Tujikumbushe kidogo ubabe wa Job Ndugai Bungenii

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
13,664
18,040
Spika Ndugai alimshukia Zitto akaambiwa: Naweza kukunyima kabisa fursa ya kuongea bungeni, hakuna kuuliza swali, hakuna kuchangia chochote na huwezi kunifanya chochote wala kunipeleka popote. Usinichezee mimi nina faili langu Milembe.

Karibuni tuanike hapa ubabe wa kitu Ndugai
 
Kitu nduga* kilimshukia Zito akaambiwa: Naweza kukunyima kabisa fursa ya kuongea bungeni, hakuna kuuliza swali, hakuna kuchangia chochote na huwezi kunifanya chochote wala kunipeleka popote!! Usinichezee mimi nina faili langu Milembe!! Karibuni tuanike hapa ubabe wa kitu Nduga*.
Screenshot_20220212-082947.jpg
 
Ndugai Ni spika wa ovyo Tena Sana kuwahi kutokea,kwani alizuia watanzania tusiliangalie bunge live
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom