Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,227
- 113,580
Sina hakika haya mazungumzo yalifanyika lini hasa. Lakini naamini si muda mrefu uliopita kwani kilichokuwa kinajadiliwa ni kile kinachoendelea hivi sasa nchini.
Huyu so-called Shangazi is caping hard for Samia! I wonder why 🤔?
In a roundabout way she is saying that Mbowe and the opposition are getting what they deserve for being disrespectful towards Samia Suluhu Hassan.
They are being disrespectful to her because she is a woman.
Sijui ana kigugumizi au sijui haijui vizuri lugha ya Kiswahili, lakini hata kuuliza maswali yanayoeleweka vizuri, hawezi!
Kwenye huu mjadala nipo na Tundu Lissu! Kajibu vizuri sana hizo hoja/maswali ya huyo Fatma. Nakubaliana naye katika kila alichokisema.
On the other hand, ni kama vile huyo Fatma na watu anaofanana nao kimawazo kuhusu Samia, anataka Samia asikosolewe sana kwa sababu ni mwanamke.
BS! She signed up for it and people have the right to go in on her with the same ferocity they went in on her predecessors.
She shouldn’t get preferential treatment just because she is a woman.
No one holding public office should be above criticism and no one should be below praise.