Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Na Mwal. Maziku, Singida Makamanda salaam! Waswahili wanasema ukistaajabu ya Mussa utaona ya Firauni. Kitendo cha kiongozi wa CHADEMA Ndugu Lissu kutanguliza maombi binafsi kwa Rais ni usaliti...
15 Reactions
44 Replies
4K Views
ZIARA YA SEKRETARIETI YA CHAMA KWA MIKOA YA ZANZIBAR. Leo tarehe 19/02/2022, Kaimu Naibu Katibu Zanzibar, Ndugu Salim Bimani ameongoza ujumbe wa Kamati ya Mashauriano ya Zanzibar ambayo ni...
0 Reactions
1 Replies
550 Views
Askari ma gereza wamemfuata FREEMAN Mbowe, anahitajika ofisini kwa Jaji katika kikao cha pamoja na mawakili wa pande zote (serikali na utetezi), Washtakiwa wengine watatu bado wamebakia...
20 Reactions
93 Replies
8K Views
Wanayopitia Mbowe na wenzake yanaweza kuelezewa na maneno haya ya machache ya Hayati Nelson Mandela. Historia haijurudii, bali watu ndio hujirudia(Mandela amejirudia na safari hii ni hapa nchini...
9 Reactions
9 Replies
1K Views
Maalim Seif alivyoenda kuonana na Magufuli CHADEMA walimsema sana maalim seif na kumuita msaliti na MNAFIKI wa demokrasia na wa vyama vya Upinzani Tanzania., lakini mbona Style aliyoonana Maalim...
6 Reactions
69 Replies
4K Views
Wanaukumbi. Tundu Lissu, ameomba kukutana na Raia Samia moja ya ombi ilikuwa ni suala la Freeman Mbowe, alimalise Mbowe atoke jela, ombi hilo ndiyo aliomba Zitto Kabwe, kwa Rais Samia lakini...
29 Reactions
197 Replies
12K Views
Jamani, TANESCO naomba nielewesheni Jana nimenunua umeme wa 200000 lakini nimekatwa vat 29500 Ewura 14000 Rea 4900 Swali ni kwann mimi mteja nikatwe pesa zote hizi wakati umeme nguzo nalipia...
1 Reactions
8 Replies
928 Views
Bunge la JMT limeahirishwa leo bila ya mbunge wa Kongwa mh Ndugai kuwepo bungeni. Mungu wa mbinguni awabariki sana!
9 Reactions
70 Replies
6K Views
Mwenyekiti wa Tawi la ACT Wazalendo la CMILICAN Kata ya Tandale, Said Omary Tengeneza, Kinondoni, pamoja na wanachama wake wote wamejiondoa rasmi ndani ya Chama hicho kupitia kikao Cha pamoja...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
"Tutaendelea na mapambano ndani ya mahakama, Mwenyekiti Mbowe na wenzake licha ya kukutwa wana kesi ya kujibu, haimaanishi kuwa wamekutwa na hatia, kulingana na mashahidi waliopo wengine...
21 Reactions
56 Replies
4K Views
Wanabodi za asubuhi! Tangu zamani sana nyakati zile za biblia Mungu aliwafunulia waja wake kuhusu hatma yao ya matukio ya mbeleni kwenye maisha kupitia watumishi wa mungu kama manabii na...
4 Reactions
10 Replies
2K Views
Habarini watu wa ukumbi huu.., Vyanzo vya ndani vinasema hivyo, Tundu Lissu alikutana na Rais Samia kwa matakwa na maamuzi yake binafsi haikuwa ajenda ya chama wala hawakuwahi kukaa ata kwa...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Askofu Dkt. Bagonza ameeleza haya baada ya Rais Samia kukutana Tundu Lissu, naa baadaye Lissu kuongelea kile alichozungumza na Rais. Lissu anaweza kuwa amekosea kwenda in detail ya mazungumzo na...
18 Reactions
166 Replies
16K Views
Mkutano wa Lissu na Rais ulikuwa na ajenda za msingi zinazo ligusa taifa. Ajenda za Chadema ambazo pia ni za kitaifa zimetolewa na kujadiliwa pande zote mbili kwa hoja. Chadema wame litendea haki...
3 Reactions
2 Replies
505 Views
Dkt. Muhammed Seif Khatibu ambaye alikuwa ni miongoni mwa viongozi waandamizi wa siku nyingi Serikalini na kwenye Chama cha Mapinduzi amefariki dunia. Aliwahi kuwa Mbunge wa jimbo la Uzini...
11 Reactions
127 Replies
25K Views
Mwaka 2020 Tundu Lissu baada ya kumaliza kupiga kura akiwa wilayani Ikungi mkoani Singida alisema kwa kinywa chake kuwa zoezi la uchaguzi limenda vizuri. Lakini baada ya matokeo kutoka Lissu...
0 Reactions
7 Replies
723 Views
Yapo Mambo ukiyaangalia Kwa macho ya ROHONI unatambua Yana fumbo kubwa Sana. Mbowe ni mhalifu aliyekamatwa na serikali ya makini ya awamu ya sita,akafikishwa mahakamani, akasomewa mashtaka...
16 Reactions
31 Replies
2K Views
Nitaandika kidogo lakini kwa mwandiko uliokolea , nitaandika Kwa ajili ya watu wenye akili zakupambanua mambo na siyo kwa wanaosubiri siku zipite wazeeke. Naandika kwa watu wenye macho ya ujasusi...
3 Reactions
3 Replies
962 Views
Hii kesi itavua Watu nguo saana, nakiri nilikua sahihi kusali usiku na mchana isifutwe. Muda huu kwenye cross examination, Mtobesya anamtaja Aliyewahi kuwa Waziri wa Ulinzi Ndugu Mwinyi kuwa...
41 Reactions
312 Replies
26K Views
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameiagiza Wizara ya Maliasili na Utalii iandae semina kwa wabunge wote ili kujenga uelewa wa pamoja kuhusu yanayoendelea katika hifadhi ya Ngorongoro. Mheshimiwa...
7 Reactions
85 Replies
8K Views
Back
Top Bottom