Nashindwa kumsamehe Magufuli kwa hili

Nashindwa kumsamehe Magufuli kwa hili

kiroka

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2018
Posts
422
Reaction score
2,009
I declare interest Mimi sio mwanachadema kabisa kabisa lakini nikiwa kama mtanzania mwenye akili timamu nikifikiria tukio la Tundu Lissu kushambuliwa kwa risasi pale Dodoma ile 2017 naumia mno.

Kushambuliwa kwa binadamu kama mnyama mchana kweupe kwenye majengo ya serikali inaumiza saana, lakini kinachouma zaidi ni kwamba hakuna hata mtu mmoja alieshikiliwa wala kuhojiwa shameful, tutawaambia nini watoto wetu huko baadae.

Kitendo cha Magufuli Rais wa nchi Amiri jeshi mkuu mfariji mkuu kukaa kimya bila kujitokeza hadharani na kukemea lile tukio liliniumiza mno kwa nature ya Magu aliwezaje kukaa kimya what was behind the scenes

Je angeshambuliwa Polepole kama Lissu je mzee angekaa kimya? Lissu alipigwa risasi na nani, nani aliwatuma, kwa maslahi ya nani ili iweje nikikumbuka hili tukio hata unitajie mema mia ya John siwezi kuyaona

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Bila ya kuwasahau Ben Saanane(alikua mmoja wetu humu ndani),viroba vya maiti pale COCO beach,Azory(gazeti lake la Mwananchi limemsahau)etc etc nikikumbuka haya ,hasira za kuuchukia utawala wa President Magufuri inachemka mno mwilini mwangu.
 
I declare interest Mimi sio mwanachadema kabisa kabisa lakini nikiwa kama mtanzania mwenye akili timamu nikifikiria tukio la Tundu Lissu kushambuliwa kwa risasi pale Dodoma ile 2017 naumia mno,

Kushambuliwa kwa binadamu kama mnyama mchana kweupe kwenye majengo ya serikali inaumiza saana, lakini kinachouma zaidi ni kwamba hakuna hata mtu mmoja alieshikiliwa wala kuhojiwa shameful, tutawaambia nini watoto wetu huko baadae

Kitendo cha Magufuli rais wa nchi Amiri jeshi mkuu mfariji mkuu kukaa kimya bila kujitokeza hadharani na kukemea lile tukio liliniumiza mno kwa natura ya Magu aliwezaje kukaa kimya what was behind the scenes

Je angeshambuliwa Polepole kama Lissu je mzee angekaa kimya? Lissu alipigwa risasi na nani, nani aliwatuma, kwa maslahi ya nani ili iweje nikikumbuka hili tukio hata unitajie mema mia ya John siwezi kuyaona

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app

Hana Jema hata Moja!
 
I declare interest Mimi sio mwanachadema kabisa kabisa lakini nikiwa kama mtanzania mwenye akili timamu nikifikiria tukio la Tundu Lissu kushambuliwa kwa risasi pale Dodoma ile 2017 naumia mno.

Kushambuliwa kwa binadamu kama mnyama mchana kweupe kwenye majengo ya serikali inaumiza saana, lakini kinachouma zaidi ni kwamba hakuna hata mtu mmoja alieshikiliwa wala kuhojiwa shameful, tutawaambia nini watoto wetu huko baadae.

Kitendo cha Magufuli Rais wa nchi Amiri jeshi mkuu mfariji mkuu kukaa kimya bila kujitokeza hadharani na kukemea lile tukio liliniumiza mno kwa nature ya Magu aliwezaje kukaa kimya what was behind the scenes

Je angeshambuliwa Polepole kama Lissu je mzee angekaa kimya? Lissu alipigwa risasi na nani, nani aliwatuma, kwa maslahi ya nani ili iweje nikikumbuka hili tukio hata unitajie mema mia ya John siwezi kuyaona

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Msamehe,usiposamehe wewe pia hutasamehewa,lakini pia hakuna ushahidi kuwa magu ndio alimpiga risasi lisu

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Akili ya Tekno kumbe ndo IPO hivo ??
 
Taarifa za ndani na zenye uhakika mkubwa zinasema kuwa Meko mwenyewe ndio alifadhili lile tukio.
 
Yule jamaa alikua mnafiki,Muongo grade 1.

Sikuwahi kumuamini hata mara moja kwa kauli zake baada ya kuona matendo yake...

Anaongea na mahisia yake kuwadanganya wenzie!

Mtu anafuata Kanuni za “Power “ bila kujua kuwa he is also a human being and he will die!

