Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

James Mbatia amesema kufuatian hukumu ya leo juu ya kujiuzulu Spika Ndugai kinyume cha mutaratinu anaishukuru mahakama kwa maamuzi yake ya kumuonyesha barua ya Ndugai kwenda kwa Katibu wa bunge...
9 Reactions
77 Replies
6K Views
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Adolf Mkenda ameitaka Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT) kujitanua zaidi kwa kutengeneza vipuri vya vyombo vya moto ikiwemo vya bajaji na...
4 Reactions
53 Replies
4K Views
Mwezi Novemba 2003, Baada ya vita kufukuta nchini Iraq, Rais wa Marekani alifanya ziara ya kushtukiza kwenye eneo la vita Yaani nchini Iraq Kwa Wamarekani ile ilikuwa sehemu ya fursa ya...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Hii mikutano inayoandaliwa Kila Siku na Serikali inagharimu Fedha nyingi Sana za walipa Kodi. Lakini waudhuriaji ni watu walewale na wazungumzaji ni wale. Dhima ya mikutano hii yote...
0 Reactions
0 Replies
618 Views
Wanabodi JF! Moderators! Nawasalimia wote. Niende kwenye Mada! Tukubali kwamba tatizo la mrundikano wa mahabusu kwenye Magereza yetu nchini kwa sasa ni moja ya kero kubwa za kitaifa. Kuna...
5 Reactions
13 Replies
1K Views
Ameandika Pro Sarara Ni sikieni enyi wapigania haki na Mabadiliko wa Tanzania. Nisikieni enyi Vijana na wazee wenye Shauku ya haki na maendeleo, Nisikilizeni enyi waume na wake mnaolia machozi ya...
1 Reactions
0 Replies
496 Views
Hivi ili kesi iwe ya kigaidi inatakiwa kuwepo na vitu gani ili mahakama ikutie hatiani? Mbona kila ushahidi hueleweki? KULIPUA VITUO VYA MAFUTA Sasa mbona Polisi au mashahidi wa Serikali wenyewe...
24 Reactions
50 Replies
4K Views
Hope mko poa, Hii kesi ya Mbowe imeibua Mambo mengi Sana,,moja Kati ya mengi ni kutajwa Sana kwa kinara wa utesaji aitwae afande Goodluck. Adomo alimtaja Goodluck Kama mmoja wa watesaji, Mdude...
38 Reactions
343 Replies
39K Views
Kwa mara nyingine tena, Rais wetu huyu Chifu Hangaya amefanya mahojiano na chombo cha habari. Nimeangalia vipande vipande kadhaa vya mahojiano hayo na sijaona swali lolote lile lililo gumu...
14 Reactions
95 Replies
6K Views
Mshume Kiyate na Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere 1964 Tuendelee na historia ya Mzee Mshume Kiyate kama nilivyoahidi jana niliposema itaendelea...: Labda kama si kwa Mwalimu...
20 Reactions
92 Replies
11K Views
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango ametembelea Hifadhi ya Taifa Gombe, mkoani Kigoma na kupata fursa ya kujionea vivutio mbalimbali vya utalii hususani...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa Mwalimu Nyerere Foundation mzee Butiku amesema ifikapo 13 April 2022 baba wa taifa Mwalimu Nyerere atatimiza miaka 100 tangu kuzaliwa kwake. Patakuwepo mambo mbalimbali katika siku...
8 Reactions
79 Replies
5K Views
Kufuatia kuibuliwa mahakamani kwa barua ambayo inadaiwa iliandikwa na Job Ndugai aliyekuwa spika wa bunge kwenda kwa Katibu wa Bunge ikimtaarifu kuwa anajiuzulu uspika kuanzia tarehe 06.01.2022...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Mh Jesca Kishoa (Mb, ) Moja ya vitu ambavyo taifa lolote lile lingependa kujivunia kuwa navyo ni RASILIMALI. Msisitizo wangu mara zote umekuwa ukizingatia jinsi taifa litakavyonufaika vema na...
0 Reactions
6 Replies
998 Views
Ngugu zangu kwanza mimi kama watanzania wengi wazalendo naomba ni ' dikleee' interest. Mimi ni mtu ambaye sina chama, so huwa niko huru kusema au kuusapoti upande wowote ninaohisi kwa siku hiyo...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Nimeona jambo ambalo sikuwahi kuliona kwa maraisi wengine wote na imebibidi nishtuke kidogo. Wanafunzi wa mashule mbalimbali za msingi na sekondari Dar na mikoani nimeona leo wameimbishwa na...
11 Reactions
177 Replies
12K Views
Dar es Salaam. Tangu kada wa Chadema Ben Saanane atoweke katika mazingira yasiyoelezeka Novemba 14 mwaka jana, kumekuwa na juhudi tofauti zinazofanywa na chama hicho, familia yake kwa upande...
3 Reactions
35 Replies
5K Views
wana bodi, jana nilikuwa maeneo ya chuo kikuu cha Dar es salaam nikakuta REDET Wanakamilisha semina elekezi kwa ajili ya utafiti wa tathimini ya utendaji wa serikali ya awamu ya nne, kwa kifupi...
1 Reactions
22 Replies
5K Views
THE government will soon dispatch a team of experts and senior officials to London to discuss with the UK government on modalities of recovery of 46 million US dollars (about 62bn/-). The funds...
0 Reactions
410 Replies
35K Views
Wanajopo mimi nimeona nilete hii mada ili tuichangie,kwani kila wakati hapa nchini kunatokea vurugu za wananchi kuandamana kwa kulalamikia utendaji kazi wa Jeshi la Polisi lakini hawa viongozi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…