Abdalah Zombe - CHADEMA wakiongoza nchi nitajinyonga, adai Lema alikuwa mwizi wa magari! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Abdalah Zombe - CHADEMA wakiongoza nchi nitajinyonga, adai Lema alikuwa mwizi wa magari!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Candid Scope, Aug 1, 2011.

 1. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #1
  Aug 1, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
  Aliyekuwa Kaimu Kamishna wa wa polisi mkoa wa Dar es Salaam, Abdalah Zombe​

  Katika maelezo yake Zombe alisema kuwa anamshangaa Mbunge wa Arusha mjini,ambaye pia ni Waziri Kivuri wa Mambo ya Ndani Godbles Lema, kwa kitendo chake cha kuhoji kuhusu uhalali wa hukumu ya Zombe katika kesi iliyokuwa ikimkabili ya mauaji ya wafanyabiashara wa madini kutoka Mahenge. Zombe alisema kuwa Lema, hajui katiba ya Tanzania. Akifafanua alisema kuwa Lema kama mbunge/Bunge ni muhimili wa Dola unaojitegemea. Mahakama pia ni muhimili wa Dola unaojitegemea. Hivyo alishangaa kitendo cha Lema (MB) kuhoji maamuzi halali ya Mahakama.


  Akiongeza alisema kuwa Wbunge wa CHADEMA hawajui watendalo bungeni na aliapa kuwa endapo Chadema watapata ridhaa ya kuongoza nchi, yeye Zombe atajinyonga. "Endapo kama CHADEMA watatawala nchi hii, mimi nitajinyonga kabisa" Hiki ni chama cha hovyo na wabunge wake ni wa hovyo. Hawaijui katiba,alis
  ema.

  Source: Hisani ya Mjengwa Blog.

  Sehemu ya hotuba ya Mheshimiwa Godbless Lema Mbunge wa Arusha aliyoitoa bungeni kama waziri kivuli akiwakilisha bajeti mbadala toka kambi ya upinzani kama ifuatavyo:


  Lema ajibu

   
 2. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #2
  Aug 1, 2011
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,692
  Trophy Points: 280
  Akijinyonga mtu wa aina hii hakuna hasara kwa taifa,atakuwa shujaa wa watumishi waliokosa utu,walioshindwa kufuata maadili ya kazi....yeye mwenyewe ni kielezo cha uovu wa watawala na matumizi mabaya ya dola.

  Kama watu wa aina hii watajinyonga basi haebu tukaze mwendo wa mabadiliko ili siku moja tuwe na taifa lenye viongozi na dola inayoheshimu utu na haki
   
 3. Limbani

  Limbani JF-Expert Member

  #3
  Aug 1, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 1,441
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Lazima ajinyonge Chadema wakichukua nchi maana vingenevyo atanyongwa kwa hukumu ya kifo toka mahakama kuu kutokana na mauaji ya raia!!
   
 4. N

  Ngereja JF-Expert Member

  #4
  Aug 1, 2011
  Joined: Feb 27, 2007
  Messages: 796
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Naona zombe ndo hajaelewa alichozungumza Lema kwenye hotuba yake.
   
 5. Mkuu wa chuo

  Mkuu wa chuo JF-Expert Member

  #5
  Aug 1, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,255
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  ajiandae kujinyonga tu, maana freedom is coming tomorrow!
   
 6. VIKWAZO

  VIKWAZO JF-Expert Member

  #6
  Aug 1, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 1,910
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  ajinyonge mapema atakuwa amewatendea haki wafanyabiasha alio ua
  kumbe huyu jamaa chizi, hivi sheria za nchi zinasemaje kwa mtu anatishia kujiua?

  huyu ni hatari kwake na kwa watu wanaozunguka kumbe yeye kifo ni suhisho la kila kitu

  hizo ni roho za watu zinamsukuma kusema uchafu huu, hii kauri ni nzito sana hivi bado analipwa kutokana na kodi zetu ? huyu ni mfu eti apewe na mafao yake mtu aliyekufa sijui wanangoja nini?
   
