CHADEMA tuna wakati mgumu Tarime, Mwita Waitara ameahidi kutushughulikia tena tusipate hata Diwani kisa tumefurahi alivyotenguliwa

Sikilizeni makamanda wenzangu, amesema anafuatilia tunavyomnanga sasa tutakoma huko Tarime.View attachment 2082925
Acha kuitisha taasisi kubwa , hiyo watu WA mara wanajielewa na wanauthubutu wa maamuzi yenye manufaa Kwa taifa, na sii yale mambo ya covidal19 na wasaliti mfuatano🏃.Hivyo najua hawata waangusha wapigania katiba mpya, wapigania uhuru na haki, 🤔
..
 
Ila aliwagongesha mpaka nyuma pakabaki wazi ni ushuzi tu.
Kubalini yaishe mlishaliwa mkabakiziwa manyoya
Na kasema kama bado mnamtafuta atachoma na hayo manyoya kufuta ushahidi kama mliwahi kuwapo hapo tarime.

Acha kusifia ujinga. Magufuri aliwaambia wazi siku anafungua bunge awamu ya pili, kuwa Kuna wabunge hawakuchaguliwa na wananchi. Mmoja wao Ni waitara.
 
Ukizungumzia wakati mgumu kwenye chama chako cha CCM ambapo mwenyekiti wake fisadi ameahidi nchi itafunwe na viongozi ila mradi wasivimbiwe inatosha🐒🐒🐒
 
Huyo Waitara si Magufuli alimfanyia fadhila kwa msaada alioutoa ktk kufanikisha njama za kumuua Lissu sasa amekuja "Pharao" mwingine asiyetambua hiyo fadhila na ndipo akaitengua.

Akina Waitara ni watu wanaopigania tumbo na wako tayari hata kumuondoa mtu roho ili mradi tu aneemeke katika ufalme wa dunia.
 
Anatafuta huruma ya kuteuliwa na mama wakati mama hakusema kuwa mawazri ambao atawaacha anawaacha kwa ajili ya kupambana na CHADEMA ni nafasi yao ya kujiandaa kupambana na mama mwaka 2025.
 
Acha kuitisha taasisi kubwa , hiyo watu WA mara wanajielewa na wanauthubutu wa maamuzi yenye manufaa Kwa taifa, na sii yale mambo ya covidal19 na wasaliti mfuatano.Hivyo najua hawata waangusha wapigania katiba mpya, wapigania uhuru na haki,
..
Kweli wanajitambua na ndio maana Mbowe ilibidi aokolewe na Polisi kutoka msibani kwa Chacha wangwe.
Walijua unafiki wake na uhusika wake wakataka kumtandika live.

Na tangia hapo Mbowe na Tarime ni sawa na Maji na Petroli.
 
Back
Top Bottom