Mbowe kuachiliwa, pigo kubwa kwa wasiotutakia Mema kama Nchi

brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
27,822
35,817
Mh. Mbowe yuko huru kama ilivyosemwa kwenye hukumu, "bila ya masharti yoyote."

Iwe ni kwa uamuzi huru wa mahakama au kuna mkono wa mama ndani yake, pana watu wamechanganyikiwa wasijue kulikoni.

"Kwamba, ni mwiba mchungu mno kwa wasiotutakia mema kama nchi."

Wasikie sasa wale manguli wa kile chama waliokuwa kutwa kujiapiza kuwa Mbowe ni gaidi:

IMG_20220305_142520_295.jpg

Sasa imekuwa:

"Mbowe CCM B. Mbowe System. Mbowe kasaliti Chadema. Mbowe hana tofauti na Zitto. Mbowe mwuungwana kuliko Lissu. Alichofanya Mbowe na Lissu ni sawa na alichofanya Zitto au Sheikh Zuberi, nk nk."

Kwamba kila mmoja na lake, ila kimsingi ni full kuchanganyikiwa. Nani hakujua hii nchi ilihitaji maridhiano? Maridhiano yanapatikana vipi bila mazungumzo?

Misahafu inasema si kila aitaye "bwana, bwana .. kuwa atauona ufalme wa mbinguni."

Mama na awajue sasa wamlao nguoni mwake.

Kwamba mama Samia hatimaye kaongea ana kwa ana na Mh. Mbowe na pia Tundu Lissu, yumkini kama hakuwahi kuhusika atakuwa sasa kaipata tafsiri halisi ya picha hii:

IMG_20220305_151655_415.jpg

Kwamba pana watu hawaitakii mema nchi hii. Kwamba baadhi yao hata wanajua waliko Moses Lijenje, Ben Sanane, Azory au nani waliokuwa kwenye viroba?

Yetu sasa macho.

Kwamba sasa tunajua anajua. Kutokea hapa mikutano ya siasa inakwenda je, vipi kuhusu katiba mpya, vipi kuhusu uwajibikaji, na yote ya namna hiyo?

Ni muda muafaka kwake wa kujitenga na hayo ya nyuma.

Yumkini inafahamika vyema sasa - "kikulacho ki nguoni mwako."
 
Samia ameona bila Mbowe kuwa huru hawezi kufanikisha cho chote katika kuwaletea wananchi maendeleo!

Hapo ni kumfurusha Zirro na yule aliyetokomea na mzee Kakobe anajizolea points zote 3 muhimu kwa kuanzia.

Nchi imejengwa katika fitina sana hii. Huu ulikuwa muda wake wa kuwaruka watu kimanga.
 
Mh. Mbowe yuko huru kama ilivyosemwa kwenye hukumu, "bila ya masharti yoyote."

Iwe ni kwa uamuzi huru wa mahakama au kuna mkono wa mama ndani yake, pana watu wamechanganyikiwa wasijue kulikoni.

"Kwamba ni mwiba mchungu mno kwa wasiotukakia mema kama nchi."

Wasikie sasa wale manguli wa kile chama waliokuwa kutwa kujiapiza kuwa Mbowe ni gaidi:

View attachment 2139895

Sasa imekuwa:

"Mbowe CCM B. Mbowe System. Mbowe kasaliti Chadema. Mbowe hana tofauti na Zitto. Mbowe mwuungwana kuliko Lissu. Alichofanya Mbowe na Lissu ni sawa na alichofanya Zitto au Sheikh Zuberi, nk nk."

Kwamba kila mmoja na lake, ila kimsingi ni full kuchanganyikiwa. Nani hakujua hii nchi ilihitaji maridhiano? Maridhiano yanapatikana vipi bila mazungumzo?

Misahafu inasema si kila aitaye "bwana, bwana .." kuwa atauona ufalme wa mbinguni.

Kwamba mama Samia hatimaye kaongea ana kwa ana na Mh. Mbowe na pia Tundu Lissu, yumkini mama atakuwa kama hakuwahi kuhusika kaipata tafsiri halisi ya picha hii:

View attachment 2139885

Kwamba pana watu haaiwatakii mema nchi hii. Kwamba baadhi yao hata wanajua waliko Moses Lijenje, Ben Sanane, Azory na hata nani walikuwa kwenye viroba. Yetu sasa macho.

Kwamba sasa tunajua anajua: kutokea hapa mikutano ya siasa inakwenda je, vipi kuhusu katiba mpya, vipi kuhusu uwajibikaji, na yote ya namna hiyo ni muda wake kujitenga na ya nyuma.

Yumkini inafahamika vyema kikulacho ki nguoni mwako.
Well written brazaj. Siasa hazina permanent enemy wala permanent friend. Hakuna haja ya kuanza kuuliza Mbowe katokaje au nani mshindi kati ya Samia na Mbowe. Hii nchi ni yetu wote, tushirikiane kuifanya ni mahali pema pa kuishi kuliko ilivyokuwa miaka 5 iliyopita.
 
