Mission na vision ya Serikali ya Rais Samia ni ipi?

Stroke

JF-Expert Member
Feb 17, 2012
34,632
40,790
Wakati tunaiona serikali ya awamu ya tano tulikua na picha halisi ya wapi tunaelekea kama Taifa.

Malengo ilikua ni kuhakikisha kuwa Tanzania inakua nchi ya viwanda.

Ili kutimiza lengo hilo swala la Nishati likawa na Umuhimu wake.

Kupata nishati ya uhakika mradi ya Stiglers Gorge / nyerere kutoa megawats 2400 ukaanzishwa hatimaye.

Serikali ikaamua pia kuhakikisha miundombinu inapatikana hapo tukaona ujenzi wa barabara , madaraja na hatimaye mradi mkubwa wa ujenzi wa Reli ya SGR ukishika kasi.

Ujenzi wa vituo vya afya pia ulifanyika lengo likiwa ni kuwa na huduma bora ya afya inayoendana na kasi ya uzalishaji mali.

Miundombinu, Afya na miradi ya kimkakati pekee haikutosha pekee kuhakikisha kuwa tunafikia malengo ya kuwa wazalishaji na sio wachuuzi tu kwani serikali iliweka jitihada mbali mbali za kuhakikisha kwamba rasilimali zetu zinalindwa kwa kuweka sheria mbali mbali na kuhakikisha kwamba watumishi wa uma wanatoa huduma bora na kuachana na uzembe na ubadhirifu jambo liloongeza nidhamu na uwajibikaji kwa watumishi wa umma.

Serikali haikuwa nyuma katika kukusanya mapato na kuyasimamia vyema mapato ambayo yalitumika kufund miradi ya kimkakati.

Kwa uchache tu kama Taifa tuliona kabisa wapi tunakwenda kwani ramani ya safari ilikua inaonekana kwa miradi hiyo ya kimkakati.

Baada ya Kiongozi mkuu wa awamu ya tano kumaliza safari yake, mrithi wake alishika usukani na kuahidi kumalizia miradi hiyo ya kimkakati jambo ambalo kiuhalisia ndilo linalofanyika.

Wakati tukiendelea kumaliza miradi ya kimkakati iliyoanzishwa na watangulizi wa awamu ya sasa tunapaswa kujua kama Taifa uelekeo wetu ni upi.

Haraka haraka kutokana na vitendo vya awamu ya sasa utaona kwamba lengo ni kuwapa wawekezaji nafasi zaidi ya kuwekeza hapa nchini.

Maana ikiwa kwamba kutengeneza mazingira mazuri kwa wafanyabiashara wa nje kuja kuwekeza hapa nchini.

Tumeshuhudia safari za kiongozi na pia mabadiliko ya sheria na sera kama kutoa ardhi kwa wawekezaji na urahisi wa kupata vibali vya kufanyia kazi hapa nchini.

Kama Taifa tunatumia matrilioni ya pesa kukamilisha miradi ya kimkakati lengo likiwa ni kuwa na Taifa la wawekezaji.

Miradi hii ikikamilika nini itakua nafasi ya mtanzania mzawa katika kuzalisha.

Je ataweza kushindana na wawekezaji wa nje wenye mitaji ya fedha na ujuzi??

Je serikali imewaandaa vipi watanzania katika kushiriki moja kwa moja katika shughuli za kiuchumi kama wawekezaji.

Je sera za awamu hii ya sasa zinalenga kumnufaisha mzawa au kumnufaisha zaidi mgeni??

Katika mizania hii ni vyema kukawa na mkakati wa makusudi wa serikali kuhakikisha kwamba wazawa wanashiriki moja kwa moja katika uzalishaji na sio kunufaika na faida ndogo ndogo zitokanazo na uwekezaji wa nje.

Je, ni nini hasa mission na vision ya awamu hii ambayo ndiyo itaweka msingi wa safari yetu baada ya kukamilika kwa miradi ya kimkakati??
 
Ukiniuliza personally naweza chambua mission na vision ya sasa kwa namna hii.

Mission ni kurejesha mafisadi na wapiga dili ili kufanikisha udalali wa rasilimali zote nyeti kupitia mikataba mbali mbali. Wale wote waliokuwa wamebanwa kizuizini kurudi uraiani ili kuweza kukamilisha team za ufisadi. Kupora maeneo hasa prime areas na ku re shuffle umiliki wake ili kundi flani lipate umiliki na kuweza kukodisha hayo maeneo kwa wageni (Wawekezaji) kwa manufaa yao in expense ya maelfu ya familia za watanzania. Ukiskia kule kufungua nchi hiki ndicho wanachomaanisha.

