Nilifikiri Ole Sabaya ndiye angesamehe kwanza kisha ndio viongozi wa dini wamwendee Rais kwa msamaha wa kikatiba!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,853
141,772
Kwa mujibu wa mashtaka katika kesi ya ugaidi waliokusudiwa kudhuliwa ni Lengai Ole Sabaya, Masoko na Vituo vya mafuta.

Hivyo basi kama viongozi wa dini wanajua ukweli wa mashtaka hayo walipaswa pia kumtembelea Ole Sabaya ambaye siku hizi anavaa Rozari na kumwomba asamehe.

Wamkumbushe tu ile Sala ya " Baba Yetu Uliye Mbinguni " Sina hakika kama msamaha unaoombwa ni wa KIIMANI au Kisiasa ila nilicho na uhakika nacho Msamaha huombwa na yule Mkosaji ikiwa ni ishara ya kujutia makosa yake.

Maendeleo hayana vyama!
 
Unamjua sabaya au ushabiki,mimi namjua toka 2015 akiwa na jamaa anaitwa masudi wakitapeli...jamaa yangu wa karibu alimpiga pesa ndefu za mradi wa ufugaji wa kuku wa mayai huko siha,jamaa kawekeza shamba kubwa sana la kuku ila umeme uko mbali ya km 15 ...alichomfanya jamaa alimpiga 57m kua atamfanyia mpango umeme uletwe mpka leo anasubiria umeme barabarani
 
Ole sabaya lazima anyee debe sana maana yeye ndio aliongoza timu ya kutaka kumuua mama kule tanga shukrani kwa CDF aliyeingilia kati kumuokoa mama kila akikumbuka hii sabaya atafia gerezani aise
 
Salaaaaaleeeee kuna hii tena ya Tanga? mbona siijui hii? ile huyo Ole Sabaya kama ni makando kando anayo ya kumtosha kwa maisha yake haswa. ninachokijua kesi inayoendelea sasa hivi huyu mtu ndio alitaka kumfanyia ubaya Mbowe, alishtuka akaweka makomandoo ndio Mwendazake akawakamata wale Makomandoo ila sasa Mungu nae achana na watu wanaomwamini Mungu. Akaona isiwe Tabu akapita naye vile kama tulivyoona ile mwaka jana
 
Kwa mujibu wa mashtaka katika kesi ya ugaidi waliokusudiwa kudhuliwa ni Lengai Ole Sabaya, Masoko na Vituo vya mafuta.

Hivyo basi kama viongozi wa dini wanajua ukweli wa mashtaka hayo walipaswa pia kumtembelea Ole Sabaya ambaye siku hizi anavaa Rozari na kumwomba asamehe.

Wamkumbushe tu ile Sala ya " Baba Yetu Uliye Mbinguni " Sina hakika kama msamaha unaoombwa ni wa KIIMANI au Kisiasa ila nilicho na uhakika nacho Msamaha huombwa na yule Mkosaji ikiwa ni ishara ya kujutia makosa yake.

Maendeleo hayana vyama!
  1. Kwa kadri ninavyojua hadi sasa Mbowe hajakiri kosa lolote kwa hiyo hana sababu ya kuomba msamaha
  2. Kwa mujibu wa taarifa rasmi iliyotolewa na Mkurugenzi Zuhra Yunus, viongozi wa dini hawakumuombea msamaha Mbowe. Namnukuu Bi Zuhra " ....viongozi hao wa dini wametumia mkutano wao na Mhe Rais Samia kuomba mamlaka husika kutumia busara ili kuangalia namna ya kumaliza kesi inayomkabili kiongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe na wenzake"
  3. Ole Sabaya hawezi kuvaa rozari kwa sababu haiamini, haikubali wala haiheshimu. Na hii si tu kwa sababu ya imani ya dini anayodai kuifuata, kwani hata angekuwa katika madhehebu yanayoamini rozari angekuwa ameitukanisha rozari kwa kuinasibisha na matendo yake yanayokinzana na utukufu wa rozari kwa wanaoiamini.
 
Ole Sabaya wanataka WEWE ndio UMSAMEHE
 
Ole sabaya lazima anyee debe sana maana yeye ndio aliongoza timu ya kutaka kumuua mama kule tanga shukrani kwa CDF aliyeingilia kati kumuokoa mama kila akikumbuka hii sabaya atafia gerezani aise
Kama ni kweli basi ni vema Sabaya akaniachia tu yule manzi.
 
  1. Kwa kadri ninavyojua hadi sasa Mbowe hajakiri kosa lolote kwa hiyo hana sababu ya kuomba msamaha
  2. Kwa mujibu wa taarifa rasmi iliyotolewa na Mkurugenzi Zuhra Yunus, viongozi wa dini hawakumuombea msamaha Mbowe. Namnukuu Bi Zuhra " ....viongozi hao wa dini wametumia mkutano wao na Mhe Rais Samia kuomba mamlaka husika kutumia busara ili kuangalia namna ya kumaliza kesi inayomkabili kiongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe na wenzake"
  3. Ole Sabaya hawezi kuvaa rozari kwa sababu haiamini, haikubali wala haiheshimu. Na hii si tu kwa sababu ya imani ya dini anayodai kuifuata, kwani hata angekuwa katika madhehebu yanayoamini rozari angekuwa ameitukanisha rozari kwa kuinasibisha na matendo yake yanayokinzana na utukufu wa rozari kwa wanaoiamini.
Yap
 
Salaaaaaleeeee kuna hii tena ya Tanga? mbona siijui hii? ile huyo Ole Sabaya kama ni makando kando anayo ya kumtosha kwa maisha yake haswa. ninachokijua kesi inayoendelea sasa hivi huyu mtu ndio alitaka kumfanyia ubaya Mbowe, alishtuka akaweka makomandoo ndio Mwendazake akawakamata wale Makomandoo ila sasa Mungu nae achana na watu wanaomwamini Mungu. Akaona isiwe Tabu akapita naye vile kama tulivyoona ile mwaka jana
Ipo hiyo ndio maana mama samia kaamua kumkazia.
 
Kwa mujibu wa mashtaka katika kesi ya ugaidi waliokusudiwa kudhuliwa ni Lengai Ole Sabaya, Masoko na Vituo vya mafuta.

Hivyo basi kama viongozi wa dini wanajua ukweli wa mashtaka hayo walipaswa pia kumtembelea Ole Sabaya ambaye siku hizi anavaa Rozari na kumwomba asamehe.

Wamkumbushe tu ile Sala ya " Baba Yetu Uliye Mbinguni " Sina hakika kama msamaha unaoombwa ni wa KIIMANI au Kisiasa ila nilicho na uhakika nacho Msamaha huombwa na yule Mkosaji ikiwa ni ishara ya kujutia makosa yake.

Maendeleo hayana vyama!
Pale atakapokiri ole saa mbovu, kuwa aliuasisi mpango bambikizi wa kesi mchongo ndipo mapambazuko yatakapo wadia. 🏃‍♂️
 
Back
Top Bottom