Rose Mayemba: Wanachadema toeni michango, tuna njaa kali. Hii njaa ni kali tutashindwa kudai demokrasia

Idugunde

JF-Expert Member
May 21, 2020
6,273
6,637
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Njombe Rose Mayemba,baada ya kuzinduliwa mpango mahususi wa kuchangia Chama (Join the chain) ametoa wito kwa wanachama kuendelea kutoa michango kwa kuwa haiwezekani kudai demokrasia ya kweli wakiwa na njaa. https://t.co/UWwleS0fUi
20220226_114630.jpg
 
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Njombe Rose Mayemba,baada ya kuzinduliwa mpango mahususi wa kuchangia Chama (Join the chain) ametoa wito kwa wanachama kuendelea kutoa michango kwa kuwa haiwezekani kudai demokrasia ya kweli wakiwa na njaa. https://t.co/UWwleS0fUiView attachment 2131671
Sawa kama ilivyo KWA watanzania wote tuna njaa chadema. Nao ni watz ,

Dogo ulibahatika kusoma hesabu za logic??
 
Hii njaa haijachagui na sisi tuna njaa, cha muhimu labda nasi tuchangie kudai demokrasia na nyie mkipata chance msaidie kupunguza njaa zetu na zenu....
 
Ukweli gani wewe unataka Watanzania waukubali? CCM inaendesha shughuli zake kwa hela ya Serikali ikiwapo ruzuku na rasilimali nyingine za Serikali wakati Chadema haichukui hata senti moja ya ruzuku sasa wanachadema wa hiari yao kuchangia chama chao tatizo nini? Wache upumbavu wenu wa kimalaya
Sure
 
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Njombe Rose Mayemba,baada ya kuzinduliwa mpango mahususi wa kuchangia Chama (Join the chain) ametoa wito kwa wanachama kuendelea kutoa michango kwa kuwa haiwezekani kudai demokrasia ya kweli wakiwa na njaa. https://t.co/UWwleS0fUiView attachment 2131671
Unapata taabu sana Mungu alimtandika shetani....
 
Back
Top Bottom