Dodoma: Zungu ateuliwa na CCM kuwania kiti cha Naibu Spika wa Bunge la Tanzania

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,890
Kikao Maalum cha Halmashauri Kuu ya CCM kilichokutana leo katika ukumbi wa Halmashauri Kuu ya CCM Dodoma chini ya Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais Samia Suluhu Hassan kimempitisha Mbunge wa Ilala Mussa Zungu kuwa Mgombea wa Kiti Cha Naibu Spika wa Bunge la Tanzania.

Nafasi hii imekuwa wazi baada ya Tulia Ackson kujiuzulu unaibu Spika ili agombee Uspika.

20220208_211654.jpg
 
Kikao Maalum cha Halmashauri Kuu ya CCM kilichokutana leo katika ukumbi wa Halmashauri Kuu ya CCM Dodoma chini ya Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais Samia Suluhu Hassan kimempitisha Mbunge wa Ilala Mussa Zungu kuwa Mgombea wa Kiti Cha Naibu Spika wa Bunge
images%20(4).jpg
 
Kikao Maalum cha Halmashauri Kuu ya CCM kilichokutana leo katika ukumbi wa Halmashauri Kuu ya CCM Dodoma chini ya Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais Samia Suluhu Hassan kimempitisha Mbunge wa Ilala Mussa Zungu kuwa Mgombea wa Kiti Cha Naibu Spika wa Bunge la Tanzania.

Nafasi hii imekuwa wazi baada ya Tulia Ackson kujiuzulu unaibu Spika ili agombee Uspika.
Hii Bunge sijui hata kama wanajitathmini habari zao zinavyopuuzwa siku hizi
 
Naomba niipongeze CCM kumpa ugombea Unaibu Spika Zungu

Nyerere aliweka watanzania wenzetu ngozi nyeupe uwaziri mfano Mzungu Dr string sijui kama spelling ziko sawa alipewa uwaziri wa Afya na mhindi Amir Jamal alimpa uwaziri wa fedha

Mkuu wa Polisi mkoa wa Kagera aluyeuawa na Idd Amin alikuwa mjerumani mtanzania Hans Pope

Nashukuru mwenyekiti CCM na kamati yako kumteua Zungu ngozi nyeupe kuwa naibu spika

Naomba kwenye teuzi zako wakumbuke wahindi ,waarabu na wazungu nafasi kubwa ni watanzania wenzetu wanachangia mno uchumi wa nchi na hii ni nchi yao

Wahindi,waarabu na wazungu wako kibao lakini mwisho wa teuzi zao nafasi kubwa ilikuwa mwisho kipindi cha Nyerere sio fair rekebisha nakuomba

Ila umeanza vizuri Ngozi nyeupe nao waingie nafasi kubwa

Naomba unikoshe roho hata kumpa mhindi mmoja tu ukuu wa mkoa au cheo chochote
 
Kikao Maalum cha Halmashauri Kuu ya CCM kilichokutana leo katika ukumbi wa Halmashauri Kuu ya CCM Dodoma chini ya Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais Samia Suluhu Hassan kimempitisha Mbunge wa Ilala Mussa Zungu kuwa Mgombea wa Kiti Cha Naibu Spika wa Bunge la Tanzania.

Nafasi hii imekuwa wazi baada ya Tulia Ackson kujiuzulu unaibu Spika ili agombee Uspika.
Sasa itakuwaje ?

Watu%20wameanza%20kufukua%20makaburi%20_joy__joy__joy_%20kosa%20la%20%20%40hamisi_kigwangalla%...jpg
 
Naomba niipongeze CCM kumpa ugombea Unaibu Spika Zungu

Nyerere aliweka watanzania wenzetu ngozi nyeupe uwaziri mfano Mzungu Dr string sijui kama spelling ziko sawa alipewa uwaziri wa Afya na mhindi Amir Jamal alimpa uwaziri wa fedha...
Yani Kodi na tozo wanazokamuliwa wale waliopewa ardhi hii ya Afrika zinaliwa na wale ambao kwao huwezi hata kupewa nafasi ya kuoa au kuolewa.
 
Naomba niipongeze CCM kumpa ugombea Unaibu Spika Zungu

Nyerere aliweka watanzania wenzetu ngozi nyeupe uwaziri mfano Mzungu Dr string sijui kama spelling ziko sawa alipewa uwaziri wa Afya na mhindi Amir Jamal alimpa uwaziri wa fedha....
Hata mimi ni mweupe ngozi yangu. Kwa hiyo nifikiriwe pia
 
Back
Top Bottom