 7. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #7
  Aug 1, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Inabidi ajinyonge tu maana wote walioofanya maovu ,chadema itakapo chukua uongozi wengi watawajibishwa ni kipindi haki ambacho haki itaoneka,kwa wauaji,wezi,watendaji waovu kama zombe !DAMU ALIYOMWAGA ZOMBE INAMLILIA KAMA KAINI ALIPOMUA ABEL DAMU ILIMWAGIKA ILIENDELEA KUITA,ZOMBE HIYO GUILTY COUNCIOUS HIYO INAKUNYONGA TARATIBU KABLA HATUJA CHUKUA NCHI UTAKUA UNAMALIZIKIA
   
 8. RedDevil

  RedDevil JF-Expert Member

  #8
  Aug 1, 2011
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 2,287
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Anakosea sana kusema atajinyonga!! Lets wait and see this guy, anadhani watz bado wa miaka ile, wateja wa CCM. Kanikera kweli!
   
 9. G

  Gagnija JF-Expert Member

  #9
  Aug 1, 2011
  Joined: Apr 28, 2006
  Messages: 6,316
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280
  Aandae kabisa hicho kitanzi maana soon, CDM wanaikamata nchi!
   
 10. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #10
  Aug 1, 2011
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Kwanza alitakiwa awe ameshanyongwa kwa mauaji aliyoyafanya.
   
 11. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #11
  Aug 1, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Mbona asifanye hivyo mapema tuu kwani damu za wale waliouwawa chini ya amri zake badozinalilia kutoka ardhini maana walikuwa hawana makosa
   
 12. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #12
  Aug 1, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,520
  Likes Received: 1,691
  Trophy Points: 280
  Zombe alikuwa anavunja jungu msameheni bure
   
 13. p

  politiki JF-Expert Member

  #13
  Aug 1, 2011
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 2,356
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  kombe is a criminal and he may be looking for political cover from ccm.
   
 14. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #14
  Aug 1, 2011
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,692
  Trophy Points: 280
  Naona TBC wataiweka kama leading story na magazeti ya uhuru,jambo leo nk....wanapenda stori za kinafiki kama hizi
   
 15. nditolo

  nditolo JF-Expert Member

  #15
  Aug 1, 2011
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 1,335
  Likes Received: 300
  Trophy Points: 180
  Nchi yetu ina viongozi wa ajabu sana. Wamemwachia huru chizi, sasa anaropoka kifo kinamwita na inawezekana alikuwa ameua wengi huyo.
   
 16. dudus

  dudus JF-Expert Member

  #16
  Aug 1, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 7,770
  Likes Received: 6,094
  Trophy Points: 280
  Kauli ya ajabu sana hii! Who is Zombe? Jitu lililotakiwa saa hizi liwe lilishaning'inizwa huko Isanga tunapoteza muda kulijadili humu? Pumbavu sana au linadhani bado ni inspector?
   
 17. Mpaka Kieleweke

  Mpaka Kieleweke JF-Expert Member

  #17
  Aug 1, 2011
  Joined: Feb 27, 2007
  Messages: 4,137
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Huyu kweli ni chizi kwani kwa waliosoma hotuba ya Lema hakuna mahali popote Lema alimtaja huyu jamaa , ila aliyemtaja ni waziri wa mambo ya Ndani Shamsi Vuai Nahodha wakati akitaja asikari waliowahi kupelekwa mahakamani kwa mauaji sasa lema anatoka wapi hapa , fuatilieni ile hotuba ipo hapa nzima sasa Zombe katoa wapi .
   
 18. Limbani

  Limbani JF-Expert Member

  #18
  Aug 1, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 1,441
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Msimshangae lakini, ndiyo wanaCCM wenyewe hao. Subirini tu ateuliwa Mbunge na waziri serikali ya magamba!
   
 19. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #19
  Aug 1, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,141
  Likes Received: 3,330
  Trophy Points: 280
  Muuaji zombe.
   
 20. N

  NDOFU JF-Expert Member

  #20
  Aug 1, 2011
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 656
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kujiua ni kosa la jinai,huwa wanakamatwa woote walinusurka maana ukifanikiwa kujiua basi haufungwi.VYP HUYU ALIYETISHIA KUJIUA HAWEZI KUKAMATWA KWA KOSA LA KUPANGA KUJIUA? Maana watu wanakamatwa kwa kosa la kupanga kufanya ujambazi.
   
Loading...