Rais Samia Suluhu Hassan akiwa katika mahojiano na Idhaa ya Kiswahili ya DW amesema wanasiasa wakubwa wa upinzani wako wengi nchini Tanzania na hakuna anayeishi kwa mashwaka kwa kuwa hakuna...
Mhe. Jaji amesema tarehe 18/02/2022 atatoa maamuzi kama watuhumiwa wana Kesi ya kujibu au la. Wakati huohuo ameeleza Kwamba karani wake ameshaandika page 1400+ na Kwamba anatakiwa kiutaratibu Jaji...
Mkuu wa Takukuru mkoa wa Kilimanjaro Frida Wikes amesema upatikanaji wa Lengai Ole Sabaya ulikuwa mgumu sana kutokana na Arusha na Kilimanjaro ni mikoa tofauti hivyo walisubiri amalizane na kesi...
Aliyekuwa mbunge wa Songea mjini, Abdulrabi Ali Yusuph(66) akizungumzia maisha yake baada ya kufungwa jela akiwa nyumbani kwake hivi karibuni. Picha na Lauden Mwambona. .
KWA UFUPI
Ni wa...
Waziri Makamba amesema wanakuja na mradi wa Dola billioni 1.9 kutatua tatizo.
Nauliza huu mradi ameukuta ofisini au umebuniwa ndani ya hii miezi yake 4.
Kama hajaukuta umepitishwa na bajeti ipi?
Inavyoonekana katika siku za hivi karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa sana la watu mbalimbali katika mitandao ya kijamii, wakipost picha za hayati Magufuli na kuambatanisha na jumbe za kumkumbuka...
Ni dhahir shahiri kuwa hata mtoto mdogo ukimpeleka mahakama ya uhujumu uchumi, kusikiliza kesi inayoendelea inayowakabili mheshimiwa Mbowe na wenzake watatu, atagundua kuwa Jaji Tiganga amelalia...
Ni dhahili serikali hii haijui mahitaji ya wananchi na haina vipaumbele. WM amewaagiza Tarura waweke taa mpaka vijijini. Hivi ni kweli sisi watu wa vijijini tunahitaji taa za barabarani? Hii ni...
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema Bungeni kuwa Serikali inaendelea kuchambua malalamiko ya matumizi ya Bundle kwenye simu.
Amefafanua, "Malalamiko kwamba...
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imetupilia mbali maombi ya vyama vinne vya upinzani kupinga uchaguzi mdogo wa madiwani unaotarajiwa kufanyika kesho.
Badala yake, mahakama imesema...
Tangia aingie madarakani November 2015, Rais John Magufuli amekuwa akinukuliwa mara kwa mara akitamka kwamba “Maendeleo hayana Vyama”. Kauli hii imeendelea kuleta mjadala mkubwa katika siasa za...
Lissu ni Dikteta kwa kuwa anamshawishi Rais Samia kutozingatia utawala bora na kuingilia mihimili mingine.
Lissu anataka Samia avunje Ibara ya 62 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa...
Kwa spidi ya kazi ya Mhe. Rais wa SMZ Dr. Hussein Ali Mwinyi, ni wazi kwamba maneno ya Mhe. Magufuli kwamba ninataka kuibadili Zanzibar hayakumaanisha kwamba atawapa Wazanzibari fedha bali kumbe...
===
Tanzania tayari tuna ndege mpya 11 za kisasa zinazoifanya ATCL kuwa mshindani wa Rwanda Airlines,Ethiopia Airline na Kenya Airways katika biashara ya Usafiri na usafirishaji wa anga Africa...
Tanzania Haitakuwa Nchi ya Kwanza Hapa Duniani kwa Viongozi Ku Sacrifice Mambo Kadhaa Kadhaa kwa Ajili ya Manufaa Mapana ya Taifa na Mwananchi Wake.
1. Kambarage alipokubali na kuwashawishi...
"TUNAMPONGEZA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KWA MAONO YAKE " Bi. Kate Kamba
Kamati ya siasa mkoa wa Dar es Salaam leo Januari 15,2022 imefanya ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya Chama Cha...
Balozi wa Marekani Nchini Tanzania, Donald J. Wright amepongeza kitendo cha Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Antiphas Lissu kukutana na Rais Samia Hassan...
Ni ukweli unaouma lakini hatuna jinsi lazima iwe hivyo kwa mstakabali wa taifa. Tuliona Kenya kwenye handshaking ya Uhuru na Odinga wafuasi wa Uhuru walivyonuna lakini amani inaletwa kwa...
Raisi Mwinyi ana hoja nzito sana TRA na ZRB wabadilishane Taarifa na wafanya kazi pamoja kudhibiti wakwepa kodi
Mfano alitoa ni kuwa lita za mafuta milioni 50 zililetwa Tanzania bara toka...
Huyo ni lecture;
Anasema sub saharan Africa ni row material producers hiyo ni role yake katika uchumi wa dunia.
Sub saharan countries ni muhimu kwa nchi zilizoendelea katika uchumi wake, Na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.