Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Libya ilivamiwa na US kwa ushirika wa Ulaya na hasa Uingereza na Ufaransa. Wakaona ni haki yao kuvamia Libya na kumuondoa rais na hata akalawitiwa na wafuasi wao. Hakuna nchi ya kiafrika...
14 Reactions
29 Replies
2K Views
Ghafla pamezuka ushindani ambapo Zitto Kabwe anasema yeye ndio kasababisha Mbowe afutiwe kesi baada ya kumuombea Msamaha kwa Rais. Lakini wapo wanaosema Mbowe yuko huru baada ya kuombewa msamaha...
3 Reactions
25 Replies
2K Views
Mchambuzi wa maswala ya kisiasa kitaifa na kimataifa Abdukarim Atik amesema kwa mujibu wa kifungu cha sheria alichotumia DPP kuachana na kesi ya ugaidi ya Freeman Mbowe na Makomandoo ni kwamba...
1 Reactions
1 Replies
781 Views
Mbowe na wenzake watatu wamekaa gerezani kwa at least miezi minane na mahakama imesikiliza kesi dhidi yao kwa at least miezi mitano mfululizo. Out of the blue, leo Mbowe na wenzake wameachiwa huru...
9 Reactions
9 Replies
1K Views
Na Baba Askofu Bagonza Kalikawe HAYUKO HURU; YUKO NJE YA GEREZA Niwakumbushe? Mwezi Februari 1990, Nelson Mandela akatolewa jela. Akaja Tanzania kushukuru. Tukajipanga na mabango na kushangilia...
7 Reactions
6 Replies
1K Views
Wanafunzi wa Kitanzania walio katika mji wa Sumy nchini Ukraine wameruhusiwa kutoka nchini humo kupitia mpaka wa Russia baada ya mazungumzo ya kidiplomasia kufanyika na Serikali ya Russia...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Wanaweza kuendelea na Majukumu yale yale ya VIP PROTECTION au wakawekwa kwenye Kitengo kingine chochote ambacho Chama kitaona wanafit . Hawa Vijana si wa kuwatupa hata kidogo, wanaweza kusaidia...
21 Reactions
43 Replies
4K Views
IGP Simon Sirro leo Agosti 2, 2021 akizungumza kukamatwa kwa Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe IGP Simon Sirro leo Agost 2,2021 amefanya mkutano na Waandishi wa Habari ambapo amezungumza...
13 Reactions
879 Replies
62K Views
Viongozi wetu wengi ukiacha wale wazee waanzilishi ni hawa wa 1940-1960. Hichi ndiyo kizazi cha wasomi, mafisadi, waheshimiwa , watunga sheria karibu wote wa Tanzania ya sasa Swali...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Ni vema ukawa mtu wa kwanza kufahamu kwamba Mashahidi wa Utetezi kwenye kesi ya Ugaidi wenye thamani ya Shilingi za Tanzania Laki sita (600,000) , watatoka ndani na nje ya nchi , na tayari...
17 Reactions
78 Replies
7K Views
Kuna uwezekano mkubwa Moses Lijenje alikamatwa na pengine alipelekwa selo za Polisi zisizojulikana pengine na kupewa majina mengine ili asijulikane kama ilivyokuwa kwa akina Adamoo. Kwa kuwa pia...
16 Reactions
77 Replies
7K Views
Ni siku ya tatu sasa akihutubia ktk moja ya safu ya mafundisho yake katika jamii. Askofu wa Kanisa la TAG hapa Ubungo Kibangu Maarufu kama Mzee wa Upako ametoa maoni yake juu ya kesi anayohisi...
34 Reactions
143 Replies
14K Views
Kwanza nianze kwa kukupa pole kaka na kiongozi wangu mh. Mbowe kwa kusota lupango(ukonga) kwa zaidi ya siku 226. Nakukabirisha mtaani kwa nderemo na vifijo tele mimi magufulist a.k.a sukuma gang...
7 Reactions
23 Replies
2K Views
Wakili msomi Halord Sungusia amesema sheria za Tanzania hazijaweka utaratibu wa mtu aliyewekwa mahabusu kwa muda mrefu kudai fidia pindi itakapobainika aliwekwa mahabusu kimakosa, akishinda kesi...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Mkurugenzi wa Mashtaka nchini amewataka wapelelezi wote nchini kuhakikisha wanaifanya kazi yao ya " Uchunguzi" kwa weledi, kitaaluma na umakini mkubwa. DPP amesema hii itasaidia mahakama kutenda...
7 Reactions
50 Replies
3K Views
Hapo vipi! Jana nimesikia maombi ya viongozi wa dini kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kiukweli kinachoonekana hapo nikwamba baadhi ya viongozi wa dini ni wanasiasa wenye mrengo...
6 Reactions
30 Replies
2K Views
ANNOUNCEMENT BY ZITTO THE TCD CHAIRPERSON. The National Conference on Justice, Peace and Reconciliation organised by Tanzania Centre for Democracy @TCDemokrasia will be officiated by President...
6 Reactions
64 Replies
7K Views
Huenda wengi hawajui visa vya mabwawa ya kufua umeme na historia ya Afrika. Nimeona bora niwaelimishe. Mabwawa haya yana kitu kinaitwa 'geo-politics' toka zamani na yapo mabwawa ambayo yamewahi...
6 Reactions
11 Replies
2K Views
Back
Top Bottom