Uonevu mnaomfanyia Mbowe na CHADEMA ipo siku Mungu atajibu mapigo

Lord OSAGYEFO

JF-Expert Member
Feb 19, 2021
3,086
4,879
Hakika Mbowe ameonewa sana, ameteswa sana, amedhulumiwa sana na utawala wa CCM na serikali yake ya awamu hii ya 5

Watanzania hatuko kimya tumefunga kwa kuomba na kusali na kumshtakia Mungu kwa uonevu huu.

Mkakati wa kumwonea Mbowe uliripotiwa toka mwaka 2018 na leo umetimia.

Hakika ipo siku mungu atajibu kilio chetu.

Wanachama na wafuasi wa chadema wamo magerezani kwa kesi za kusingiziwa wanaumia wanateseka

Viongozi wa Chadema walipewa kesi na kulipa faini ya mil.300 kwa makosa ya polisi ya kumpiga risasi Akwilina ukweli uonevu huu umezidi

Tundu lissu alipigwa risasi mchana kweupe mpaka leo hakuna kesi

Tundu Lissu alipokonywa ubunge wake na kunyimwa haki zake na aliyefanya hivyo leo sio spika tena watawala wapo kimya

Leo Mh Mbowe yupo mahabusu kwa kesi iliyosukwa mwaka 2018

Mungu ni mwema atasikia vilio vya watu wake.

JamiiForums1824456335.jpg
 
Hakika Mbowe Ameonewa sana ,Ameteswa sana,Amedhulumiwa sana na UTAWALA wa CCM na SERIKALI YAKE ya AWAMU HII ya 5

Watanzania hatuko KIMYA Tumefunga kwa KUOMBA na KUSALI na KUMSHTAKIA MUNGU kwa UONEVU HUU.
Mkakati wa Kumwonea MBOWE uliripotiwa Toka Mwaka 2018 na LEO UMETIMIA.

Hakika IPO Siku MUNGU atajibu KILIO CHETU.

Wanachama na Wafuasi wa CHADEMA wamo Magerezani kwa KESI za KUSINGIZIWA wanaumia Wanateseka
VIONGOZI Wa CHADEMA Walipewa KESI na KULIPA Faini ya Mil.300 kwa MAKOSA ya POLISI ya Kumpiga Risasi AKWILINA ukweli UONEVU HUU umezidi

TUNDU LISSU alipigwa RISASI Mchana Kweupe Mpaka LEO hakuna KESI

TUNDU LISSU alipokonywa UBUNGE wake na Kunyimwa Haki zake na Aliyefanya hivyo Leo SIO SPIKA TENA Watawala Wapo KIMYA

LEO Mh MBOWE yupo MAHABUSU kwa KESI iliyosukwa Mwaka 2018

MUNGU ni MWEMA atasikia VILIO vya Watu Wake.View attachment 2126850
Screenshot_20220222-083112.jpg
 
Linapokuja suala linalomhusu mwanadamu huwa naweka akiba ya maneno.........

Kama kweli MBOWE alipanga njama hizo Mungu amshushie adhabu iliyo kuu......

Kama ni khila za kibinadamu dhidi yake basi Mungu ataonyesha utukufu wake dhidi ya watesi wake......

......,................AMEN......................
 
Hakika MBOWE Ameonewa sana ,Ameteswa sana,Amedhulumiwa sana na UTAWALA wa CCM na SERIKALI YAKE ya AWAMU HII ya 5
Watanzania hatuko KIMYA Tumefunga kwa KUOMBA na KUSALI na KUMSHTAKIA MUNGU kwa UONEVU HUU.
Mkakati wa Kumwonea MBOWE uliripotiwa Toka Mwaka 2018 na LEO UMETIMIA.
Hakika IPO Siku MUNGU atajibu KILIO CHETU.
Wanachama na Wafuasi wa CHADEMA wamo Magerezani kwa KESI za KUSINGIZIWA wanaumia Wanateseka
VIONGOZI Wa CHADEMA Walipewa KESI na KULIPA Faini ya Mil.300 kwa MAKOSA ya POLISI ya Kumpiga Risasi AKWILINA ukweli UONEVU HUU umezidi
TUNDU LISSU alipigwa RISASI Mchana Kweupe Mpaka LEO hakuna KESI
TUNDU LISSU alipokonywa UBUNGE wake na Kunyimwa Haki zake na Aliyefanya hivyo Leo SIO SPIKA TENA Watawala Wapo KIMYA
LEO Mh MBOWE yupo MAHABUSU kwa KESI iliyosukwa Mwaka 2018
MUNGU ni MWEMA atasikia VILIO vya Watu Wake.View attachment 2126850
Kuna namna nyingi za kulipa madhambi uliyotenda hapa hapa duniani. Mwacheni Mbowe alipe madhambi yake;
1. Kunyanga'anya uongozi kutoka kwa Bob Makani mwaka 2003 na kupelekea akina Paul Kyara na Mchatta kujutenga nankuanzisha chama cha SAU

2. Kuuawa kimazingira yasiyoeleweka kwa Chacha Wangwe aliyetaka kugombea UWENYEKITI kwenye mwaka 2007 pale PandaMbili karibu na Kibaigwa

3. Kufukuzwa kwa Zitto Kabwe na wenzie mwaka 2010 kwa sababu Zitto aliitaka kugombea uwenyekiti wa CHADEMA

4. Kuiuzia CHADEMA magari mabovu kupitia kampuni yake

5. Kuuza nafasi ya kugombea uRais kwa Lowassa iliyokuwa ya Dr Slaa kwa Tsh 10 Billion ambazo aligawana na mkwewe Mtey na Maalim Seif

