johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,778
- 141,660
Mwenyekiti wa Mwalimu Nyerere Foundation mzee Butiku amesema ifikapo 13 April 2022 baba wa taifa Mwalimu Nyerere atatimiza miaka 100 tangu kuzaliwa kwake.
Patakuwepo mambo mbalimbali katika siku hii na hasa tukikumbuka jitihada za Nyerere katika kupigania Uhuru wa Tanzania na Afrika kwa ujumla na hata misingi ya Azimio la Arusha, amesema.
Chanzo: ITV Dakika 45!
Maendeleo hayana vyama!