Maji ni uhai wa vitu vyote vinavyopumua Dunia, nichukue nafasi hii kumpongeza Waziri kwa kushugulikia tatizo hili ambalo limekuwa sugu hasa kwa wauza Maji ya ku pump kutumia pump za dezel au...
Salaam wana jamvi
Nimejaribu kutembelea mitandao mbali mbali, Instagram Facebook/meta Twitter,n.k nimegundua Kuna harakati za kizalendo huko mitandaoni zinaendelea, vijana ni mabalozi wa sekta...
Rais Hakainde Hichilema kutoka Zambia na Rais Samia Suluhu Hassan kutoka Tanzania ndio marais pekee kutoka Africa wanaokwenda ng'ambo kwa kutumia ndege za abiria|Umma.
Rais Samia Suluhu wa...
Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewataka wadau wanaopendekeza matumizi ya viberenge katika kupanda Mlima Kilimanjaro kutathimini kwa kina mpango huo ambapo ameonyesha kutoridhia mikakati...
Kwa muda mrefu nimefuatilia mijadala na makala mbali zinazohusu taifa letu. Nimeona wengi wakilalamika, wakikosoa hata kutukana mamlaka kubwa zaidi ya nchi yetu.
Nilichogundua Watanzania wengi...
Jamani amkeni amkeni
Huko Dubai mambo ni moto balaa! Leo hii Rais wa JMT Mhe Samia Suluhu Hassan ameshuhudia utiaji saini wa mikataba zaidi ya 30 ya uwekezaji Tanzania yenye thamani ya fedha za...
Mwenye kuelewa atusimulie na sisi tuwe sehemu ya mpango huu , maana hiki Chama kila mara kinakuja na mambo mazuri ya kushangaza lakini ya kuigwa pia.
Zipo taarifa kwamba CHADEMA ndio wanaotoa...
KAULI YA NAPE KUWA,HAKUNA WIZI WA VIFURUSHI NA MWENYE USHAHIDI APELEKE, NI YA HOVYO MNO.
Na Bashir Yakub, WAKILI
+255 714 047 241.
Wizi upo na ushahidi ni vigumu kuupata. Na hii ni kwasababu...
Mheshimiwa Rais anatumia akili nyingi,nguvu na fedha nyingi sana kuhakikisha mradi wa kihistoria wa reli ya kisasa ya umeme unakamilika. Siku chache zilizopita TRC imesema wapo katika mchakato wa...
No dividend as profit tumbles, reveals Swissport
SWISSPORT Tanzania has declared there will be no dividend to shareholders after its profit tumbled in the first half of this year due to business...
Utaratibu huu mpya wa " kuwezesha mambo " ndani ya chama ama waweza kuita kusongesha ni MPANGO MAHSUSI wa kuchangia CHADEMA kwa lengo la kuharakisha ukombozi.
Sasa Kuanzia tarehe 1/03/2022...
Tungeambiwa sisi ni wajamaa hivyo ni lazima tuwaunge mkono wakomunisti hata kama ni kwa shingo upande.
Mambo yamebadilika sana kwa mfano Tundu Lissu ndio anaishi upande wa magharibi.
Maendeleo...
Na Bwanku M Bwanku
Leo Jumanne kwenye Gazeti la TANZANIA LEO Ukurasa wa 6 nimechambua ziara ya siku 3 ya Rais Samia Suluhu Hassan kule Falme za Kiarabu (UAE) ambapo Jana Jumatatu Februari 28...
Mapokezi ya Spika wa bunge la Tanzania ambaye pia ni mbunge wa jimbo la Mbeya mjini Dk Tulia yameacha historia kwenye jiji la Mbeya leo.
Wananchi kuanzia mkoa wa Iringa wamejipanga barabarani...
Mbunge wa Mtama, Nape Moses Nnauye amemjia juu kwa mara nyingine Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kwa kusema kwamba hakuunda kamati ya kumchunguza yeye, bali aliunda kamati ya kuchunguza tukio la...
Habari Wakuu!
Mambo yetu yanasikitisha mno. Yanahuzunisha Sana.
Tumezoea kulalamika.
Tumezoea kulaumu wengine huku Sisi tukifanya yaleyale.
Taikon sitaki kumlaumu yeyote. Siku zote nitakuwa...
Mkuu wa idara ya itikadi na uenezi wa chama cha Mapinduzi, Humphrey Polepole wakati akiongea na waandishi wa habari amesema CCM na watanzania wenye akili timamu wamejipanga kuwafundisha adabu...
Haya ndio nitakayofanya nikishika hatamu na kuwa kiongozi:-
1. Nitaendelea kulinda Tunu za Taifa vkiwemo Mwenge wa uhuru na Muungano wetu uliodumu kwa muda mrefu Sana.
2. Nitaendeleza miradi...
Mheshimiwa Rais,
Umefanya ziara ya kikazi huko UAE, hilo ni jambo zuri tunalifurahia
Lakini wakati ukifanya Ziara hiyo, Watanzania hatujasahau kuwa Kampuni ya waarabu wa UAE iitwayo OBC imekuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.