Kama wanajadili waziwazi namna ya kukwapua Mali ya Umma, ni dhahiri walimchukia na hawakupenda hayati Magufuli awepo. Inaonekana aliwabana sana!

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Oct 2, 2020
3,114
2,000
Kumbe ukitaka uchukiwe na wanaCcm basi we ziba mianya yao ya kuiba mali ya umma.

Hayati JPM alichukiwa na wanaCcm japokuwa walicheka nae na kumzunguka hio hii ni sababu aliwabana sana juu ya rushwa na ufisadi.

Sasa wanatoa michongo namna ya kupiga madili.

Naona tangu amefariki wanachekelea tu na kukenua meno
 
dolevaby

JF-Expert Member
Aug 25, 2013
12,662

Marehemu wenu aliwabana aliowachukia lkn waliounga juhudi walipiga sana .mpaka wengine walikufuru wakamuita ni mungu wao .....bila kuondoa ccm hakuna kipya kitazaliwa kwenye Nchi hii
 
Manelezu

JF-Expert Member
Feb 6, 2015
1,890
2,000
Kuna literature jana nilikuwa nasoma, wanasema hao wazungu IQ ya African on average ni ,,65" which is below normal, na sio literature moja, multiple studies, wanasema IQ ya aina hiyo deserves to be classified as "retarded"

..., Asians (Japanese, Chinese, etc, not all Asians) have the highest IQ scores bcz they have bigger brains unlike us, they have evolved bigger brains sababu ya nutrition, they eat a lot of fatty fish, unlike our nutrition "ugali" which the literature says it makes people "stupid"

60 years of independence, let's reflect comparatively with what other races in the world have achieved. My prediction in the next 50 years with the same trajectory politically and economically tutakuwa na matatizo beyond comprehension. Kutakuwa na crimes and social dysfunction ya kutisha.

Tunazaliana kwa Kasi, mfumo wa elimu duni usiozalisha wanasayansi with obvious reasons, mtu kapata div 3 ndio anaenda kuwa mwalimu, garbage in, garbage out, mazingira kila siku tunaharibu, miji yetu inajengwa holela, what do you expect in the next 50 years? Miracles?

"Now 77 percent of Japanese children have a higher IQ than the average American or European, Lynn said. The increase shows up in 6-year-olds, so it may not be a result of superior schooling, Lynn said. "The explanation probably lies largely in environmental improvements" such as health and nutrition"

"The scientists point out that the average African IQ is currently comparable to the average level in the Netherlands around 1950. However, IQ scores in Western countries have risen sharply over the course of the 20th century".

"In an oft-quoted literature study conducted in 2006, Lynn concluded that black Africans have an average IQ of less than 70 (compared to an average western IQ of 100). Lynn suggested that these low IQs are indicative of a low intelligence level, claiming this offered an explanation for the low level of economic development in sub-Saharan countries".

Mtasoma zaidi ambao mko interested, literature zipo kibao na yanayoongelewa huko kwa ufupi sisi watu weusi ni kama sio binadamu wa kawaida. Reflecting on what is going on in Sub-Saharan, who would argue differently? Mmepata resource flani wanachukua mjinga mmoja ana sign mkataba resources inahama kwenda kufaidisha vizazi vyao. Huyo mjinga mmoja anakenua familia yake kula damu za mamillioni ya watz watakao kufa kwa umasikini, tuna shida kubwa vichwani.

"This is why the Japanese and Asians are famous for being intelligent. They lead a totally different lifestyle, practicing omotenashi, being humble, polite and thinking about others instead of yourself"
 
Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Oct 2, 2020
3,114
2,000
Kuna literature jana nilikuwa nasoma, wanasema hao wazungu IQ ya African on average ni ,,65" which is below normal, na sio literature Moja, multiple studies, wanasema IQ ya aina Hiyo deserves to be classified as "retarded"

..., Asians have the highest IQ scores bcz they have bigger brains unlike us, they have evolved bigger brains sababu ya nutrition, they eat a lot of fatty fish, 60 years of independence, let's reflect comparatively with what other races in the world have achieved. My prediction in the next 50 years with the same trajectory politically and economically tutakuwa na matatizo beyond comprehension. Kutakuwa na crimes and social dysfunction ya kutisha.
Haijakaa vizuri.
 
Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
113,636
2,000
Kumbe ukitaka uchukiwe na wanaCcm basi we ziba mianya yao ya kuiba mali ya umma.

Hayati JPM alichukiwa na wanaCcm japokuwa walicheka nae na kumzunguka hio hii ni sababu aliwabana sana juu ya rushwa na ufisadi.

Sasa wanatoa michongo namna ya kupiga madili.

Naona tangu amefariki wanachekelea tu na kukenua meno
Kwa mujibu wa taarifa ya CAG ufisadi ktk awamu ya 5 ulikithiri kuliko awamu zilizopita.

Ktk awamu hiyo kuna watumishi wa serikali na umma walikuwa majambazi wa kutumia silaha na wahujumu uchumi.

Leo hii unakuja na ngonjera eti watu walimchukia kiongozi wa awamu hiyo kisa hakutaka ufisadi?
Utakuwa umerogwa wewe siyo bure.
 
Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
113,636
2,000
Kumbe ukitaka uchukiwe na wanaCcm basi we ziba mianya yao ya kuiba mali ya umma.

Hayati JPM alichukiwa na wanaCcm japokuwa walicheka nae na kumzunguka hio hii ni sababu aliwabana sana juu ya rushwa na ufisadi.

Sasa wanatoa michongo namna ya kupiga madili.

Naona tangu amefariki wanachekelea tu na kukenua meno
Ulitaka walie ili iweje?
Wewe endelea kulia hadi kihama
 
Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
113,636
2,000
Marehemu wenu aliwabana aliowachukia lkn waliounga juhudi walipiga sana .mpaka wengine walikufuru wakamuita ni mungu wao .....bila kuondoa ccm hakuna kipya kitazaliwa kwenye Nchi hii
Adui wa maendeleo ya watanzania ni ccm
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom