Benki ya Dunia inashuhudia uchumi wa Tanzania ukipanuka hadi kufikia asilimia 5.5 mwaka huu
Mshiriki akiwa amesimama karibu na nembo ya Benki ya Dunia katika Shirika la Fedha la Kimataifa -...
Dunia inaenda kasi sana, hivyo hivyo technolojia na ugunduzi wa mashine na vifaa mbalimbali.
Kasi ya ukuaji wa science na silaha za maangamizi kama atomic bomb wakati uhai wake ulimfanya Albert...
Wanabodi,
Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania katika mkutano wake Mkuu wa 77 uliofanyika makao makuu Kurasini kuanzia tarehe 21-25 Juni 2021 walifanya uchaguzi wa Viongozi...
Somebody said, AirPods journalist is looking towards being District Commissioner or equivalent in this regime.
FYI my Brother Mshambuliaji, hawa ndugu zetu pale wapo kihalali na walihamishwa toka...
Leo Alhamisi Februari 24,2022 Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuachia huru aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhani Madabida na wenzake watano baada ya...
Chama cha ACT Wazalendo kimepokea kwa faraja hatua ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwanusuru Watanzania walioko nchini Ukraine nchi ambayo iko vitani na Urusi.
Taarifa ya Wizara...
Wakili wa mjibu maombi Paul Makonda, ameieleza Mahakama ya wilaya ya Kinondoni kuwa mteja wake bado hajapokea hati yoyote ya wito wa Mahakama dhidi yake, zaidi ya kuzipata taarifa hizo kupitia...
Watanzania wenzangu, kuna kitu hakiko sawa!
Tutachanganyiwa lugha zote kuwa tunafungua nchi kumbe kuna hila ndani yake.
Sikubaliani kabisa viongozi kuzunguka dunia nzima kuomba pesa na...
Na Bwanku M Bwanku.
Dubai pale Falme za Kiarabu (UAE) kwa sasa ni moja ya maeneo maarufu yanayotembelewa na watu wengi sana kila siku na kila mwaka. Kwasasa Dubai kunasifika ulimwenguni kote kwa...
Habari ndio kama mnavyoisikia ndugu zangu, mzee wa vijisenti ambaye inasemekana ana akili nyingi kuliko wagombea wengine wote waliokwishachukua fomu, leo tarehe 12/01/2022 amejitosa kwenye...
Habari za jioni wana Jamii Forums, kwa kweli nimeona suala la ndugu Watanzania walioko Ukraine kutakiwa kurudi Tanzania na wengine kutolewa na mataifa yao sababu kubwa ni nini? Putin anahusikaje...
Upinzani wa Tanzania huwa una udhaifu mmoja mkubwa hasa baada ya uchaguzi mkuu. Kugeukana na kumpa credit CCM kipindi ambacho mshikamano unahitaji.
Tuchukue mifano mitatu mikubwa.
1. Mwaka 2015...
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka ametolea ufafanuzi kuhusu ziara za Rais Samia Suluhu Hassan kwenye Mataifa mbalimbali ambazo zimeendelea kulifungua...
Sina wasi kabisa 2025 CCM inawekwa benchi.
Sasa Chadema tunahitaji mambo haya yawe ya mwanzo.
1) Kushusha bei ya umeme kiasi ya kila nyumba kuweza kutumia air condition maana sasa joto...
Juzi nilipita hapa na andiko juu ya utendaji usioridhisha utendaji wa mazoea business as usually kwa ofisi ya Msemaji Mkuu wa serikali: kurugenzi idara ya habari Maelezo.
Baada ya Rais...
Leo nakuja na aina nyingine ya mawazo kwa dhamira njema ya nchi yangu na taifa, hii siyo kwa ajili ya maslahi ya mtu mmoja mmoja ila kwa maslahi ya nchi
Hivi toka uhuru hakujawahi kutokea mjumbe...
Mwanaharakati na Mpigania haki za Binadamu Titto Magoti , amefungua kesi ya Kikatiba Mahakamani , akipinga wafungwa kunyimwa haki ya kupiga kura na kuchagua viongozi wanaowataka .
Washitakiwa...
Najua ntashambuliwa sana, ila kwa kifupi combinations ya Nape, Mwigulu na Makamba ndani ya Dubai Sina Imani nayo kabisa.
Kwanini nasema hivyo?
Historia za hawa vijana wenzetu ziko wazi na hakuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.