WanaCCM hatuna raha lakini lazima yatimie

Equitable

JF-Expert Member
Dec 24, 2021
2,010
5,449
Ni ukweli unaouma lakini hatuna jinsi lazima iwe hivyo kwa mstakabali wa taifa. Tuliona Kenya kwenye handshaking ya Uhuru na Odinga wafuasi wa Uhuru walivyonuna lakini amani inaletwa kwa maridhiano, mapatano na makubaliano.
Handshaking ya Tundu Lisu na Samia mama yetu mpendwa inaashiria yanayotokea kwajirani zetu yamefika pia kwetu.
Asante sana mama kwa kuitafuta amani ya nchi yetu nje ya mipaka yetu.
Kuna watu wanataka kuhujumu juhudi zako za kusaka suluhu na wapinzani.
Eti mama kamfuata TL mara
TL aliomba akutane na mama
Eti TL amekaguliwa hadharani
Eti TL ameropoka kuhusu mazungumzo yenu.

Hawa ni wanaCCM wenzangu wasiotaka suluhu na amani ya nchi yetu.
Wameona Kenya kiongozi mkuu kumuunga mkono Odinga inaweza tokea na hapa petu.
Wasikukatishe tamaa Kazi iendelee.

Baada ya jirani kushindwa kampeni ya #Uhuruto sisi tutafanikisha

#LISULUHU.

Naandika nikiwahi kazini Niliyokosea mnisa.
 
LISULUHU🔥🔥🔥🔥🔥🔥
 
Ukweli ni kuwa sisi wananchi wapenda haki tutashinda.

Kuna baadhi ya watu kumbe wanafurahia migogoro.

wamenuna ajabu
 
Hawa ni wanaCCM wenzangu wasiotaka suluhu na amani ya nchi yetu.
Wameona Kenya kiongozi mkuu kumuunga mkono Odinga inaweza tokea na hapa petu.
Wasikukatishe tamaa Kazi iendelee.
Unajua ndani ya ccm kuna uzao mkubwa sana wa shetani, na huu ndio ukweli na hoja zipo!
Majitu makatili yaliyojaa dhuluma, yenye mikono inayonuka damu za wenzao, waongo kuliko shetani!
 
Back
Top Bottom