Dodoma: Rais Samia ashiriki kikao cha Kikosi Kazi cha Wakuu wa Mikoa kuhusu mfumo wa anwani za makazi

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,915
141,874
Rais wa JMT mh Samia Suluhu Hassan anahudhuria kikao kazi cha wakuu wa mikoa wote jijini Dodoma leo.

Tukio liko mubashara ITV, TBC na Channel ten



Anwani.jpg

Rais Samia Suluhu Hassan akishuhudia Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango akipokea kwa niaba yake Bango lenye wa Anwani ya Makazi ya Ofisi ya Rais, Ikulu baada ya kuzungumza katika Kikao Kazi cha Wakuu wa Mikoa kuhusu Mfumo wa Anwani za Makazi ukumbi wa Jakaya Kikwete
 
Wakirudi hakuna cha maana wanachofanya kwa wananchi maskini,upigaji as usual,ccm is a big disgrace to this poor underdeveloped Country
 
Rais wa JMT mh Samia Suluhu Hassan anahudhuria kikao kazi cha wakuu wa mikoa wote jijini Dodoma leo.

Tukio liko mubashara ITV, TBC na Channel ten



Updates;

ULICHOFANYA LEO KUHUSU ANWANI ZA MAKAZI....NAKUPA PONGEZI RAIS WANGU. UMEONGEA POINTI KUBWA SANA, UMEFANYA NA UNAENDELEA KUFANYA MAMBO YA MAANA. HONGERA SANA
 
Rate ya Per Diem kwa wakuu wa mikoa ni 120,000

Kwa hiyo 120,000 x wakuu wa mikoa 26 x siku 3 = 9,360,000

Hapo bado Mawaziri, Manaibu Mawaziri, Makatibu Wakuu, Wakuu wa idara na vitengo, Madereva wao, na kupe kotoka Zenji

36DA7C2D-4591-4AE5-966F-0A810EA85FBA.jpeg
 
Back
Top Bottom