Kufuatia ongezeko la visa vipya vya maambukizi, nchi zimeweka taratibu mbalimbali kwa wasafiri kuingia na kutoka ili kudhibiti kusambaa kwa maambukizi ya COVID-19
"Taratibu hizi ni pamoja na...
Kwa aliyefatilia kikao cha Jana cha Bunge atakuwa amepata picha kile ninachojaribu kuelezea hapa.
Musukuma anamtupitia mashambulizi makali Mh Makamba kwa kutoa ushahidi wa kile alichokuwa...
Wandungu, siyo siri naamini nanyi mmeona kuwa chuki dhidi ya watanzania waishio nje ya nchi imeongezeka sana kipindi cha uongozi wa Rais Magufuli. Kama huamini jaribu kupitia mitandao ya kijamii...
Chadema ni Chama ambacho kinaenda na wakati. Ule ubunifu wa Chadema kuja na Kadi za kielectronic Kama Diamond card, Silver card,Gold card na Platinum ni mkakati ambao umefanikiwa kwa kiasi...
Wakati wa utawala wa awamu ya kwanza Tanzania tulikuwa ni nchi isiyofungamana na upande wowote yaani Mashariki tumo na Magharibi tumo.
Je, bado msimamo huo tunao hadi sasa?
Maendeleo hayana vyama!
Niombe tu serikali chonde chonde mrejesheni makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu hapa nyumbani kwani nchi za Ulaya siyo salama sana kufuatia vitisho vya hivi karibuni vya Rais Putin wa...
Mahali ninapoishi huku bara, kuna wapemba wengi wanamiliki ardhi na wanaendesha maisha yao vyema kabisa. Naomba kujua nikwanini mtu wa bara akitaka kiwanja visiwani inakuwa nongwa? Nini maana ya...
1. Je, akiachiwa hatosababisha HATARI ya Kiusalama?
2. Je, akiachiwa hatotumika na Maadui wa Mzanzibari Kumdhoofisha Kisiasa?
3. Je, akiachiwa hawezi kutumia kuwepo Kwake Lupango kama Turufu ya...
Kwa Hali ya ushahidi ulivyotolewa na Jamhuri watu wafuatao wataitwa na upande wa utetezi kwenda kutoa ushahidi. Lengo la kuwaita watu hao nikutaka kuionyesha Dunia uhusika wao au mtizamo wa juu ya...
Sikatai kumuenzi Mwalimu nyerere,
Lakini hii kasumba ya kumuenzi Mwalimu kwa kuita Majengo jina lake Naona sasa Imepitwa na wakati!
Ifahamike Mwalimu hakuwa malaika! Hivyo tunaweza kufanya bora...
Caspian Limited imefikia makubaliano na Kampuni ya South Africa Petra Diamonds ya kununua asilimia 31.5 ya hisa za Williamson Diamonds Limited(WDL) kwa thamani ya dola za Kimarekani million 15...
✓Fursa ya kuvutia uwekezaji nchini kwa sababu yananakutanisha wafanyabiashara, watoa huduma na wawekezaji kutoka mataifa mengi kwa wakati mmoja
✓Fursa ya kutangaza na kuonesha mazao, bidhaa...
Serikali ya Tanzania imesema kuwa hakuna Mtanzania ambaye amepata madhara yoyote nchini Ukraine kutokana na taifa hilo kushambuliwa na majeshi ya Urusi, ambapo imewataka kuzingatia maelekezo...
Baada ya kuondolewa kwenye uenezi wa CCM, alikuwa anafundisha elimu ya uongozi, akaita chuo cha uongozi.
Ukitafakari sana utaona kana kwamba CCM walikuwa wanakitangaza chuo chao kijajusi jasusi...
Wakati Chama cha Demokrasia na Maendeleo kikiwa kwenye maandalizi ya Baraza Kuu, Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi amekitaka kitoe maelezo ya kina kwa nini kiliwafukuza uanachama...
Tanroad wanajua sisi wananchi hatujui kizuri wala kibaya, wanajua wananchi ni limbukeni chochote wanachojenga sisi tunashangilia.
Pia wanajua uelewa wetu mdogo unawasaidia kujipatia sifa za...
Ni lazima tupongeze pale ambapo mtu anafanya vizuri. Hussein Bashe ameleta muonekano mpya wa kilimo, ubunifu na uwekezaji.
Bashe akipewa muda kilimo cha Tanzania kitaenda mbali sana. Tatizo ni...
Tukio liko mubashara ITV, TBC na Channel ten
Rais Samia anazindua zoezi la uelimishaji na uhamasishaji wa sensa ya watu na makazi 2022 katika uwanja wa Jamhuri Dodoma.
=====
Rais wa Tanzania...
Katika maisha, kuna mambo fulani yakitokea ndiyo humthibitisha mtu kama ubinadamu wake ulikuwa umekamilika au mtu huyo hakuufikia utimilifu wa ubinadamu halisi.
Moja ya mambo hayo ni jirani na...
Viongozi waandamizi hawa katika Mihimili ya Utendaji na Bunge id est Makonda na Ndugai wako Oldonyo gani kusikoweza kufika mkono wa serikali?
Tundu alikwepa Mahakama hadi Wakili akajiondoa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.