tutakoma huko Tarime.
4 Reactions
66 Replies
7K Views
Gazeti la Nipashe la leo limeripoti kuwa ujenzi wa daraja refu zaidi Afrika Mashariki la Magufuli linalojengwa kukatiza ziwa Victoria kuunganisha kati ya Kigongo na Busisi unahujumiwa. Kutokana...
1 Reactions
78 Replies
9K Views
Waziri wa Tamisemi mh Ummy Mwalimu amesema wizara ya Tamisemi inamtesa na kumnyima usingizi kwa mambo mawili. La kwanza ni wimbi la watumishi kuhama kutoka vijijini kwenda kwenye majiji na...
0 Reactions
67 Replies
7K Views
Mgao wa maji na umeme unaoendelea hapa nchini umeitikisa hospitali ya KCMC inayotegemewa na zaidi ya watu millioni 15 nchini na imelazimika kusitisha baadhi ya huduma kama vile upasuaji...
13 Reactions
78 Replies
7K Views
Meya wa manispaa ya Kinondoni mh Songoro amesema stendi ya Daladala ya Mwenge itafunguliwa kabla ya June, 2022. Songoro amesema ujenzi wa stendi ulisimama kwa takribani miezi 8 ili kupisha...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Alichofanya ni kuwaambia watu wa Hai kuwa hawana Mbunge maana anashinda Dodoma akila bata. Watu wa hai wakampiga chini Mbowe. Sasa kuwa na kesi kama Armed robbery kwa aliyekuwa mkuu wa ulinzi na...
1 Reactions
42 Replies
3K Views
Wanabodi, Natanguliza kwa kuomba msamaha kutumia maneno makali kwenye uzi huu, kwasababu kwa hapa nchi yetu ilipofika, labda kwa kutumia maneno makali kama haya, ndio yatasaidia tuweze kuelewana...
12 Reactions
210 Replies
32K Views
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt. Ashatu Kijaji, amesema wizara inasubiri ripoti ya tume iliyoundwa kuchunguza tukio la aliyewahi kuwa Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul...
17 Reactions
137 Replies
17K Views
Urefu wa kamba yako ni Mshahara wako na stahiki nyingine kisheria ndio maana Rais akasema kula kulingana na Urefu wa kamba yako wala hakusema uibe mali za Umma!! Wabaya wa Samia kisiasa ndo...
13 Reactions
144 Replies
8K Views
Hayati JPM alikuwa na mapungufu yake ila pia alikuwa na mambo mazuri. Sisi wapinzani huwa tunakosoa kwa kuangalia shilingi upande mmoja tu Sasa tokea amefariki huyu hayati JPM wamachinga ni...
7 Reactions
67 Replies
5K Views
Salaam Wakuu. Kwa mjibu wa Katiba, rais ameajiriwa na Wananchi kuwatumikia. Hivyo kama Mwajiri, namtaka au namuamuru rais Samia awajengee kivuko hawa Wananchi. Ziara yake moja inatosha kuwawekea...
4 Reactions
11 Replies
1K Views
Burundi na Tanzania zimetia saini mkataba wa $900m kujenga njia ya reli itakayounganisha nchi hizo mbili jirani, tovuti ya Citizen imeripoti. Reli ya 282km ya standard gauge itaanzia Uvinza...
10 Reactions
55 Replies
5K Views
Tokea kesi hii Maarufu ya Mbowe na Wenzake ianze July 2021 katika mahakama ya Kisutu hadi sasa iko Mahakama kuu kitengo cha uhujumu uchumi na ugaidi, magazeti ya Habari Leo na Daily News ambayo ni...
6 Reactions
31 Replies
3K Views
“Siogopi kufungwa. Kama mliniteua niwatetee, nitawatetea kwa nguvu zangu zote juu ya majizi, tumeibiwa vya kutosha, madini yetu yanachimbwa yanapelekwa nje na hatupati kitu,” “Wengine wamelipwa...
18 Reactions
226 Replies
19K Views
Mchungaji Anthony Lusekelo aka mzee wa upako amewataka wale wote wenye mapenzi mema na nchi yetu bila kujali itikadi za kidini na kisiasa tumuombee Rais Samia. Mchungaji Lusekelo amesema taifa...
7 Reactions
31 Replies
3K Views
Na Joseph Martin, Nottingham, UK. NIKIWA katikati mwa viunga vya jiji la London mwishoni mwa wiki, nilipata fursa ya kupumzika katika eneo maarufu la kitalii “the London Eye.” Nikiwa pale...
26 Reactions
145 Replies
16K Views
Moshiblog Updates MOSHI: MICHANGO YAPIGWA "STOP" MASHULENI, MEYA RAIBU AINGIA DARASANI KUFUNDISHA BIOLOGY Moshi Kilimanjaro • Meya Raibu apiga marufuku michango mashuleni, adai walimu wakuu...
1 Reactions
48 Replies
4K Views
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Mnamo tarehe 17/2/2020 Chama chetu kiliondokewa na aliyekuwa Mwenyekiti wake wa Taifa hayati Maalim Seif Sharif Hamad. Kwa mujibu wa ibara za 84(4) na116(4) za...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Kama ambavyo kichwa cha habari kinaeleza, ni mwendo wa kutafuta haki zilizocheleweshwa kwa muda mrefu. Sasa Bwanamdogo kumfuata jamaa yake Sabaya. ==== Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam...
77 Reactions
434 Replies
50K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…