Wakuu wa Mikoa jifunzeni kwa Anthony Mtaka wa Dodoma jinsi ya kufanya motisha kuinua elimu

Mwanahabari wa Taifa

JF-Expert Member
May 27, 2020
1,450
799
Elimu Dodoma ; -

Uongozi wa Mkoa Umewazawadia kwa kuwalipia Ada ya miaka 2(Form Five na Form Six).

Zawadi hii ni kwa wanafunzi wote waliofaulu mitihani ya kidato cha nne kwa kupata Daraja la Kwanza.

Wavulana waliopata Pointi 7 ( Shule za Serikali) na Wasichana wote waliofaulu Daraja la Kwanza Single Digit,(Point 7,8,9 Shule za serikali).

Tumewazawadia walimu wote ambao walifaulisha kwa Alama A katika Masomo yao kwenye mitihani ya kidato cha nne.

Tumezawadia Shule zote za msingi za serikali ambazo zimetoa watoto waliofaulu Form one kwenda shule za wenye vipaji Maalumu.

Tumeianza safari ya kuijenga Elimu ya Mkoa wetu,naamini mwakani tukijaaliwa tutakuwa na maboresho mengi,makubwa na mazuri katika kumotisha walimu na wanafunzi wa Msingi na Sekondary.

Nawapongeza wadhamini-NMB,CRDB,TCB,NBC,EXIM,PBZ,EWURA,DUWASA,RUASA,TARURA,TANESCO,TANROAD,na Jiji la Dodoma.

Nawapongeza zaidi viongozi wa Dini,vyama vya siasa,machifu,na wazazi wote kwa kutuunga mkono.

BigUp,wazazi na Walimu wetu.

Antony Mtaka

mtaka.JPG
 
Walipeni walimu stahiki zao inavyotakiwa ili wanafunzi wote wafundishwe inavyotakiwa, mengine haya ni blah blah tu........
 
Kila mtu ana mpango kazi wake.....siipendi na naichukia tabia ya kupenda kucopycopy vya wengine badala ya kubuni vya kwako.

Infact, mleta Uzi ni moja kati ya wale wanafunzi waliokuwa wakifanya kazi ya kucopy majibu ya wenzao darasani (kuziamini akili za wengine kuliko zakwao, huu ni ujinga.)

Ubunifu wa mtaka uheshimiwe na uwe chachu ya kuibua ubunifu mwingine kwa RCs wengine lakini sio kuanza kuigaiga ubunifu wa mtaka kila mkoa.
 
Huyu mataka jana kawaumiza sana walimu ,eti unamtoa mwalimu kondoa ,chemba chamwino unakuja kumpa shilingi elfu tano kama zawadi ya kupata A moja ? na hapo kawatoa jion saa 12 ndio semina imeisha.

Wengi wamelazimika kulala dodoma mjin kwa gharama zao maana usafiri wao mwisho huwa saa10 jioni...MH. MATAKA ULICHOFANYA SIO SAWA NA MWAKANI UKIWAITA WALIMU WATAKUWA HAWAJI
 
unawaleta watu saa tatu asubuhi hata chai hamna alafu unawapa chakula saa 12 jion...! walimu wa jana poleni sana.....hamkuwa na hadhi ya kulipwa 5000 au 10000 na nauli mjitegemee ambazo zinazid zaid ya hiyo fedha aliyotoa...
 
Elimu Dodoma ; -

Uongozi wa Mkoa Umewazawadia kwa kuwalipia Ada ya miaka 2(Form Five na Form Six).

Zawadi hii ni kwa wanafunzi wote waliofaulu mitihani ya kidato cha nne kwa kupata Daraja la Kwanza.

Wavulana waliopata Pointi 7 ( Shule za Serikali) na Wasichana wote waliofaulu Daraja la Kwanza Single Digit,(Point 7,8,9 Shule za serikali).

Tumewazawadia walimu wote ambao walifaulisha kwa Alama A katika Masomo yao kwenye mitihani ya kidato cha nne.

Tumezawadia Shule zote za msingi za serikali ambazo zimetoa watoto waliofaulu Form one kwenda shule za wenye vipaji Maalumu.

Tumeianza safari ya kuijenga Elimu ya Mkoa wetu,naamini mwakani tukijaaliwa tutakuwa na maboresho mengi,makubwa na mazuri katika kumotisha walimu na wanafunzi wa Msingi na Sekondary.

Nawapongeza wadhamini-NMB,CRDB,TCB,NBC,EXIM,PBZ,EWURA,DUWASA,RUASA,TARURA,TANESCO,TANROAD,na Jiji la Dodoma.

Nawapongeza zaidi viongozi wa Dini,vyama vya siasa,machifu,na wazazi wote kwa kutuunga mkono.

BigUp,wazazi na Walimu wetu.

Antony Mtaka

huyo jamaa yupo daraja lingine kabisa, alitakiwa angalau awe waziri
 
unawaleta watu saa tatu asubuhi hata chai hamna alafu unawapa chakula saa 12 jion...! walimu wa jana poleni sana.....hamkuwa na hadhi ya kulipwa 5000 au 10000 na nauli mjitegemee ambazo zinazid zaid ya hiyo fedha aliyotoa...
Mlialikwa sherehe.?
 
Elimu Dodoma ; -

Uongozi wa Mkoa Umewazawadia kwa kuwalipia Ada ya miaka 2(Form Five na Form Six).

Zawadi hii ni kwa wanafunzi wote waliofaulu mitihani ya kidato cha nne kwa kupata Daraja la Kwanza.

Wavulana waliopata Pointi 7 ( Shule za Serikali) na Wasichana wote waliofaulu Daraja la Kwanza Single Digit,(Point 7,8,9 Shule za serikali).

Tumewazawadia walimu wote ambao walifaulisha kwa Alama A katika Masomo yao kwenye mitihani ya kidato cha nne.

Tumezawadia Shule zote za msingi za serikali ambazo zimetoa watoto waliofaulu Form one kwenda shule za wenye vipaji Maalumu.

Tumeianza safari ya kuijenga Elimu ya Mkoa wetu,naamini mwakani tukijaaliwa tutakuwa na maboresho mengi,makubwa na mazuri katika kumotisha walimu na wanafunzi wa Msingi na Sekondary.

Nawapongeza wadhamini-NMB,CRDB,TCB,NBC,EXIM,PBZ,EWURA,DUWASA,RUASA,TARURA,TANESCO,TANROAD,na Jiji la Dodoma.

Nawapongeza zaidi viongozi wa Dini,vyama vya siasa,machifu,na wazazi wote kwa kutuunga mkono.

BigUp,wazazi na Walimu wetu.

Antony Mtaka

Nzuri hii,
 
Hawa wadhamini TARURA, TANROADS wanafanya Biashara gani????
 
Yuko vizuri
 
Back
Top Bottom