Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mh. January Makamba, kuwaongopea na kuwadanganya wananchi haina afya kwa taifa. Kama wizara hii uliikuta na makando kando mengi, ni vyema ukakaa pembeni ili usipoteze sifa yako ya uongozi...
35 Reactions
154 Replies
10K Views
WATANI ZANGU Mwaka 2020 nilijitokeza kuweka nia kugombea ubunge kwenye jimbo la uchaguzi la Butiama kupitia Chama cha Mapinduzi. Sikufanikiwa: niliambulia kura mbili za wajumbe wa Mkutano Mkuu wa...
20 Reactions
65 Replies
6K Views
Masauni akiwa Naibu waziri aligombana na karibia viongozi wengi wa vyombo vya ulinzi vilivyopo Wizara ya Mambo ya Ndani. Tulimwona kwenye TV akigombeza askari bila kujali vyeo Wala umri wao. Leo...
7 Reactions
32 Replies
4K Views
Hapo ni April 2018. Kwangu nililiona hili kama ni personal vendetta dhidi ya uhuru wa habari na dhidi ya mwandishi mbobezi Bwana Pascal Mayalla japo mpaka leo hajawahi kutujuza ni nini kulikuwa...
25 Reactions
55 Replies
5K Views
WAZIRI MASAUNI AWAITA VIONGOZI POLISI KUJADILI MATUKIO YA MAUAJI NCHINI, AAGIZA WANAOCHAFUA VIONGOZI MITANDAONI, WANAOSAJILIA WATU LAINI ZA SIMU, WANAOSAMBAZA PICHA CHAFU WASAKWE Na WMNN, Dar es...
1 Reactions
36 Replies
3K Views
Waziri wa elimu Prof Mkenda amesema kutokana na ongezeko la madarasa ya uviko pamejitokeza hitaji la walimu wapya hivyo Serikali itaajiri walimu 7000 kukata kiu hiyo. Chanzo: ITV habari
3 Reactions
41 Replies
4K Views
Kuna msemo unasema matendo huongea zaidi kuliko maneno. Sasa hivi, kila kona ya nchi ni kesi ya ugaidi dhidi ya Mbowe. Wapo wanaosema kuwa kesi hiyo ya ugaidi dhidi ya Mbowe na Makomandoo wetu...
22 Reactions
45 Replies
3K Views
SERIKALI YARUHUSU WAFANYABIASHARA KUREJEA KARUME KWA MPANGO MZURI. - Umati walipuka kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan. - RC Makalla apokea taarifa ya ripoti ya Kamati iliyoundwa kuchunguza...
6 Reactions
81 Replies
9K Views
Naibu Waziri anayehusika na mambo ya Ajira sijui na Nini vile, amejitokeza na kuwalaumu vijana wenzake kuwa ni walalamishi na wanachagua Ajira! Sina tatizo na Hilo ila tatizo langu ni wapi zilipo...
23 Reactions
88 Replies
7K Views
Kwa Tanzania naona taratibu teknolojia inawafanya watu wakae pembeni, Hata huko Serikalini ni vyema mkasoma mazingira Ukuaji wa uchumi na teknolojia una Madhara yake pia Naambatanisha tangazo...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
MAJALIWA AAGIZA CHENI YA MKE WAKE IUZWE. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, ameishukuru kampuni ya Tanzanite Forever Lapidary (T) LTD ya mkoani Manyara,kwa kumzawadia mkewe, Mama Mary Majaliwa mkufu...
20 Reactions
117 Replies
11K Views
Hawa jamaa wa CCM wanapenda kutawala kupita kiasi, lakini performance yao ni ndogo kupita maelezo Huwa wanapenda kujilinganisha na chama cha Kikomunisti cha China, lakini wenzao huko China...
16 Reactions
94 Replies
4K Views
Mimi najaribu kumkumbuka kwa Mambo machache ambayo jamaa ameacha Legacy au kumbukumbu ya daima nchini. Sidhani Kama Kuna mtu mwenye Akili timamu anaweza kusahau kazi zake. Kwanza Magufuli alikuwa...
12 Reactions
23 Replies
2K Views
Kila upande unajitahidi uonekane ni bora mbele ya CCM. Machifu wakifanya Tamasha la Utamaduni basi Viongozi wa dini watajibu kwa kufanya kongamano. Mungu wa mbinguni awabariki nyote!
5 Reactions
31 Replies
2K Views
Kwa wale manofuatilia taarifa za usahihi wa utambulisho wa Denis Urio nadhani mmeona waliosoma sekondari ya Kingori wakikataa kutomfahamu shahidi huyu means awakusoma naye. Nimetafuta ilipo...
9 Reactions
22 Replies
3K Views
SHAKA: UTHUBUTU WA RAIS SAMIA UNAIFUNGUA NCHI KIUCHUMI NA KIMATAIFA Katibu wa halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka akitoa salaam za Chama Cha Mapinduzi wakati wa...
1 Reactions
4 Replies
973 Views
Kwamiaka kadhaa, Tumejikusanya katika maeneo mbalimbali ikiwemo katika majukwaa ya kisiasa, kiharakati na humu mitandaoni kutoka kila upande wa dunia. Tukiwa na mvuto wa Gandhi, Nyerere, Mandela...
17 Reactions
14 Replies
2K Views
James Mbatia amesema kufuatian hukumu ya leo juu ya kujiuzulu Spika Ndugai kinyume cha mutaratinu anaishukuru mahakama kwa maamuzi yake ya kumuonyesha barua ya Ndugai kwenda kwa Katibu wa bunge...
9 Reactions
77 Replies
6K Views
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Adolf Mkenda ameitaka Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT) kujitanua zaidi kwa kutengeneza vipuri vya vyombo vya moto ikiwemo vya bajaji na...
4 Reactions
53 Replies
4K Views
Mwezi Novemba 2003, Baada ya vita kufukuta nchini Iraq, Rais wa Marekani alifanya ziara ya kushtukiza kwenye eneo la vita Yaani nchini Iraq Kwa Wamarekani ile ilikuwa sehemu ya fursa ya...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…