Haofii hata usalama wake tu kwanza achilia mbali wa nchi? I mean, kwa hali ilivyo kwa sasa muda wowote dunia inaweza kuwa nyingine kabisa, ila Rais yuko Uarabuni, hii ni sawa kweli?
Salaam Wakuu,
Pamoja na mapungufu ya mambo ya vyama vya Siasa na Malalamiko ya Demokrasia, safari hii nafuu kuliko wakati ulopita.
Rais Samia anaiongoza Tanzania. Na hatoki kwani bado...
Rais Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Makamu wa Rais ambaye ni Waziri Mkuu wa Nchi za Falme za Kiarabu na Mtawala wa Dubai, Sheikh Mohammed bin Rashid Al Maktoum
Amekutana naye...
HOTUBA YA WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII
MHESHIMIWA LAZARO SAMUEL NYALANDU (MB),
AKIWASILISHA BUNGENI MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA FEDHA KWA MWAKA 2015/2016
Dodoma...
Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe amesaini mikataba mitatu ya ushirikiano na makampuni matatu Dubai, nchini U.A.E. Makampuni hayo ni pamoja na Ofisi binafsi ya biashara ya mwana Mfalme Sheikh...
Nauliza tu kama mtu akitaka kusoma file la matibabu ya Hayati JP Magufuli anaweza kupewa.
lengo ni kufanya utafiti wa sababu ya vifo vya marais wa Tanzania and draw conclusion
Research question...
KC wa ACT Wazalendo mh Zitto Kabwe ameendesha semina kwa Mawaziri wote wa chama chake namna wanavyoweza kufuatilia shughuli za Serikali na kutoa mawazo yao.
ACT Wazalendo ina mawaziri vivuli kwa...
Inavyoonekana mheshimiwa Tundu Lisu anapenda tu kuishi Ulaya kwani 2020 alifanya kampeni kwa amani nchi nzima lakini alipomaliza tu akakimbilia Ubalozi wa Ujerumani
Ndio najiuliza kama huyu Tundu...
Wadau Bunge linaendelea....soma hii scenario kama ilivyotokea leo katika maswali na majibu, na kisha conclude kwa uelewa wako (ukizingatia mahusiano ya kiuchumi kati ya Tanzania na China)...
Wana bodi nikiri ni miaka mingi nimepotea humu. Wale mlionimiss mniwie radhi. Mods pia acha kuunganisha uzi wangu na mingine isiyohusiana na maswala haya nayoyaongelea.
Turudi kwenye Mada:
Siku...
Huyu jamaa ni mmiliki wa mashule yake huko mikoani hususani Arusha hivyo mda mwingi anakaa arusha na hajui changamoto za wapiga kura wake.
Hajawahi kuongea bungeni Wala kuishauri serikali juu ya...
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu kwani wananchi wengi waliamini kwamba Dkt. Kigwangalla alitumbuliwa baada ya Rais Magufuli kutamka hadharani kwamba Waziri wa Utalii anashinda mbugani akila BATA...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Njombe Rose Mayemba,baada ya kuzinduliwa mpango mahususi wa kuchangia Chama (Join the chain) ametoa wito kwa wanachama kuendelea...
Serikali ya Tanzania kupitia Mganga Mkuu, Dk. Aifello Sichalwe, leo Jumamosi, imetoa tahadhari dhidi ya mlipuko wa Ugonjwa wa Polio, ulioripotiwa hivi karibuni nchini Malawi.
Zoom Saturday
[emoji843]Kuelekea Mwaka mmoja wa Rais Samia Madarakani
Watch Tanzania inakualika kushiriki Mkutano [emoji2783] 26-02-2022 (Jumamosi) kupitia Mtandao wa Zoom kuanzia [emoji354]Saa...
Hakika Mbowe ameonewa sana, ameteswa sana, amedhulumiwa sana na utawala wa CCM na serikali yake ya awamu hii ya 5
Watanzania hatuko kimya tumefunga kwa kuomba na kusali na kumshtakia Mungu kwa...
UCHAMBUZI- HURUMA YA RAIS SAMIA, ILIVYOONDOA MATESO YA WATOTO SHULE SHIKIZI.
Na Bwanku M Bwanku.
Leo Ijumaa Februari 25, 2022 kwenye Gazeti la TANZANIA LEO Ukurasa wa 6 nimechambua uamuzi wa...
Fedha za Mpango wa Ustawi na Mapambano dhidi ya UVIKO-19
Anaandika Waziri wa TAMISEMI Ummy Mwalimu
Ofisi ya Rais TAMISEMI tuliidhinishiwa jumla ya TZS bilioni 512.1. Kati ya hizi:-
TZS bilioni...
Msiba wa kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),Shambe Sagafu aliyefariki mwanzoni mwa wiki ,uligeuka kuwa uwanja wa siasa baada ya mwenyekiti wa chama hicho Moshi Mjini, Alhaj Omar Amin Shamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.