Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwanz kabisa napenda kuwasalimu kwa jina la alietuumba, ambae ni muweza wa visivyowezwa. Ama baada ya salam napenda nijielekeze katika mada yangu ili kila mwenye uwezo thabiti wa kuchangia aweze...
3 Reactions
75 Replies
5K Views
8 September 2020 Ruaha -Mikumi, Morogoro Tanzania PROF JAY ALIVYOPOKEWA KWA SHANGWE NA WANANCHI AKIZINDUA KAMPENI, KAFUNGUKA WASANII KUMTENGA Mgombea wa ubunge jimbo la Mikumi mkoa wa Morogoro...
7 Reactions
13 Replies
4K Views
IGP Mwema, wananchi hawana imani na jeshi unaloliongoza. Vituko vya jeshi la polisi ungekuwa mzalendo na sio mchumia tumbo, kusema kweli mzee wangu ungejiuzulu. Wananchi badala ya kulindwa...
5 Reactions
13 Replies
2K Views
Kama kuna watu ambao mimi binafsi sijuhi utendaji wao wa kazi katika nchi yetu ni Mkuu wa Kitengo cha Kupambana na Rushwa na Mkuu wa Jeshi la Polisi. Tangu watu hawa washike nyazifa zao, sioni...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
How long shall we wait for this guy to go? NI kweli wabunge wanaogopa kutaka aondolewe? watu wangapi wameteswa mikononi mwa polisi na kufa; ni mara ngapi tumelalamikia nguvu zinazotumiwa na polisi...
24 Reactions
61 Replies
6K Views
Wanajamvi, Leo nimesikiliza madam President Samia Suluhu Hassan mwanzo mwisho. Mimi siyo mfanyakazi, lakini niliikubali hotuba yake na kuona busara nyingi sana ndani yake. Hata hivyo, sikuwa...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakuu nisipende kuwachosha Ila inasikitisha sana kuona ikulu ambapo Nyerere aliwahi kusema kuwa ni mahala patakatifu imebadilika na kuwa pango la walanguzi. Leo ikulu hapafanyiki tena mikutano ya...
10 Reactions
89 Replies
6K Views
Shabaha kubwa na ya Makusudi ya ACT-WAZALENDO kumuombea Mhe Freeman Mbowe msamaha kwa Rais amsamehe kuhusu kesi yake ya tuhuma za ugaidi inaonekana chama hiki kwa kujua au kutokujua kinataka...
8 Reactions
35 Replies
2K Views
Picha: Renatus Muabhi Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Kijamii (CCK), Renatus Muabhi (53) na mwenzake wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Kwa kosa la kujifanya maofisa usalama...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Mambo vipi, Moja kwa moja kwenye mada. Juzi nikiwa kwenye daladala nikasikia watu wakilaumu Serikali kwamba ''Heri Magufuli alivyo kuwepo, saivi watoto wametakiwa kulipa michango ya kama 22k...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Yanayoendelea kwa vijana wetu Wasomi na ambao sio Wasomi huwezi kutofautisha kitu Katika kundi hili. Hoja za matusi na kutukana ndio njia pekee ya hawa vijana, Wanaamini upande mmoja wa habari...
13 Reactions
62 Replies
5K Views
Picha: Renatus Muabhi Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Nchini (TAKUKURU) inamshikilia Katibu Mkuu wa Chama cha Siasa kiitwacho Chama Cha Kijamii (CCK), Renatus Muabhi kwa kujifanya...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Where do the drugs police cease go? By Elisha Magolanga The Citizen Correspondent Dar es Salaam. In the wake of the suspension of senior law keepers over their alleged involvement in...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Chama Cha Siasa Cha Sauti ya Umma (SAU) kimeungana na watanzania kumpongeza na kumtakia Heri ya siku ya kuzaliwa Rais wa Jamhuri ya Muunguano wa Tanzania a Samia Suluhu Hassan ambaye alizaliwa tar...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwenye kesi ya Mbowe Kama hasingekuwa huyu kijana, Tusingejua kinagaubaga Cha hii kesi maana sio wote tunaweza kwenda mahakamani. Lakini kijana huyu ni zaidi ya ITV,Star TV, TBC, yaani anafanya...
110 Reactions
203 Replies
14K Views
Tafadhali, enyi wenye uweledi na taaluma za Uongozi! Hili lakutangaza misamaha likoje? Niliamini utumishi Bora ni kuzingatia kanuni za utumishi, na kwamba mtumishi anahesabika kukosea baada...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Wandugu, Baada ya kufuatilia kwa kina kinachoendelea mahakamani naweza kuja na nadharia ifuatayo. Freeman Mbowe alimuomba Denis Urio amtafutie walinzi. Lakini kwa kuwa DCI alikuwa anafuatilia...
8 Reactions
13 Replies
1K Views
Wakuu Salaam: Ni yapi mazingira ya Serikali ya Mseto? Nimeuliza makusudi tu nataka niyajue! Nimemaliza.
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Naendelea kuona jinsi mtaala mbovu unavosababisha janga la ukosefu wa ajira nchini! Kila mwaka graduates wanalundikana mtaani tena wakiwa wamekata tamaa kabisa hata huko kunakoitwa kujiajiri...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…