Analogia Malenga
Platinum Member
- Feb 24, 2012
- 5,292
- 10,844
Serikali ya Tanzania kupitia Mganga Mkuu, Dk. Aifello Sichalwe, leo Jumamosi, imetoa tahadhari dhidi ya mlipuko wa Ugonjwa wa Polio, ulioripotiwa hivi karibuni nchini Malawi.
Hata hayo mengine bado yapo... Sema chanjo zimesaidia kuimarisha kinga za miili ya watu!Hivi mbona huu ugonjwa umekuwa ngumu kutokomea tofauti na Ndui, Donda koo,Pepopunda n.k.?.