Urefu wa kamba yako ni mshahara wako na stahiki nyingine kisheria. Msimlishe maneno Rais Samia

Mishenyi

JF-Expert Member
Oct 6, 2019
464
748
Urefu wa kamba yako ni Mshahara wako na stahiki nyingine kisheria ndio maana Rais akasema kula kulingana na Urefu wa kamba yako wala hakusema uibe mali za Umma!! Wabaya wa Samia kisiasa ndo wanasambaza ujinga huo!!!

Hivi ukiamua kukosoa kila kauli ya rais si utafika 2030 ushabaki skeleton kweli!!? Kiumbe pekee ambae alieleweka moja kwa moja kauli zake ni Yesu tu maana alikuwa mungu hakika hivyo alikuwa ana kuprogramu kabla hajakulisha neno,,,,Rais anaweza asieleweke kwa wote maana si Mungu.

Pia soma > Rais Samia: Kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake, lakini mbona mnakula sana mnavimbiwa? Si kweli kama hampati kwenye maeneo yenu. Jipimieni...
 
Urefu wa kamba yako ni Mshahara wako na stahiki nyingine kisheria ndio maana Rais akasema kula kulingana na Urefu wa kamba yako wala hakusema uibe mali za Umma!! Wabaya wa Samia kisiasa ndo wanasambaza ujinga huo!!!

Hivi ukiamua kukosoa kila kauli ya rais si utafika 2030 ushabaki skeleton kweli!!? Kiumbe pekee ambae alieleweka moja kwa moja kauli zake ni Yesu tu maana alikuwa mungu hakika hivyo alikuwa ana kuprogramu kabla hajakulisha neno,,,,Rais anaweza asieleweke kwa wote maana si Mungu!!!
Watanzania sio wajinga. Kuna dola mil 2 wakala wa ujenzi wa meli alilipwa rais alizungumzia kuwa wanapiga madili.
 
Urefu wa kamba yako ni Mshahara wako na stahiki nyingine kisheria ndio maana Rais akasema kula kulingana na Urefu wa kamba yako wala hakusema uibe mali za Umma!! Wabaya wa Samia kisiasa ndo wanasambaza ujinga huo!!!

Hivi ukiamua kukosoa kila kauli ya rais si utafika 2030 ushabaki skeleton kweli!!? Kiumbe pekee ambae alieleweka moja kwa moja kauli zake ni Yesu tu maana alikuwa mungu hakika hivyo alikuwa ana kuprogramu kabla hajakulisha neno,,,,Rais anaweza asieleweke kwa wote maana si Mungu!!!

Tafsiri zimekuwa nyingi. Tuelewe lipi?. Na kwa nini umfafanulie mtu kauli yake wakati ametoa mwenyewe.
 
Urefu wa kamba yako ni Mshahara wako na stahiki nyingine kisheria ndio maana Rais akasema kula kulingana na Urefu wa kamba yako wala hakusema uibe mali za Umma!! Wabaya wa Samia kisiasa ndo wanasambaza ujinga huo!!!

Hivi ukiamua kukosoa kila kauli ya rais si utafika 2030 ushabaki skeleton kweli!!? Kiumbe pekee ambae alieleweka moja kwa moja kauli zake ni Yesu tu maana alikuwa mungu hakika hivyo alikuwa ana kuprogramu kabla hajakulisha neno,,,,Rais anaweza asieleweke kwa wote maana si Mungu!!!
Mjinga ni mjinga tu, ona aibu kutetea uovu.
 
jipimieni... mshahara na stahiki zingine hujipimii bali unapimiwa kulingana na sheria zilizowekwa... sasa Raisi anahamasisha nini ?? usituone wote wajinga kama ujinga wako
Ndio hapo Sasa,yaani kujipimia ni kula ila Kwa kiwango!Ni kama Ile bufee,unaamua wewe tu ujaze sahani kiasi gani!
Mleta mada anapotosha,Samia kachemka sana!Hiyo kauli haipaswi kutolewa na mkuu wa nchi!Badala yake angewakemea mawaziri Kwa kutafuna pesa za serikali zilizo nje ya stahiki zao!
 
