Mkuu wa wilaya wa zamani wa Hai, Lengai Ole Sabaya amesema TAKUKURU walimkamata na kumkagua bila kufuata utaratibu.
Sabaya amesema askari anayemvamia mtu usiku wa manane ili kumkagua bila kuwa na...
Bunge lenu leo limejadili muswada wa sheria ambao unampa ruhusa askari polisi kufanya tendo lolote la jinai wakati wa kutafuta ushahidi anaotafuta katika operations (wameziita undercover...
Kwa wanaomfahamu Shaka tokea akiwa UVCCM hadi sasa akiwa Katibu wa Itikadi na uenezi watakubaliana nami kuwa ni kijana "mahiri" na mwenye mvuto wa aina yake.
Nadhani mmenielewa hasa wanaccm.
Wasalaam wana Jamvi!
Moja kwa moja kwenye mada.
1. Hakuna watu wenye raha katika nchi hii kama Wazanzibari. Wao wana privillages nyingi sana katika taifa kuliko mwananchi wa sehemu yoyote. Wao...
Salama?
Nisiwe na maneno mengi. Rais Samia alikabidhiwa nchi kipindi kigum na cha hatari Sana.
Wengi tulitarajia nchi itamahinda. Just imagine kaipokea nchi kutoka Kwa Rais ambaye aliivuruga...
Ndugu zangu!
Kwa wale tunaofuatilia kwa ukaribu hii kesi pendwa, tutakumbuka maelezo muhimu kutoka kwa mashahidi wa pande zote mbili.
Kwenye kesi ya msingi, tulisikia ushahidi wa ACP Kingai...
Marekebisho ya mitambo ya gesi Songi songo kwa ajili ya kuzalisha umeme umefikia 50%
Kazi inakwenda vizuri na matarajio ni kukamilika ndani ya siku 10 zilizoahidiwa na DG Maharage.
Source: ITV...
"Sakata la Freeman ni moja kati ya vitu vinavyoniumiza sana, Freeman amenilea, ninavyomuona yupo jela simuoni kama Mwenyekiti wa CHADEMA, namuona kama Kaka yangu, nimefanya jitihada kuhakikisha...
Nimemskia madam president jana akisikitishwa sana wakurugenzi wanne walioshindwa kusimamia pesa ya uviko kuagiza mamlaka zinazohusika kutengua ukurugenzi wao. Nashauri pia Mhe Rais apate taarifa...
Nukuu za aliyoyazungumza Mbunge wa Jimbo la Mvumi, Livingstone Lusinde, leo Jumatatu Februari 7, 2022:
"Sikiri kuwa, kuna makundi yanayoutaka urais kwa maana wanasubiri ratiba kugombea, bali kuna...
UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO MANISPAA YA MOSHI YAWARIDHISHA VIONGOZI NA WADAU MBALIMBALI
Kamati ya Fedha na Uongozi Chini ya Mstahiki Meya Juma Raibu imeridhishwa na utekelezaji wa miradi...
Wakati Marekani inaingia kwenye vita ya dunia, kwa mara ya kwanza ndio ikawa mwanzo wa kodi kwa raia wake sababu ikiwa ni kugharamia vita kama wanainchi wazalendo dhidi ya vitisho vya wa NAZ...
Hii ndio taarifa mpya inayosambaa mitandaoni kwa sasa na ni Heshima kubwa sana kwa JF na ni recognition ya nguvu sana.
Kutambuliwa huku kwa JF na Jumuiya za Kimataifa kunakuja kutokana na UHURU...
Nyendo
The Sheriff
Replica
Suley2019
Erythrocyte
Katika kesi muhimu inayoendelea ya Ugaidi na Uhujumu Uchumi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Mhe Freeman Mbowe na wenzake. Wenzetu Hawa...
Kwema wanabodi? Heri ya mwisho wa wiki kwenu nyote.
Orodha ya wanachama 11 waliojitokeza kuchukua na kurejesha fomu kuomba kuteuliwa na CCM kugombea nafasi ya Naibu Spika ni:
1. Joseph Tadayo...
Leo tarehe 6/02/2022 Viongozi wa Bavicha Taifa wameshiriki Misa Takatifu katika Kanisa Katoliki , Parokia ya Mafumbo Bukoba Mjini , ambako wameshiriki Kikamilifu kwenye Harambee ya kuchangia...
Amesema utekelezaji wa Miradi unakwama kutokana na mambo hayo matatu, akiwataka Viongozi kuacha mivutano na Siasa ziende vizuri
Amesema bado Fedha zinafujwa na kuliwa kwenye Miradi kadhaa ya Mkoa...
Hii ndio taarifa inayozunguka kwa sasa kutokea Ofisi za Bunge na kwenye Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Mbali na Kingwangala wengine waliothibitishwa kuchukua fomu hizo ni Mzee wa Tozo 'Mussa Zungu'...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.