6. Kutoitisha uchaguzi wa Mwenyekiti toka 2003 na kujifanya Mwenyekiti wa maisha wa CHADEMA

7. Kugawa viti Maalum vya CHADEMA kwa mahawara zake kina Joyce Mukya, Grace Kiwelu, Chiku Abwao etc

8. Kufisadi fedha ambazo Jafari Sabodo alitoa kwa ajili ya kujengea ofisi

Hayo ni machache tu, nakushauri mtoa mada achana kuunga mkono UJINGA huu, kwa vile Mbowe yuko hapo kufanya ujasiriamali wa siasa. Tafuta pesa usipoteze muda
 
Shida ni wafuasi wa Cdm kuyakubali mateso hayo. Nchi za ki Africa, ukifanya siasa za kiistaarabu unachukuliwa kama mnyonge na shamba la bibi la kujifunzia kila kitu.

Hawaoni resistance yoyote ya kukataa manyanyaso.
 
Linapokuja suala linalomhusu mwanadamu huwa naweka akiba ya maneno.........

Kama kweli MBOWE alipanga njama hizo Mungu amshushie adhabu iliyo kuu......

Kama ni khila za kibinadamu dhidi yake basi Mungu ataonyesha utukufu wake dhidi ya watesi wake......

......,................AMEN......................
Mbowe hawezi kupanga ujinga hivyo, anaonewa sababu ya misimamo yake
 
Kuna namna nyingi za kulipa madhambi uliyotenda hapa hapa duniani. Mwacheni Mbowe alipe madhambi yake;
1. Kunyanga'anya uongozi kutoka kwa Bob Makani mwaka 2003 na kupelekea akina Paul Kyara na Mchatta kujutenga nankuanzisha chama cha SAU
Kuuawa kimazingira yasiyoeleweka kwa Chacha Wangwe aliyetaka kugombea UWENYEKITI kwenye mwaka 2007 pale PandaMbili karibu na Kibaigwa
 
Hakika Mbowe Ameonewa sana ,Ameteswa sana,Amedhulumiwa sana na UTAWALA wa CCM na SERIKALI YAKE ya AWAMU HII ya 5

Watanzania hatuko KIMYA Tumefunga kwa KUOMBA na KUSALI na KUMSHTAKIA MUNGU kwa UONEVU HUU.
Mkakati wa Kumwonea MBOWE uliripotiwa Toka Mwaka 2018 na LEO UMETIMIA.

Hakika IPO Siku MUNGU atajibu KILIO CHETU.

Wanachama na Wafuasi wa CHADEMA wamo Magerezani kwa KESI za KUSINGIZIWA wanaumia Wanateseka
VIONGOZI Wa CHADEMA Walipewa KESI na KULIPA Faini ya Mil.300 kwa MAKOSA ya POLISI ya Kumpiga Risasi AKWILINA ukweli UONEVU HUU umezidi

TUNDU LISSU alipigwa RISASI Mchana Kweupe Mpaka LEO hakuna KESI

TUNDU LISSU alipokonywa UBUNGE wake na Kunyimwa Haki zake na Aliyefanya hivyo Leo SIO SPIKA TENA Watawala Wapo KIMYA

LEO Mh MBOWE yupo MAHABUSU kwa KESI iliyosukwa Mwaka 2018

MUNGU ni MWEMA atasikia VILIO vya Watu Wake.View attachment 2126850
Gaidi hilo acha kifungwe, alifurahi mnooo kifo cha mtu wetu Dkt Magufuli
 
Na vipi kama anachopitia Mbowe ni MALIPO ya UBAYA kutoka kwa Mungu ambao amekuwa akiwafanyia wengine??
Ni mwendelezo wa UKATILI na ukandamizaji wenu kijani kupitia mawakala wenu, uliyoanza kitambo na kuimarika sana wakati wa Babeli Mkuu.
Mmehangaika sana katika ushetani wenu bila mafanikio na hivi sasa zimebaki hadithi/tungo KAMA za watoto.
SIO siri kuwa Mwamba Mbowe BADO ni kikwazo kikubwa kwa juhudi zenu za kuiua CHADEMA. AMEN
 
Hakika Mbowe ameonewa sana, ameteswa sana, amedhulumiwa sana na utawala wa CCM na serikali yake ya awamu hii ya 5

Watanzania hatuko kimya tumefunga kwa kuomba na kusali na kumshtakia Mungu kwa uonevu huu.

Mkakati wa kumwonea Mbowe uliripotiwa toka mwaka 2018 na leo umetimia.

Hakika ipo siku mungu atajibu kilio chetu.

Wanachama na wafuasi wa chadema wamo magerezani kwa kesi za kusingiziwa wanaumia wanateseka

Viongozi wa Chadema walipewa kesi na kulipa faini ya mil.300 kwa makosa ya polisi ya kumpiga risasi Akwilina ukweli uonevu huu umezidi

Tundu lissu alipigwa risasi mchana kweupe mpaka leo hakuna kesi

Tundu Lissu alipokonywa ubunge wake na kunyimwa haki zake na aliyefanya hivyo leo sio spika tena watawala wapo kimya

Leo Mh Mbowe yupo mahabusu kwa kesi iliyosukwa mwaka 2018

Mungu ni mwema atasikia vilio vya watu wake.

View attachment 2126850
Mungu atalipa yote anayofanyiwa mh mbowe inasikitisha sana
 
17 Reactions
Reply
Back
Top Bottom