Urefu wa kamba yako ni Mshahara wako na stahiki nyingine kisheria ndio maana Rais akasema kula kulingana na Urefu wa kamba yako wala hakusema uibe mali za Umma!! Wabaya wa Samia kisiasa ndo wanasambaza ujinga huo!!!

Hivi ukiamua kukosoa kila kauli ya rais si utafika 2030 ushabaki skeleton kweli!!? Kiumbe pekee ambae alieleweka moja kwa moja kauli zake ni Yesu tu maana alikuwa mungu hakika hivyo alikuwa ana kuprogramu kabla hajakulisha neno,,,,Rais anaweza asieleweke kwa wote maana si Mungu!!!
Acha ukinga wako wewe ndiyo unamlisha maneno yako
 
Wewe ndio unamlisha maneno Rais,
Hakusema hayo uliyoandika
 
Urefu wa kamba yako ni Mshahara wako na stahiki nyingine kisheria ndio maana Rais akasema kula kulingana na Urefu wa kamba yako wala hakusema uibe mali za Umma!! Wabaya wa Samia kisiasa ndo wanasambaza ujinga huo!!!

Hivi ukiamua kukosoa kila kauli ya rais si utafika 2030 ushabaki skeleton kweli!!? Kiumbe pekee ambae alieleweka moja kwa moja kauli zake ni Yesu tu maana alikuwa mungu hakika hivyo alikuwa ana kuprogramu kabla hajakulisha neno,,,,Rais anaweza asieleweke kwa wote maana si Mungu!!!
Naomba niulize maana ya msamiati “Jipimie” imebadilika sikuhizi?
421E26DE-3611-45B8-837A-28AC9C3FAA6C.jpeg

Je, mshahara unajikadiria mwenyewe au uko fixed? Marupurupu unajikadiria mwenyewe ama yapo fixed?

Nachokuomba tu acha kutufanya watoto humu usintaftie Ban.
 
Urefu wa kamba yako ni Mshahara wako na stahiki nyingine kisheria ndio maana Rais akasema kula kulingana na Urefu wa kamba yako wala hakusema uibe mali za Umma!! Wabaya wa Samia kisiasa ndo wanasambaza ujinga huo!!!

Hivi ukiamua kukosoa kila kauli ya rais si utafika 2030 ushabaki skeleton kweli!!? Kiumbe pekee ambae alieleweka moja kwa moja kauli zake ni Yesu tu maana alikuwa mungu hakika hivyo alikuwa ana kuprogramu kabla hajakulisha neno,,,,Rais anaweza asieleweke kwa wote maana si Mungu!!!
Ifikie mahali mkubali mnaempaka rangi tayari kashajimwagia oil chafu😅
 
Urefu wa kamba yako ni Mshahara wako na stahiki nyingine kisheria ndio maana Rais akasema kula kulingana na Urefu wa kamba yako wala hakusema uibe mali za Umma!! Wabaya wa Samia kisiasa ndo wanasambaza ujinga huo!!!

Hivi ukiamua kukosoa kila kauli ya rais si utafika 2030 ushabaki skeleton kweli!!? Kiumbe pekee ambae alieleweka moja kwa moja kauli zake ni Yesu tu maana alikuwa mungu hakika hivyo alikuwa ana kuprogramu kabla hajakulisha neno,,,,Rais anaweza asieleweke kwa wote maana si Mungu!!!
Kiswahili no lugha ngumu sans, wengi kwa kujua kuongea tunaona ni wataalamu was lugha, tujaribu kushika japo kamusi mara mojamoja, tusitoe tafsiri kwa kadiri ya mtu, ila ihalisia was kilichosemwa.
 
Ndio hapo Sasa,yaani kujipimia ni kula ila Kwa kiwango!Ni kama Ile bufee,unaamua wewe tu ujaze sahani kiasi gani!
Mleta mada anapotosha,Samia kachemka sana!Hiyo kauli haipaswi kutolewa na mkuu wa nchi!Badala yake angewakemea mawaziri Kwa kutafuna pesa za serikali zilizo nje ya stahiki zao!
Hahahahahahah nilimlaumu sana Ndugai kwa kuomba msamaha wakati alikuwa sahihi kuhoji kile alichohoji! This statement one is beyond normal kutoka kwa amiri jeshi mkuu wa taifa.
 
Back
Top Bottom