Freeman Mbowe amuandikia barua Askofu Mwamakula

Freeman Mbowe amuandikia barua Askofu Mwamakula

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
143,433
Reaction score
289,697
Hii hapa

Ujumbe_aliouandika_Mkiti_wa_Chadema_Taifa_Mh._Freeman_Mbowe_akiwa_mahabusu_gerezani_kwenda_kwa...jpg
 
abakie huko huko gerezani.
mchafuzi wa amani yetu hatumtaki huku uraiani.
alitumia vibaya uenyekiti wake kwa kuandaa majambazi, wahuni, wavuta bangi, wauzaji, wajeuri, wahalifu wa kila aina
 
Barua uliyomwandikia mke wako imevuja!

Mimi: Jaman ipi?

Hii Hapa: "Nakupenda mke wangu, Leo niandalie pweza na vaa Nguo nyepesi ya Mahaba"

Mimi: Ebo, si wangenambia tu nipost mwenyewe Facebook waondoka tunavyopendana na me wangu!
Masikini wanawaza ngono tu , na ndio maana kila kapuku ana watoto zaidi ya 10
 
abakie huko huko gerezani.
mchafuzi wa amani yetu hatumtaki huku uraiani.
alitumia vibaya uenyekiti wake kwa kuandaa majambazi, wahuni, wavuta bangi, wauzaji, wajeuri, wahalifu wa kila aina
Mbowe ndio nguzo ya amani hiyo unayodhani unailinda kwa kumsingizia ugaidi , huyo mwamba akikohoa tu kwamba kinuke jua Tanzania imekwisha
 
Back
Top Bottom