Njia nzuri ya kumtesa adui wako wa kisiasa siyo Kuua asee! Hasira huisha then nini hufuta kama Siyo majuto... You can teach people hata kupitia kesi ambayo hajui atatoka au la sometimes adi anafungwa then unakuja muachia

Unamkamata unampa onyo au anafungwa asijue atatok lini lakini siyo Kuua binadamu mwenzio!

Hata kumtesa binadamu mwenzio akatoka manundu siyo ubinadamu ni unyama na kutostaarabika

Nina wasiwasi kam huyu jamaa ataiona mbingu asee hata kam sijui eti alifanya kitubio sijui nini ila duu amekufa na majuto...

Watu wenye Roho mbaya vile ni kam wachawi na Huhangaika Sana hadi waje kuikata roho, wengine hadi Hunya ndipo wafe!

Ewe Mkuu yeyote usisahau kuwa na wewe ni Mtu/ Binadamu kama mwengine yeyote Mtu.

Kuua Binadamu mwenzio ni kujifanya wewe Siyo binadamu ni Zaidi yao kumbe wapi...
Ili kuepusha madaraka kuwapanda kichwani na kujiona Miungu, wafalme wa Dola ya Rumi walikua wanaajili mtu ambaye kazi yake ilikua kumkumbusha Mfalme kuwa ni binadamu na atakufa..

Mtumishi huyo alikua anatamka maneno “ you’re Mortal Cesar , You are Mortal Cesar, You are Mortal cesar “ hasa mfalme anapokua ameshinda vita au amefanya jambo la kishujaa”

Mfalme anae jua kuwa ipo siku atakufa humuepusha na kufanya mambo ya kipumbavu kama mengi aliyoyafanya Bwana Yule...

Usiue,Usiue!
 
Msamehe,usiposamehe wewe pia hutasamehewa,lakini pia hakuna ushahidi kuwa magu ndio alimpiga risasi lisu

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Mbona upo! Kuna clip alikuwa anaongea somewhere, akawauliza wakaribu yake" DAWA ya MSALITI mnapokuwa kwenye uwanja wa vita ni nini'

Kilichofuata, maumivu
 
I declare interest Mimi sio mwanachadema kabisa kabisa lakini nikiwa kama mtanzania mwenye akili timamu nikifikiria tukio la Tundu Lissu kushambuliwa kwa risasi pale Dodoma ile 2017 naumia mno.
Kila binadamu yoyote mwenye roho wa Mungu ndani yake ataumizwa na tukio lile, na ikitokea kama kuna aliyefurahi basi huyo ana roho wa shetani!
Kushambuliwa kwa binadamu kama mnyama mchana kweupe kwenye majengo ya serikali inaumiza saana, lakini kinachouma zaidi ni kwamba hakuna hata mtu mmoja alieshikiliwa wala kuhojiwa shameful, tutawaambia nini watoto wetu huko baadae.
Ni kweli, sababu pekee ya kutofanyika jambo lolote ni kwasababu tukio hilo limeshuhudiwa live na mashuhuda wawili muhimu, ambao mpaka sasa, wamegoma kata kata kutoa ushirikiano kwa vyombo vya uchunguzi. Shambulizi la Lissu: Wanaomdhania dereva anahusika sio wajinga, Wana hoja za msingi. Je, anahusika?
Kitendo cha Magufuli Rais wa nchi Amiri jeshi mkuu mfariji mkuu kukaa kimya bila kujitokeza hadharani na kukemea lile tukio liliniumiza mno kwa nature ya Magu aliwezaje kukaa kimya what was behind the scenes
Kama huu ndio msingi wa wewe kutomsamehe Magufuli, nakushauri tafuta nauli, kama huna, kopa, nenda Chato, kwenye kaburi lake, upige magoti, umuombe msamaha!.
Baada ya shambulio lile, Rais JPM, hakukaa kimya!.

Je angeshambuliwa Polepole kama Lissu je mzee angekaa kimya?
Kwa vile hakukaa kimya, nakushauri nenda kamuombe msamaha marehemu!.
Kumsingizia marehemu kuna karma mbaya!.
Lissu alipigwa risasi na nani, nani aliwatuma, kwa maslahi ya nani ili iweje nikikumbuka hili tukio hata unitajie mema mia ya John siwezi kuyaona
Lissu alishambuliwa na watu wasiojulikana ambao mpaka leo hawajajulikana.

Nakushauri usihukumu usije ukahukumiwa! Tuacheni Ramli Chonganishi: Tusihukumu, Tusije Tukahukumiwa!. "Karma Ndio Pekee Hutoa Hukumu ya Haki Hapa Duniani!.
P
 
Back
Top Bottom