Kingine ni ku slow down miradi yote ya kimkakati ilioanzishwa na JPM ambayo kimsingi ingewanufaisha Watanzania zaidi kuliko watawala instead kuwekeza nguvu kwenye miradi ambayo ina lepe la ufisadi kupitia mikataba yake ya kinyonyaji. Hii inafanyika kwa weledi sana kupitia teuzi mbali mbali za watu ambao wanawekwa kimkakati katika maeneo tofauti ili ikifika muda wa kupitisha miswaada kazi iwe nyepesi na kuondoa wazalendo wote ambao waliwekwa kwa nia ya kusimamia kwa weledi ili miradi iende kukamilika kwa kasi. Yote haya yanaonekana dhahiri wala hamna kificho.

Vision:
Kufanya maisha ya mtanzania yawe magumu as much as they can.

Hili ni kwa ku impose kodi na tozo kali na mikopo isio na kikomo huku wakifurusha wananchi wa hali ya chini toka kwenye prime areas na kuharibu biashara zao uta refer case za masoko kuungua, kuondolewa kwa machinga. Tunakoelekea itaanza na ile tabia ya kuporana maeneo kibabe ni swala la muda tu recently tumeanza kusikia ishu ya wamasai kufurushwa Ngorongoro naamini kuna kubwa ambalo liko behind that case.

Imekuwa ni tamaduni sasa kuharibu maisha ya watanzania wa hali ya chini ili wenye mamalaka wanaojiita wenye nchi wapete tu bila kujali. Siku watanzania tukipata akili za kujisimamia pengine tutaondokana na hili jinamizi.
 
Asante kwa ufafanuzi mkuu.
 
Tunajipanga ushindi 100% uchaguzi ujao wa Rais, utaratibu tuliojiwekea CCM ni vipindi viwili vya urais.
 
Je, ni nini hasa mission na vision ya awamu hii ambayo ndiyo itaweka msingi wa safari yetu baada ya kukamilika kwa miradi ya kimkakati??
Hii bado ni awamu ya 5 muhula wa pili, hivyo mission na vision ni zile zile za mtangulizi wake.
 
Rais wa bahati mbaya. Hakugombea Wala hakuwa na wazo la kuwa rais mwenye jinsia ya kike.
Sasa hiyo vision na mission anatoa wapi?

Hakugombea kwenye karatasi ya kupiga kura hakuwepo? Acheni upuuzi mtaishia kulalamika maisha yenu yote. Ndo maana serikali inawapuuza.
 
Ukiniuliza personally naweza chambua mission na vision ya sasa kwa namna hii.

Mission ni kurejesha mafisadi na wapiga dili ili kufanikisha udalali wa rasilimali zote nyeti kupitia mikataba mbali mbali. Wale wote waliokuwa wamebanwa kizuizini kurudi uraiani ili kuweza kukamilisha team za ufisadi. Kupora maeneo hasa prime areas na ku re shuffle umiliki wake ili kundi flani lipate umiliki na kuweza kukodisha hayo maeneo kwa wageni (Wawekezaji) kwa manufaa yao in expense ya maelfu ya familia za watanzania. Ukiskia kule kufungua nchi hiki ndicho wanachomaanisha.

Kingine ni ku slow down miradi yote ya kimkakati ilioanzishwa na JPM ambayo kimsingi ingewanufaisha Watanzania zaidi kuliko watawala instead kuwekeza nguvu kwenye miradi ambayo ina lepe la ufisadi kupitia mikataba yake ya kinyonyaji. Hii inafanyika kwa weledi sana kupitia teuzi mbali mbali za watu ambao wanawekwa kimkakati katika maeneo tofauti ili ikifika muda wa kupitisha miswaada kazi iwe nyepesi na kuondoa wazalendo wote ambao waliwekwa kwa nia ya kusimamia kwa weledi ili miradi iende kukamilika kwa kasi. Yote haya yanaonekana dhahiri wala hamna kificho.

Vision:
Kufanya maisha ya mtanzania yawe magumu as much as they can.

Hili ni kwa ku impose kodi na tozo kali na mikopo isio na kikomo huku wakifurusha wananchi wa hali ya chini toka kwenye prime areas na kuharibu biashara zao uta refer case za masoko kuungua, kuondolewa kwa machinga. Tunakoelekea itaanza na ile tabia ya kuporana maeneo kibabe ni swala la muda tu recently tumeanza kusikia ishu ya wamasai kufurushwa Ngorongoro naamini kuna kubwa ambalo liko behind that case.

