Habari Member's
[emoji871]Katika ufanyaji siasa za upinzani nchini,tunavyo vyama vingi vya siasa na kila kimoja kikiifuata na kuitekeleza katiba yake.
Kwa mujibu wa sheria ya usajili wa vyama...
Mengi yanayoipata nchi yetu kubwa likiwa ni kuzidi kuwa tegemezi kwa wahisani kisababishi kikubwa ni roho ya uoga tulijengewa na wakoloni na kisha muhasisi wa baba wa taifa akaja akagongelea...
Makamo wa Rais Mama Samia amesema leo ndiyo mwisho wa tatizo la kukatikakatika kwa umeme nchini
Muheza. Makamu wa Rais nchini Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema tatizo la kukatika umeme mara...
MVUVI HALISI MITEGO HAKOSI.
Mjadala mzito wa chuki, kiburi, ujuwaji na tambo unaendelea kupamba moto mitandaoni.
Si kuwa tayari kupitwa kwa vile dhulma sio tu kama naichukia, bali napambana nayo...
Hii ni Summary. Utaongezea nyama ili ambaye hakuwa anaifuatilia apate kuelewa zaidi.
Kwa mtazamo wako Je?. wana kesi ya kujibu au Lah.
Kwa mtazamo wangu.
Mbowe na wenzake hawana kesi ya kujibu...
Tundu Lissu kwenye maria space ameulizwa anaamini Mhe. Rais atafanyia Kazi Yale waliyojadiliana? Kwa majibu yake ni kwamba, kipimo kinaanza na kesi ya Mbowe. Asipomtoa tarehe 18/02/2022 ni shauri...
Mtu yoyote awe Rais au nani hawezi kuishinikiza mahakama kufanya maamuzi kwa matakwa yake.
Mahakama inapofanya maamuzi inatakiwa kuzingatia katiba ya JMT na sheria za nchi.
Presha na ngojera...
Nikiri wazi mimi nimekuwa muumini wa siasa za upinzani tangu kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi hapa nchini.
Kwa hiyo haya maoni sio kwa sababu ya chuki na wapinzani.
Sina historia yoyote...
Freeman Alkael Mbowe wewe ni binadamu na binadamu tumeumbwa kukosea ukweli ndio utakutesa kuliko uongo
Moyo wako unajua Nia yako uliyodhamiria kuitendea hii nchi Kuna mengi mazuri umeyafanya...
Mabalozi kadhaa wanaowakilisha nchi zao za Ulaya na Maeneo mengine ikiwa ni pamoja na jumuiya za kimataifa , EU na UN , leo wameonekana Mahakamani wakifuatilia hukumu ndogo dhidi ya Mwamba wa...
Hii ndio Kashfa mpya inayozunguka kwenye Manispaa hiyo kwa sasa , ikiwa ni siku chache tangu kashfa ya Mwenyekiti wa ccm wa wilaya hiyo kutafuna zaidi ya sh. mil 300 za vikundi kuibuliwa...
Binafsi na kwa Umri wangu huu sijawahi kuona Rais mnyenyekevu na mpole kama huyu (She is so simple ever).
Kwa unyenyekevu mkubwa nawaomba na kuwasihi watanzania wote wanaopenda amani, utulivu na...
Umoja wa wasomi wa vyuo vikuu wanaotokea wilayani Ngorongoro wamezungumza masuala mbalimbali kuhusiana na wilaya yao.
wameeleza sababu za wao kujaza mifugo hifadhini humo walipozungumzia habari...
Kwenye turntable DJ ni Julius Malema akiwarusha wafuasi wake wa EFF:
Kwetu Sirro akisikia Chadema wana shughuli, tegemea kuwaona Kingai na Msemwa wakiwa na DR mkononi kutokea kusikojulikana...
Kama Kiongozi kamwe usiwe katikati, chagua upande ambao utaona unakufaa na uende mazima siyo nusu nusu, nusu nusu itakufaa tu kama kila kitu kiko sawa, lkn kikinuka hauna msaada wowote na...
Mfumo wetu wa kuongoza nchi, ni mfumo wa kufikirika, ni mfumo wa kinadharia, ni mfumo wenye hadaa nyingi.
Siku zote anayekuajiri, anayekupa kazi, ndiye mkuu wako wa kazi, ni kiuhalisia katika...
Ukisikiiza hii video hasa hizo figure zinatajwa hapo utagundua J Makamba anahitaji atupe maelezo ya kueleweka kuhusu UMEME.
Lakini pia utagundua Hayati JPM tunamuonea sana, nimewaza tu hapa...
Mwanaharakati na Wakili msomi Ole Nguruma amesema hata kama itakuwa ni lazima kuwahamisha wamasai kutoka hifadhini basi wasipelekwe nje ya wilaya ya Ngorongoro.
Ole Nguruma amesema Ngorongoro ina...
Wakuu, Kama kichwa cha thread hapo juu kinavyosomeka, Kuna Jambo la kujiuliza , ikiwa washtakiwa wamekutwa na kesi ya kujibu, kwanini jaji wa case hii na Wakili wa Serikali wanaforce Wakili wa...
Waziri Mbarawa yuko sahihi Askari wa Traffic wanachangia ugumu kwenye sekta ya Usafirishaji
Alikuwa akiongelea kuhusu kupunguzwa kwa vituo vya mizani ili mizigo iwahi inakoenda alisema ni vizuri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.