Kuna mamburumundu hayaeleweki yataelimika lini. Kutwa kucha kuchochea mifarakano:

Tuwatambue wanaohaha kutusambaratisha kama Taifa

Pana haja ya kuwakana hadharani ma Nyani Ngabu wa namna hii wakiwamo kina Mr Dudumizi, Wakudadavuwa, na wenzao.

Au nasema uongo mama D?

Hatuwezi kuishi bila chuki ila ni mitafaruku tu isiyokuwa na tija?
 
Watu wako kama mawe hawawezi kusogea mpaka wasogezwe. Mbowe kwenda ikulu imekuwa nongwa wakati akiwaambia anataka majadiliano walikuwa wanamuunga mkono, kuna misimamo ya kishamba isiyoeleweka kabisa.

Katiba Mpya, Tume Huru na mengine mnataka kuufikisha ujumbe, huo ujumbe ungefikaje bila mazungumzo? muhimu kwenye mazungumzo ni mzungumzaji atambulike msimamo wake, hiyo ndio turufu yake, lakini kukataa mazungumzo generally ni uchizi kwani wakiambiwa washindane nao physically wataweza?

Siasa za kununiana, kuwindana, kufungwa kwa uongo, na nyingine ndio wanataka zitawale nchi yetu, huku wao wapingaji wa mazungumzo wakiambiwa waandamane ili kubadilisha hali ya mambo pale mazungumzo yanapofeli hakuna yeyote kati yao anayetokea, wote wanajificha jf.

Kujidai una misimamo mikali ya maneno isiyoambatana na vitendo ni ushamba mtupu, hayo maneno hayawatishi chochote CCM, walikuwepo, wapo, na wanajua wataendelea kuwepo, kama kweli watu hawataki mazungumzo niwaone basi wakianza ku-organise maandamano, kinyume na hapo ni kelele tu na kujidanganya.
 
Mh. Mbowe yuko huru kama ilivyosemwa kwenye hukumu, "bila ya masharti yoyote."

Iwe ni kwa uamuzi huru wa mahakama au kuna mkono wa mama ndani yake, pana watu wamechanganyikiwa wasijue kulikoni.

"Kwamba ni mwiba mchungu mno kwa wasiotutakia mema kama nchi."

Wasikie sasa wale manguli wa kile chama waliokuwa kutwa kujiapiza kuwa Mbowe ni gaidi:

View attachment 2139895

Sasa imekuwa:

"Mbowe CCM B. Mbowe System. Mbowe kasaliti Chadema. Mbowe hana tofauti na Zitto. Mbowe mwuungwana kuliko Lissu. Alichofanya Mbowe na Lissu ni sawa na alichofanya Zitto au Sheikh Zuberi, nk nk."

Kwamba kila mmoja na lake, ila kimsingi ni full kuchanganyikiwa. Nani hakujua hii nchi ilihitaji maridhiano? Maridhiano yanapatikana vipi bila mazungumzo?

Misahafu inasema si kila aitaye "bwana, bwana .." kuwa atauona ufalme wa mbinguni.

Kwamba mama Samia hatimaye kaongea ana kwa ana na Mh. Mbowe na pia Tundu Lissu, yumkini kama hakuwahi kuhusika atakuwa sasa kaipata tafsiri halisi ya picha hii:

View attachment 2139885

Kwamba pana watu hawaitakii mema nchi hii. Kwamba baadhi yao hata wanajua waliko Moses Lijenje, Ben Sanane, Azory au waliokuwa kwenye viroba? Yetu sasa macho.

Kwamba sasa tunajua anajua. Kutokea hapa mikutano ya siasa inakwenda je, vipi kuhusu katiba mpya, vipi kuhusu uwajibikaji, na yote ya namna hiyo, ni muda wake kujitenga na hayo ya nyuma.

Yumkini inafahamika vyema - kikulacho ki nguoni mwako.
Hivi,huyo bwana mkubwa Slaa ndiyo alisema kupigwa kwa Lissu risasi ni jambo la kawaida?Dokta simuelewi amekuwaje! Mengine,hata akiulizwa kwa nguvu,agome kujibu hapohapo.Awe anajipa muda wa kutafakari kwanza.
 
Watu wako kama mawe hawawezi kusogea mpaka wasogezwe. Mbowe kwenda ikulu imekuwa nongwa wakati akiwaambia anataka majadiliano walikuwa wanamuunga mkono, kuna misimamo ya kishamba isiyoeleweka kabisa.

Katiba Mpya, Tume Huru na mengine mnataka kuufikisha ujumbe, huo ujumbe ungefikaje bila mazungumzo? muhimu kwenye mazungumzo ni mzungumzaji atambulike msimamo wake, hiyo ndio turufu yake, lakini kukataa mazungumzo generally ni uchizi kwani wakiambiwa washindane nao physically wataweza?

