Mwanaharakati na Mpigania haki za Binadamu Titto Magoti , amefungua kesi ya Kikatiba Mahakamani , akipinga wafungwa kunyimwa haki ya kupiga kura na kuchagua viongozi wanaowataka .
Washitakiwa...
Najua ntashambuliwa sana, ila kwa kifupi combinations ya Nape, Mwigulu na Makamba ndani ya Dubai Sina Imani nayo kabisa.
Kwanini nasema hivyo?
Historia za hawa vijana wenzetu ziko wazi na hakuna...
Sishangai sana kwani hata katika Ustaarabu Kihistoria barani Afrika ulianzia hasa nchini Ghana.
Sishangai mno kwani hata Siasa bora na Demokrasia iliyokomaa Barani Afrika ilianzia nchini Ghana...
Hali ni tete kwa wabunge wa CCM wanaoenda majimboni kwao, kufanya mikutano ya hadhara na wananchi wao. Katika hali ya kushangaza wabunge wa CCM waliopata kura za kihistoria kwa kupata ushindi...
Waziri wa Habari na Mawasiliano ya Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye, leo Alhamisi amesema atatoa leseni za kuanza kuchapishwa kwa magazeti ya MwanaHALISI, Tanzania Daima, Mseto na Mawio “Kifungo...
Yeye ndie alieanzisha kitu hiki ambacho hakipo duniani nchi yoyote ile zaidi ya hapa kwetu.
Haiingii akilini vya upande A ni vya upande B lakini vya upande B si vya upande A, Very bitter...
Huyu jamaa alikua ni miongoni mwa walinzi wa Rais JPM tena wale ambao ni very special ambao wanakua in a close yard na rais, siku za hivi karibuni alikua haonekani kabisa kwenye misafara ya anko...
WanaJF Mungu mwema siku zote na niwasalim kila mmoja KWa imani yake popote mlipo nje na ndani nchi.
Sitakuwa na maneno mengi,ila kichwa Cha habari chajieleza.
Leo Tanzania tupo na dini nyingi...
Karibia viongozi wote waliohutubia jana Ikulu walimsimanga na kumchambua vilivyo Ndugai wakiongozwa na Rais Mwenyewe.
Ni Waziri Mkuu Majaliwa pekee ambaye hakugusa kabisa wala kuchambua kauli za...
Kwa anayejua Tafadhali kabla ya ile mikataba ya Kijermani na Kiingereza hali ilikuwaje.
Nimesoma mahali kuwa hata baba yake Obama siyo mkenya ni mtanzania ndio maana Obama alifika hadi Tarime kwa...
Wananchi wa wa kata ya Loya jimbo la Igalula wanataka majibu ya ahadi zako kuhusu mambo yafuatayo:-
1.Ukarabati makini wa Barabara ya Mabeshi - Loya hasa baada ya mafuriko ya mwaka huu! Hadi sasa...
Wengi wanahoji kwanini Rais SSH anasafiri sana nje! Jibu ambalo linahitaji mtazamo mpana sana ni kwamba KULE NJE ANAKUWA "EXPOSED" NA MAZINGIRA YA KIMAENDELEO na namna dunia inavyosonga mbele kwa...
Waziri wa Mambo ya nje Mh Mulamula amewataka watanzania takribani 300 walioko Ukraine wajitahidi waweze kuingia Poland ambako uratibu unafanyika.
Mulamula amesema ameona ubaguzi unaoendelea...
Wanaukumbi.
CHADEMA ILITUMIA MILIONI 377 NJE YA BAJETI
Ukaguzi umebaini Tsh. 100,000,000 zilitumika kwa shughuli ambazo hazikuwepo kwenye bajeti Chama kilinunua Magari 5 kwa 227,430,000 na...
SADC imezindua kituo cha Kupambana na Ugaidi jijini Dar es Salaam ili kuweza kukabiliana na ugaidi unaotamalaki barani Afrika.
Waziri wa ulinzi mama Tax amesema kituo hicho ni muhimu sana...
Leo mtandao wa Mwanahalisi umemnukuu Dr. Wilbroad Peter Silaa akisema kwamba wananchi wanaosema kuwa 'Mbowe sio Gaidi' wanamkera Sana kwani hawapaswi kusema hivyo Ila waiachie Mahakama!
Hakusoma...
Tanzania imetangaza kua kutakua na ukaguzi wa vyombo vyote vya usafiri vya moto kwa mwezi March, na hela itakayopatikana itatumika kununua usafiri kwa mapolisi.
Ni majuzi kama sii Aug au sept...
Tarehe 13 mwezi August mwaka 1990 magazeti yote ya Tanzania yalikuwa na vichwa vya habari vilivyohusu kujiuzulu kwa baraza la mawaziri jana yake yaani tarehe 12.
Taarifa hizo zilisema kuwa katika...
Nitafurahi sana nikipata audio Clip ambayo itazidi dk 5 Rais wetu Mpendwa akichana mistari kwa kiingereza katika mahojiano au maelezo flani sehemu yoyote. Iwe imenyooka haijaungwa ungwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.