Kama Wabunge wa CCM hawapangiwi, waanze na hili la Dkt. Tulia

nashicha

JF-Expert Member
May 29, 2021
278
516
Wanajamii, bunge letu limekuwa ndio bunge dhaifu na lilikosa heshima na mvuto kwa nchi zote zinazotuzunguka.

Kwa hili la kupangiwa na Serikali cha kufanya lilitakiwa lijikomboe kuanzia sasa wabunge PESA NA POSHO WA CCM hawafikirii kabisa uendeshaji wa nchi, wao wanafikiria posho na mishahara siku ziende kila vikao sasa hivi hawatoki na cha maana zaidi ya kujikusanyia pesa zetu.

Kwa hili la kupewa tena TULIA SEMENI HAPANA ili Kama mmeshindwa mengine mlinde heshima zenu angalau kwa hili dogo.

Tulia hafai acheni kuburuzwa chagueni kwa Uhuru Kiongozi wenu tuone angalau demokrasia kidogo bungeni mmekuwa kila kitu ndiooooo jitambueni hata kwa hili basi.
 
Kwani kampeni zimeanza? Kila siku bunge dhaifu ila mmeshindwa kufikia huko. Tuheshimu waliotutangulia na wenye nacho. Kwa lugha nyepesi upinzani uheshimu CCM maana ndio wanaowapa tonge na CCM hao hao ndio roho ya wananchi
 
Imagine huyu ni mchungaji anajipendekeza kwa wanadamu ili kuiona kesho yake.Mungu kwake ni bosheni tu,Mungu kwake ni boresha tu.
 
Yule wa Mlimba,ambae aliwahi kuwa mkurugenzi Dodoma ni mtu wa misimamo kwa maslahi ya Tz
 
Wanajamii, bunge letu limekuwa ndio bunge dhaifu na lilikosa heshima na mvuto kwa nchi zote zinazotuzunguka

Kwa hili la kupangiwa na Serikali cha kufanya lilitakiwa lijikomboe kuanzia sasa wabunge PESA NA POSHO WA CCM hawafikirii kabisa uendeshaji wa nchi, wao wanafikiria posho na mishahara siku ziende kila vikao sasa...
Mwaka 2030 huenda jina la mgombea urais likapatikana kwa mtindo huu huu. Mbeleni demokrasia itakuwa finyu zaidi kuliko tulikotoka.
 
13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom