Ni muhimu Tanzania tukawa na utaratibu kiongozi wa Serikali achaguliwe na Bunge

BRAIN BOX

Senior Member
Mar 10, 2021
171
203
Kiongozi wa nchi yetu anapokuwa ni Rais anakuwa na mamlaka makubwa sana. Yeye hawajibiki popote na kwa yoyote.

Kwanini tusiwe na utaratibu kama wa Uingereza, India, South Africa, Canada. Tuwe na Rais au Waziri Mkuu amabaye atakuwa kiongozi wa taifa letu, ila atakaewajibika chini ya Bunge.

WATANZANIA tutakuwa tunapigia kura wabunge, na hao wabunge kutokana na uwingi wao kwa kuzingatia chama fulani, wataunda serikali.

Hii itasaidia kuhakikisha hatuwi tena na kiongozi anaetumia mabavu na dikteta.

Tukifanya aya mabadiliko nchi yetu itafika mbali sana.
 
Back
Top Bottom