Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

CHADEMA ipo mioyoni mwa watanzania. CHADEMA inapitia magumu ya kipesa na hata ya kukandamizwa na wenye dola. Lakini inaimalika kila siku, na uzuri inaimalika ndani ya mioyo ya watanzania...
4 Reactions
6 Replies
926 Views
Afisa Manunuzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa, Mussa Kimwaga amemlalamikia Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo kwa kutukana na kuwa mbabe kwa watumishi. Bw. Kimwaga akitema cheche Tuna ubunifu...
18 Reactions
51 Replies
7K Views
Na Mwl Udadis Taarifa ya Benki kuu ya Tanzania inaonyesha bidhaa za zetu zinazouzwa nje zimeongezeka hadi kufikia thamani ya Dola za kimarekani Bilioni 1.2 kutoka Milioni 908.6 mwaka 2020...
5 Reactions
10 Replies
879 Views
Huku Rufiji jiji cha Mloka kuna vyama viwili tu vinavyojulika (ccm na cuf) chadema hawakijui,Ila wananchi wa Mloka wamechoka na vyama hivyo wanaisubiri kwa hamu M4c ifike huku.Fanyeni hima...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Pamoja na majonzi ya kuondokewa na Mh. Rais lakini ni vema tukakumbuka maisha aliyoishi. Magufuli kwa kutambua kwamba ana maradhi yasiyotibika alienda kupata kikombe cha miujiza kwa Babu wa...
82 Reactions
436 Replies
59K Views
Taarifa kwa Umma kutoka CCM kama ilivyotolewa na Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Shaka Hamdu Shaka.
3 Reactions
28 Replies
3K Views
Magazeti karibu yote kwenye front page yameweka picha ikimuonesha askofu Niwemguzi akimuinamia SSH, je hii picha imetoka wapi na kusambazwa na nani. Je ina uhusiano na kujilinganisha na Mungu? 7
10 Reactions
78 Replies
7K Views
Mama unakumbuka Serikali ya JK ilivyoyumba? Ilianza kuyumbishwa Bungeni. Genge ambalo halikuridhishwa na ushindi wa JK 2005 likaungana na genge la mtandao wa JK lililokasirika kwa kukosa vyeo...
10 Reactions
89 Replies
6K Views
Habar za muda huu ndugu wanajukwaa Sote tunafahamu yanayoendelea hapa nchini kwetu,ukiachana na suala la Ngorongoro Conservation suala la moto kwa Taifa hili ni kesi ya Freeman Aikaeli Mbowe...
25 Reactions
53 Replies
4K Views
Kesi ya Freeman Mbowe ni ya ki historia, imetengenezwa faili kabla hata ya kukamatwa, imefunguliwa jalada huku wakiwaza afunguliwe shitaka la kummaliza. Inasemekeana Lissu na Mbowe ni threat...
0 Reactions
11 Replies
977 Views
Hiki ni kilio cha mbunge wa Kongwa ambaye pia ndio Spika wa bunge la JMT mh Ndugai. Tanesco heshimuni maeneo wanayotoka viongozi wakuu, hayo ni maoni yangu! --- KONGWA UMEME ULIKUWA UNAKATIKA...
7 Reactions
44 Replies
6K Views
Wapo wachumi wengi mashuhuri duniani ambao wamefanya tafiti juu ya impact of foreign aid on economic growth. Wamefanya hivyo kwa kuangalia data za kipindi kirefu. Kwa mfano, wapo walioangalia data...
38 Reactions
164 Replies
8K Views
Nimejaribu kufuatilia Kwa ukaribu wengi wa wakosoaji na wasifiaji wengi Kundi kubwa ni Vijana,na shida kubwa ya ulimwengu huu tulionao wa sayansi na teknolojia,Vijana wengi wanamiliki simu...
2 Reactions
6 Replies
939 Views
Wengi wa wanachama au wafuasi ni watu wa kushabikia political issues bila kuwa na uwezo wa kufanya analysis na kuchambua mambo. Kwa mantiki hii tufanye usajili makini kupata watu makini. Kila...
1 Reactions
4 Replies
841 Views
Imekuwa muda mrefu sana, Watanzania waishio Kusini mwa Tanzania pia wanatamani uwatembelee hata kama utakwenda mikono mitupu. Hakuna makuu kule, 2025 si mbali.
4 Reactions
40 Replies
3K Views
Kama vile lissu alipolalamika kwamba kuna plans za kumuuua na baadaye akapigwa risasi za kutosha basi march 2018 mbowe alishayajua pia
7 Reactions
20 Replies
2K Views
Chama cha mapinduzi kimezindua chuo chao cha uongozi wiki hii kilichojengwa kwa kushirikiana na vyama rafiki barani Africa kwa ajili ya kuwapika au kuwafunda viongozi watarajiwa wa nyadhifa...
1 Reactions
0 Replies
617 Views
MRADI wa Maboresho ya Bandari ya Dar es Salaam (DMGP) Mradi huu unaohusisha ujenzi wa gati namba moja hadi nane umefikia asilimia 95 ya ujenzi wake huku uzinduzi rasmi wa mradi huo ukitegemewa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Gazeti la Fahari Yetu limeandika tuhuma dhidi ya Mwenyekiti wa CHADEMA na Mbunge wa Hai, Freeman Mbowe, likimhusisha na matumizi ya milioni 800 za ujenzi wa jengo la ghorofa la Ofisi za Makao...
5 Reactions
193 Replies
22K Views
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza, mapenda kutoa yangu machache ya moyoni kumshauri Rais wangu mpendwa MH SSH, katika uongozi...
21 Reactions
168 Replies
9K Views
Back
Top Bottom