seedfarm
JF-Expert Member
- Feb 9, 2020
- 260
- 2,654
Mkuu wa Takukuru mkoa wa Kilimanjaro Frida Wikes amesema upatikanaji wa Lengai Ole Sabaya ulikuwa mgumu sana kutokana na Arusha na Kilimanjaro ni mikoa tofauti hivyo walisubiri amalizane na kesi zake Arusha
Mkuu wa Takukuru Kilimanjaro amethibitisha kuwa tuhuma za Sabaya zinazidi kumiminika kwenye ofisi yake Kilimanjaro,
Aidha Frida Wikes amefafanua kuwa kuendesha kesi mfululizo mkoani Arusha za Sabaya zimefanya kuwa ngumu kumpata Lengai Ole Sabaya ili ajibu tuhuma zinazomiminika mkoani Kilimanjaro
Frida Wikes amesema atafafanua wakati na muda muafaka utakapofika