Kuelekea Mwaka mmoja wa Rais Samia Madarakani

Kuelekea Mwaka mmoja wa Rais Samia Madarakani

MIMI BABA YENU

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2019
Posts
319
Reaction score
755
Zoom Saturday

[emoji843]Kuelekea Mwaka mmoja wa Rais Samia Madarakani

Watch Tanzania inakualika kushiriki Mkutano [emoji2783] 26-02-2022 (Jumamosi) kupitia Mtandao wa Zoom kuanzia [emoji354]Saa 10 kamili-[emoji354]12:30.

[emoji2788]Mada: Maendeleo katika Sekta ya Utalii kuelekea Mwaka mmoja wa Rais Samia Madarakani.

Muda ukifika utaweza kujiunga na kushiriki moja kwa moja kwa kubofya [emoji1542] Join our Cloud HD Video Meeting

[emoji843] Au kupitia
[emoji186] Meeting ID: 84764779447
[emoji359] Passcode: 901586

Karibu tujadili Mafanikio katika Sekta ya Utalii kuelekea Mwaka mmoja wa Rais SAMIA SULUHU HASSAN Madarakani.
 
Mwaka mmoja nchi imeingia kwenye giza totoro. Kila kona hakuna umeme. Magufuli aliwezaje na wao wanakwama wapi?
 
Back
Top Bottom