Imekuwa ni tamaduni sasa kuharibu maisha ya watanzania wa hali ya chini ili wenye mamalaka wanaojiita wenye nchi wapete tu bila kujali. Siku watanzania tukipata akili za kujisimamia pengine tutaondokana na hili jinamizi.

Na ndo Rais na akigombea tutampa tena. Kama unaweza kugombee wewe
 
Wakati tunaiona serikali ya awamu ya tano tulikua na picha halisi ya wapi tunaelekea kama Taifa.

Malengo ilikua ni kuhakikisha kuwa Tanzania inakua nchi ya viwanda.

Ili kutimiza lengo hilo swala la Nishati likawa na Umuhimu wake.

Kupata nishati ya uhakika mradi ya Stiglers Gorge / nyerere kutoa megawats 2400 ukaanzishwa hatimaye.

Serikali ikaamua pia kuhakikisha miundombinu inapatikana hapo tukaona ujenzi wa barabara , madaraja na hatimaye mradi mkubwa wa ujenzi wa Reli ya SGR ukishika kasi.

Ujenzi wa vituo vya afya pia ulifanyika lengo likiwa ni kuwa na huduma bora ya afya inayoendana na kasi ya uzalishaji mali.

Miundombinu, Afya na miradi ya kimkakati pekee haikutosha pekee kuhakikisha kuwa tunafikia malengo ya kuwa wazalishaji na sio wachuuzi tu kwani serikali iliweka jitihada mbali mbali za kuhakikisha kwamba rasilimali zetu zinalindwa kwa kuweka sheria mbali mbali na kuhakikisha kwamba watumishi wa uma wanatoa huduma bora na kuachana na uzembe na ubadhirifu jambo liloongeza nidhamu na uwajibikaji kwa watumishi wa umma.

Serikali haikuwa nyuma katika kukusanya mapato na kuyasimamia vyema mapato ambayo yalitumika kufund miradi ya kimkakati.

Kwa uchache tu kama Taifa tuliona kabisa wapi tunakwenda kwani ramani ya safari ilikua inaonekana kwa miradi hiyo ya kimkakati.

Baada ya Kiongozi mkuu wa awamu ya tano kumaliza safari yake, mrithi wake alishika usukani na kuahidi kumalizia miradi hiyo ya kimkakati jambo ambalo kiuhalisia ndilo linalofanyika.

Wakati tukiendelea kumaliza miradi ya kimkakati iliyoanzishwa na watangulizi wa awamu ya sasa tunapaswa kujua kama Taifa uelekeo wetu ni upi.

Haraka haraka kutokana na vitendo vya awamu ya sasa utaona kwamba lengo ni kuwapa wawekezaji nafasi zaidi ya kuwekeza hapa nchini.

Maana ikiwa kwamba kutengeneza mazingira mazuri kwa wafanyabiashara wa nje kuja kuwekeza hapa nchini.

Tumeshuhudia safari za kiongozi na pia mabadiliko ya sheria na sera kama kutoa ardhi kwa wawekezaji na urahisi wa kupata vibali vya kufanyia kazi hapa nchini.

Kama Taifa tunatumia matrilioni ya pesa kukamilisha miradi ya kimkakati lengo likiwa ni kuwa na Taifa la wawekezaji.

Miradi hii ikikamilika nini itakua nafasi ya mtanzania mzawa katika kuzalisha.

Je ataweza kushindana na wawekezaji wa nje wenye mitaji ya fedha na ujuzi??

Je serikali imewaandaa vipi watanzania katika kushiriki moja kwa moja katika shughuli za kiuchumi kama wawekezaji.

Je sera za awamu hii ya sasa zinalenga kumnufaisha mzawa au kumnufaisha zaidi mgeni??

Katika mizania hii ni vyema kukawa na mkakati wa makusudi wa serikali kuhakikisha kwamba wazawa wanashiriki moja kwa moja katika uzalishaji na sio kunufaika na faida ndogo ndogo zitokanazo na uwekezaji wa nje.

Je, ni nini hasa mission na vision ya awamu hii ambayo ndiyo itaweka msingi wa safari yetu baada ya kukamilika kwa miradi ya kimkakati??
Vision mpya ni kubugia kulingana na urefu wa kamaba yako mkuu. Aibu iliyopo kwa sasa inabidi ajitahidi baadhi ya miradi aifanyie kazi kwa wakati ili mbeleni asikose cha kusema! Bwawa la nyerere litasuasua kwa kuwa kuna watu wale hawataki likamilike maana litaharibu ulaji wao .
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom