Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mkuu wa Wilaya ya Mtwara @kyobyad amezindua rasmi zoezi la upandaji miti katika shule ya msingi Kwale, iliyopo Manispaa ya Mtwara Mikindani. Akizungumza wakati wa zoezi Hilo, KYOBYA ameeleza kuwa...
1 Reactions
3 Replies
751 Views
TANROADS, kuweni na huruma aisee. Hivi huku kibamba mnajua mnamiliki barabara mbovu sana? Je kazi mliyopangiwa ya kuassess barabara na kupeleka mapendekezo kwa Mh Rais mliifanya? Ni lini mtaacha...
5 Reactions
11 Replies
4K Views
Serikali inafanya jitihada za kuwatambua na kuwaenzi Machifu wa maeneo mbalimbali nchini Hadi sasa jumla ya Machifu 95 wametambuliwa na kusajiliwa. Lakini Chadema wanaonekana kutouunga mkono...
1 Reactions
42 Replies
2K Views
Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Dr. Vicensia Shule ameitwa kwenye kamati ya maadili ya Chuo hicho kuhusiana na taarifa yake aliyoitoa kwenye mtandao wa Twitter akimuomba Rais Magufuli...
15 Reactions
323 Replies
47K Views
Mradi wa Mwalimu Nyerere wa umeme, Barabara za mwendokasi, Mradi wa umeme Rusumo na daraja la Busisi speed yake imepungua Sana. Lakini pia usimamizi wa Wizara na idara za serikali si wakuridhisha...
2 Reactions
29 Replies
2K Views
Mwenendo wa kesi ya ugaidi inayomhusu mhe. Mbowe na wenzake watatu unatia mashaka, tangu mwanzo wa kesi upande wa mashitaka umekua na visingizio vingi vya ugonjwa vinavyowahusu mashahidi, hawa...
13 Reactions
34 Replies
3K Views
Naibu Spika mh Idd Azzan Zungu amesema atahakikisha fedha zote za miradi zinazopitishwa bungeni zinatumika kikamilifu na siyo kifisadi. Zungu amesema mtindo wake wa uongozi ni " Jaza Ujazwe"...
7 Reactions
26 Replies
2K Views
Tulisema wakimalizana na sisi watageukiana wenyewe kwa wenyewe. Sasa ni vita vya kufa mtu kati ya Polepole na Bulembo, huku kwa mbaaali Nape akitaka kununua ugomvi kwa gharama yoyote Ile. Kumbe...
5 Reactions
40 Replies
5K Views
Nilidhani huyu mama yenu atakuwa tofauti na waliomtangulia. Kwamba hatoendeleza huu ushamba wa viongozi mbalimbali wa serikali na idara kwenda uwanja wa ndege kumsindikiza aendapo safari na pale...
73 Reactions
135 Replies
10K Views
Na Anderson Ndambo. Kuna mambo yanahitaji jicho la Tatu kuyaona na pengine kuyaamini. Tabia mojawapo ya siasa ni kubadilika badilika kulingana na majira na wakati kutokana na sababu za wakati...
133 Reactions
525 Replies
57K Views
Utiaji Saini wa Mikataba na Makubaliano hiyo unalenga kuendeleza Uhusiano kati ya Mataifa hayo mawili. Miongoni mwa Makubaliano hayo ni Mkataba wa Mkopo wa Masharti nafuu wa Euro Milioni 178 kwa...
7 Reactions
55 Replies
6K Views
Ndio habari ya mjini kwa sasa mrithi wa gwiji la siasa za Tanzania Maalim Seif Sharif Hamad sasa ni Juma Duni Haji ambaye anavaa rasmi viatu vyake Wanampokea kule kisiwani Pemba na uongozi wa...
4 Reactions
27 Replies
3K Views
Ni kama vile hayana umhimu vile lakini usiombe! Serikali ikiwapendeza yawekeni kwenye utaratibu! Kama hujawahi kuuguliwa au kuuguza huwezi kunielewa kirahisi! Iko hivi mwaka Jana wakati...
15 Reactions
40 Replies
3K Views
Former Speaker of the rubber-stamp Parliament, Job Ndugai, barely commands public respect, but his attacks of President Samia shows late Magufuli’s loyalists are baying for her blood. Dar es...
7 Reactions
55 Replies
6K Views
Serikali inaibiwa Sana kupitia electronic fiscal devices (efd) wahudika waliangalie Hilo. Leo nimenununa pasi ya shilingi elfu 38,000 lakini kwenye risit wameandika 3,800. Wakati anaandika risit...
5 Reactions
38 Replies
2K Views
Nianze kwa kumpongeza mama Samia kwa kuona mbali lakini aliona umuhimu wa kuipa kipaumbele elimu na afya hizo ndizo nguzo muhimu kwa ustawi wa maisha ya mwanadamu yeyote chini ya jua, lakini pia...
2 Reactions
5 Replies
828 Views
Taarifa zinazojiri mtandaoni sasa ni tuhuma za ubadhirifu uliofanywa na Mweyekiti wa CCM Wilaya ya Temeke bibie Almishi Hassal, ambaye anatuhumiwa kuunda vikundi hewa vya wanawake na vijana kisha...
2 Reactions
63 Replies
7K Views
Hili ni swali tu, Ukiangalia uongeaje wa ndugu Greyson Msigwa tu utagundua anatumia nguvu nyingi kuongea vitu rahisi na kwa lugha ya kiswahili Kama Mkurugenzi wa habari wa Rais hakujua Kiingereza...
17 Reactions
43 Replies
3K Views
Mara mwisho ni pale alipoonekana akiwa amepiga picha na Rais Samia Suluhu Ikulu ya Chamwino Dodoma. Hajaonekana hadharani tena na hatujulishwi rasmi yupo wapi na nini kinamsibu. Hatujui ni mzima...
8 Reactions
78 Replies
7K Views
Wanaukumbi. Kule kwenye kijiwe cha Space kumekuwa habari za porojo Spika wa kule Lema, na Rais wake Lissu, na wanaharakati njaa wanakubaliana kila porojo wanawamambia wafuasi wao ambao...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Back
Top Bottom