MSINGI mmojawapo muhimu katika utekelezaji kivitendo wa dhana ya demokrasia katika taifa lolote lile ni pamoja na kuwapo kwa uhuru wa wananchi kutoa maoni yao juu ya yale yanayoihusu nchi yao...
1. Serekali ya CCM haijafanya hata jema moja machoni mwao tangu uhuru
2. Mahakama hutenda haki endapo tu upande unaoungwa mkono na Chadema utashinda, vinginevyo husema mfumo wa mahakama Tanzania...
Chalinze. Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Ridhiwan Kikwete amewainua baadhi ya wakuu wa idara aliokuwa ameambatana nao kwenye ziara yeke kujibu kero zilizotolewa na wananchi...
Watanzania ni lazima tuwe makini sana na uwekezaji kwenye uhifadhi wa mafuta. Kwa historia ya Tanzania ni lazima tuelewe ufisadi mkubwa sana kwenye hii nchi unafanyika kwenye sehemu kuu tatu (1)...
Jana Jumatano Machi 02, 2022 Viongozi wetu wa Dini walikutana na Rais Samia Suluhu Hassan na kufanya nae mazungumzo mbalimbali pale Ikulu.
Katika hali iliyonishangaza Mimi na nadhani hata kwa...
Kwa mujibu wa gazeti la Raia Mwema, Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, kipo njiani kupigilia msumari maamuzi ya kuwatimua uanachama akina Mdee na wenzake, Kisha kupeleka wabunge wengine wa viti...
Tokea huo UVIKO-19 uanze, mimi nilikuwa na mashaka sana.
Mashaka hayakuwepo kwenye uwepo wa ugonjwa wenyewe.
Mashaka yangu yalikuwepo kwenye ukali wa ugonjwa.
Toka awali kabisa nilisema kuwa...
SERIKALI KUJUMUISHA ANUAI ZA JAMII KWENYE TEHAMA
Vijana, Wazee, Walemavu, Wanawake Kunufaika na Tanzania ya Kidijitali
Kuongeza Ushiriki wa Makiundi Maalum kwenye TEHAMA
Na Mwandishi...
Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi ametengua utenguzi wa Dkt. Abdulla Suleiman Ali aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu (Afya) Wizara ya Afya
Wengine waliotenguliwa ni Mkurugenzi Mkuu wa Sekretarieti ya...
“LOLIONDOGATE” IS BACK WITH CLIMATE CHANGE BITING DEEP IN MAASAILAND
Young Maasai boy walks behind herd of cattle (Credit: Pixabay)
By Winfrith Hikloch Ogola
Sendeka Ole Njolayi is normally a...
Mjumbe wa kamati kuu na Katibu wa BAWACHA mkoani Mwanza amesema wanamtarajia Tundu Lissu kurejea nchini hivi karibuni na kwamba pamoja na kuendesha kikao cha Baraza kuu pia atafanya mikutano nchi...
Sasa imekuwa kawaida kila wanapokaa na kuketi kwenye vikao utawasikia wakisema wanataka mamlaka kamili ya nchi yao,hata washereheshaji huwaga wanaimba tunataka nchi yetu sasa tumechoka ,na mitaani...
Udhaifu wa vyama vya upinzani ni kugeukana kwenye critical times baada ya uchaguzi mkuu kupita.
1. Critical time ya kwanza ni 2015 baada ya kufutwa kwa matokeo ya uchaguzi mkuu Zanzibar. Baada ya...
Jambo Member's @JF.
Jambo Moderators@JF.
Niende kwenye Mada yangu moja kwa moja.
Jana viongozi wa madhehebu ya kidini walifanya kikao na Mh Rais wa JMT[emoji1241].
Ombi mojawapo kubwa ilikuwa...
Kwa namna mama anavyo lishughulikia suala la wamasai wa Ngorongoro hakika anastahili pongezi.
Ni kwa njia shirikisho na jumuishi. Sasa hawa Wamasai wanachopigia kelele mpaka kwenye vyombo vya...
Pamoja na kuwa na lengo lenye nia njema ya kumtendea haki Mbowe, sikubaliani na kauli ya kuwa Samia ampe Mbowe msamaha. Msamaha kwa kosa lipi? Inajulikana wazi kuwa Mbowe kabambikiwa kesi kwa...
Kwa mujibu wa mashtaka katika kesi ya ugaidi waliokusudiwa kudhuliwa ni Lengai Ole Sabaya, Masoko na Vituo vya mafuta.
Hivyo basi kama viongozi wa dini wanajua ukweli wa mashtaka hayo walipaswa...
Historia ya uchapakazi na kujituma ni kati ya mambo mengi yanayotoa tafsiri ya uongozi wa Rais Samia Suluhu. Baada ya ziara yenye mafanikio makubwa Barani Ulaya na katika Falme za Kiarabu, Haya ni...
Hii ndio taarifa mpya iliyotolewa na Mahakama ya Hakimu Mkaazi Kinondoni , ambako Hakimu Mkaazi Aron Lyamuya amempa Paulo Makonda , RC wa zamani wa Dar es Salaam siku 21 kuwasilisha HATI KINZANI...
Tunawasikia CCM wakisifia mikataba ,ambayo Raisi wao anatiliana huko anapokwenda kutembea ,sio mbaya ,mkae mkijua Uchaguzi uliopita haukuwa uchaguzi na sasa wananchi wanahemea mlo mmoja kwa siku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.