Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Habari Wakuu, Leo 15/ 02/ 2022 shahidi wa 13 anatarajiwa kuendelea kutoa ushahidi wake kwenye kesi inayomkabili Mbowe na wenzake 3 baada ya Ushahidi wake kutokamilika jana Kujua Kesi ilipoishia...
41 Reactions
307 Replies
45K Views
Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imebaini kuwa Shirika la Ndege (ATCL) lilipata hasara ya Sh60.24 bilioni kwa mwaka wa fedha 2019 /2020. Mwenyekiti wa PAC, Naghenjwa Kaboyoka...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Wanachama wa Chadema wilaya ya Ludewa mkoa wa Njombe wakiandamana kupinga maamuzi ya chama hicho kukata jina la mshindi wa kura za maoni na kumteua aliyeshindwa ,mbali ya kuandamana pia...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Rais Magufuli amenukuliwa akisema haya.. Wakati tunaingia madarakani tuliambiwa Tanzania kuna ugonjwa wa Zika, aliyetangaza na aliyetumiwa kutangaza nikamfukuza kazi (bahati mbaya ni Mgogo)...
13 Reactions
290 Replies
34K Views
Tungeanzisha wizara ya mafuta na gesi. Kwenye wizara ya Nishati tuyatoe mafuta na gesi. Kuweka mafuta na gesi kwenye wizara ya nishati kutasababisha sekta nzima ya nishati kuzorota. Kuna wadau...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Kuna mambo yanafikirisha mno na hakika MUNGU siku zote hakawii kumuonyesha mtu adui yake halisi. Siku chache tu zilizopita CCM walikua mstari wa mbele kuwalaumu CHADEMA kuwa sio wasikivu...
20 Reactions
69 Replies
5K Views
Kauli ya kamati ya bunge imeniacha hoi na mshangao sana kwamba eti kampuni ya mwendokasi inajiendesha kwa hasara. Hili nalipinga kwa nguvu zote, kwa jinsi wanavyojaza abiria na wateja wake ni...
24 Reactions
138 Replies
8K Views
Ni suala la muda tu na muda umekaribia, huwezi kuishi kwa Uongo maisha yote, uongo ni mzigo na mgumu sana kuutetea siku zote. Tundu Lisu na Samia ni wamoja kufungwa kwa Mbowe kuna mengi zaidi...
6 Reactions
68 Replies
6K Views
Ni kawaida kwa Marais wa Tanzania kukutana na Watanzania wanaoishi kwenye nchi ambazo viongozi hao hufanya ziara za kiserikali, kwa mfano , Mama alipofika nchini Marekani alikutana na Watanzania...
23 Reactions
163 Replies
12K Views
Leo upande wa mashtaka umefunga ghafla kesi ya ugaidi inayowahusu washtakiwa wanne akiwemo Freeman Mbowe. Katika hali ya kushangaza shahidi muhimu ambaye akitajwa karibu kila siku na mashahidi...
54 Reactions
185 Replies
16K Views
Under Mkapa the biggest drive was privatization of assets and nationalization of debt. Although Mzee Ruksa gets blamed for laisse faire liberalization it was Mkapa really who had overdone economic...
0 Reactions
0 Replies
895 Views
Na: Peter Mwaihola. Mapema baada ya kuchuguliwa Rais Wa DRC Felix Tshisheked alipata Kutiliwa mashaka kua Ni serikali gani angeiunda hii kutokana na chama chake kutopata wabunge wa kutosha ili...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Nguvu kubwa iliyotumika kuusaka ubunge kwa mbunge wa Mbeya mjini DK. Tulia Ackson iliwaaminisha wengi kuwa ndiyo itakua dhamira ya utendaji ofisini pindi atakapopata idhini hiyo. Ndoto ya kuusaka...
5 Reactions
40 Replies
5K Views
Katika hali isiyodhaniwa na wengi Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe Majaliwa Khassim Majaliwa amfunda Mhe Job Yustino Ndungai kuhusu nafasi ya Urais, =========== Kassim Majaliwa: Madaraka yote...
31 Reactions
178 Replies
15K Views
Habarini, Niende moja kwa moja kwenye mada. Kiukweli nimefurahishwa na huu mpango wa anuani ya makazi na postikodi ambao kwa namna moja au nyingine litawezesha vijana kupata ajira hizo za muda...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
RC Geita amezungumzia sakata la wananchi waliopanga kwenda kufanya tambiko kubwa kwenye kaburi la Magufuli. Amewachimba mkwara wale wote waliopanga kufanya hivyo na amewaambia maswala ya...
7 Reactions
68 Replies
5K Views
Ndugu Zanguni leo ndio nimehitimisha majukumu yangu ya mradi unaohusisha mambo ya Jamii kupitia shirika lisilo la kiserikali la WORLD VISION. Pamoja na mengine nimekuwa nikikaa kwenye vijiwe...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
January Makamba akijibu hoja za wabunge kuhusu kukatika kwa umeme, kwanza alimlaumu mbunge Musukuma kwa kumshambulia yeye binafsi na kueleza kazi ya ubunge sio kushambuliana na kama ana matatizo...
12 Reactions
213 Replies
14K Views
Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini imetaja mambo matatu yanayochangia kupanda kwa bei ya mafuta ikiwemo uwezo mdogo wa maghala ya kupokelea na kuhifadhi mafuta nchini. Mwenyekiti wa kamati...
2 Reactions
26 Replies
3K Views
Kwa kutambua umuhimu wa mradi wa kufua umeme wa Mto rufiji Marais wastaafu na mawaziri wakuu wastaafu wametembelea bwawa la kuzalisha umeme la NYERERE Hii ni hatua kubwa za kuenzi legacy ya JPM...
11 Reactions
110 Replies
13K Views
Back
Top Bottom