Siasa za kununiana, kuwindana, kufungwa kwa uongo, na nyingine ndio wanataka zitawale nchi yetu, huku wao wapingaji wa mazungumzo wakiambiwa waandamane ili kubadilisha hali ya mambo pale mazungumzo yanapofeli hakuna yeyote kati yao anayetokea, wote wanajificha jf.

Kujidai una misimamo mikali ya maneno isiyoambatana na vitendo ni ushamba mtupu, hayo maneno hayawatishi chochote CCM, walikuwepo, wapo, na wanajua wataendelea kuwepo, kama kweli watu hawataki mazungumzo niwaone basi wakianza ku-organise maandamano, kinyume na hapo ni kelele tu na kujidanganya.

Sidhani kama kuna mwana CDM anataka haya:

"Siasa za kununiana, kuwindana, kufungwa kwa uongo."

Labda kama ni mamluki.

CDM iliandika barua kuomba mazungumzo. Imekuwa ikiomba maridhiano. Kikwazo cha yote nani asiyekijua?

IMG_20220305_151655_415.jpg

Wasiotaka mazungumzo, wenye kupinga mama kufanya mazungumzo na CDM na wasiotaka maridhiano - wamenyoa viduku na wamevalia kama timu ya wananchi.

Zaidi sana vibaraka wao wako hapa:

IMG_20220306_053509_333.jpg
 
Hivi,huyo bwana mkubwa Slaa ndiyo alisema kupigwa kwa Lissu risasi ni jambo la kawaida?Dokta simuelewi amekuwaje! Mengine,hata akiulizwa kwa nguvu,agome kujibu hapohapo.Awe anajipa muda wa kutafakari kwanza.

Wavumao baharini papa, lakini na wengine wapo:

Waunga juhudi wote (Mollel, Lijualikali, Mashinji, Waitara, Nassari, nk), Covid 19, jamaa wa majalalani, Mlawa nk, wote baba mmoja mama mmoja!
 
Na kibaya zaidi alishikiwa akili na lile shangingi Jose alilopora kwa Bwana Mahimbo wa Bandarini,lakini karma ilivyokuwa hairembi na yeye kaporwa vile vile amebakia kuropoka ropoka tu kama anakaribia kukata roho
Dah!Usiwe unaeleza ukweli kiasi hicho mkuu!Mwanaume wa Kiafrika ukitaka umuweze na achanganyikiwe mpore mke.Hata uibe fedha nyingi au mifugo yake,ataishia kukushtaki tu.Gusa mke,umegusa ile sehemu ya ubongo itunzayo ukichaa.😂😂😂😂
 
Mh. Mbowe yuko huru kama ilivyosemwa kwenye hukumu, "bila ya masharti yoyote."

Iwe ni kwa uamuzi huru wa mahakama au kuna mkono wa mama ndani yake, pana watu wamechanganyikiwa wasijue kulikoni.

"Kwamba, ni mwiba mchungu mno kwa wasiotutakia mema kama nchi."

Wasikie sasa wale manguli wa kile chama waliokuwa kutwa kujiapiza kuwa Mbowe ni gaidi:

View attachment 2139895

Sasa imekuwa:

"Mbowe CCM B. Mbowe System. Mbowe kasaliti Chadema. Mbowe hana tofauti na Zitto. Mbowe mwuungwana kuliko Lissu. Alichofanya Mbowe na Lissu ni sawa na alichofanya Zitto au Sheikh Zuberi, nk nk."

Kwamba kila mmoja na lake, ila kimsingi ni full kuchanganyikiwa. Nani hakujua hii nchi ilihitaji maridhiano? Maridhiano yanapatikana vipi bila mazungumzo?

Misahafu inasema si kila aitaye "bwana, bwana .." kuwa atauona ufalme wa mbinguni. Mama na awajue sasa wamlao nguoni mwake.

Kwamba mama Samia hatimaye kaongea ana kwa ana na Mh. Mbowe na pia Tundu Lissu, yumkini kama hakuwahi kuhusika atakuwa sasa kaipata tafsiri halisi ya picha hii:

View attachment 2139885

Kwamba pana watu hawaitakii mema nchi hii. Kwamba baadhi yao hata wanajua waliko Moses Lijenje, Ben Sanane, Azory au waliokuwa kwenye viroba?

Yetu sasa macho.

Kwamba sasa tunajua anajua. Kutokea hapa mikutano ya siasa inakwenda je, vipi kuhusu katiba mpya, vipi kuhusu uwajibikaji, na yote ya namna hiyo?

Ni muda muafaka kwake wa kujitenga na hayo ya nyuma.

Yumkini inafahamika vyema - kikulacho ki nguoni mwako.
Wamekasirika sana. Wengie waliongea maneno hovyo hovyo hawakujua.
 
Back
Top Bottom