Wakuu,
Halmashauri ya Mji wa Masasi Mkoani Mtwara, imepiga marufuku watumishi idara ya afya kuwaita Vongozi wao kwa kutumia neno Boss.
Wametakiwa kutumia neno Mkuu, Kiongozi , Madam/Sir kama...
Ushabiki wa siasa pembeni lakini huyu mama ana mvuto sana na tayari anaonekana kama first lady tayari. Hii ni leo akiwa Kahama na mumewe. Mimi ni Msukuma na nayajua madhila ya vikongwe hawa...
Salaam Wakuu salaam
Tumsaidie Rais Magufuli kutafuta Watendaji wenye Uchungu na Nchi Watetezi wa Wanyonge.
Kumbuka sisi Wanachama wa JamiiForums ndio tulimpendekeza Sirro kwa Rais na akateuliwa...
Japokuwa Spika mstaafu Ndugai alisema aliyakagua madarasa yote moja baada ya lingine na kujiridhisha kuwa hakuna ufisadi lakini ukiyaangalia kwa makini yale madirisha ya aluminium utagundua kuna...
Wakati mfanyabiashara Mohammed Dewji maarufu kama Mo alipotekwa, polisi wetu walifanya kazi nzuri sana kumtafuta ikiwa ni pamoja na kuwatafuta watekaji.
Kamanda wa Polisi Kanda maalum ya...
Bunge linaendelea Bungeni Lakini vyombo vya HABARI ni kama wamesusa au Wabunge wamekosa hoja.
Sidhani kama Kwa kinachoendelea Kuna umuhimu wa Bunge. Hadhi ya Wabunge imeshuka Sana, hakuna...
Maendeleo hayana vyama.
Kiukweli kabisa Mchungaji Msigwa na Meya Kimbe walijitahidi sana kuyabana majizi pale manispaa ya Iringa ndio maana hata stendi ku ya Igumniro ilifanikiwa kujengwa chini...
Kuelekea Maadhimisho ya Miaka 45 ya CCM, Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka amesema kwa kipindi chote hicho CCM kimeendelea kuwa chama sikivu na makini kinachojali majadiliano...
’Changamoto zitakuwepo lakini nitamudu kazi’’
Mkurugenzi wa mawasiliano ikulu nchini Tanzania, Zuhura Yunus amezungumza na BBC na kueleza ni jinsi gani amepokea taarifa ya uteuzi wake.
Kabla ya...
King msukuma bila kupepesa macho ametoa ya moyoni mbele ya Waziri wa TAMISEMI baada ya kubaini upigaji wa mamilion ya pesa yaliyopigwa na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Geita.
Muheshimiwa Rais,
Bila shaka una taarifa juu ya mauaji yaliyofanywa na maafisa 7 wa Polisi. Ni taarifa ambayo imewashtua wengi kwa kuwa imetoka hadharani lakini tabia hii ya ujambazi na kudhulumu...
KISHINDO CHA KATIBU MKUU UVCCM KENANI KIHONGOSI KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 45 YA KUZALIWA CCM KWA UVCCM KITAIFA WILAYA YA TARIME MKOA WA MARA
Tarehe 3 Februari 2022 Katibu Mkuu wa Umoja wa...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Baraza la Mitihani Zanzibar, Zubeir Juma Khamis kuanzia leo November 03,2021.
Salaam.
Kwa wale wanaofuatalia AFCON kule Cameroon watakubaliana na mimi kuwa Cameroon wametuacha sana kwenye suala la viwanja vya kisasa.
Viwanja vyao viko vizuri ni level za Ulaya.
Je, sisi...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema ili kupunguza mzigo wa kazi, huwa anawaambia Wasaidizi wake kufanya maamuzi kwenye masuala yaliyo ndani ya uwezo wao. Amesema huenda ni uoga, lakini...
Ni takribani miezi mitano inashuhudia nchi ya Tanzania ikiongozwa na Rais Samia Suluhu Hasani Kuna Mengi watu wasioyafahamu juu yake na ukweli ulio wazi juu ya kiongozi huyu mashuhuri wa Tanzania...
Kwa kuwa hii ni jambo forums na ilikuwa inapiga kazi toka 2005 naamini kuwa hili swali dogo hamshindwi kupata majibu yake maana mmliweza kuibua makubwa zaidi
Lakini swali ni je hii ndege ni ya...
Kwanini zitto ametumia mtutu kumbeba Babu Duni.
1. Kulipa fadhila kwa Babu.
Baada ya Maalim Seif Kufariki, Kikatiba ya Zanzibar, ilitakiwa ndani ya wiki mbili lipatikane jina la Mrithi wa Makamo...
Kuna kila dalili Luteni Urio alikuwa na mpango wa kula hela za Mbowe kupitia wale vijana na wakati huo huo alikuwa na matarajio kuwa CHADEMA ingeshinda angepata ukubwa Jeshini. Hilo lina asilimia...
Hii Saccos ya Bumbuli Development Corporation ipo Jimboni Bumbuli kwa Marope mdogo au ni ya wapi?
Ndani ya Mwaka mmoja wamelamba 2.4 billion mikopo ya NSSF kinyume na kanuni
Ama Kweli NSSF...