The Palm Tree
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 7,951
- 12,535
This is absolutely strange indeed.
Ni wazi kuwa Rais Samia Suluhu Hassan ameona mwezi, macho ya kuuona ukweli yamefumbuka.
Hebu jaribu kufikiri vizuri kidogo. Kwamba, Rais Samia Suluhu all the way kutoka Brussels - Belgium kuonana na kuzungumza na National CHADEMA Vice Chairpersnon, ndugu Tundu Lissu.
Jana, tukaona DPP aki - surrender mwenyewe kuendelea na kesi ya mchongo dhidi ya Mwamba Freeman Mbowe, The National CHADEMA Chairperson.
Lakini la kushangaza na pengine kutia moyo, ikiwa ni masaa machache tu baada ya kutoka gerezani, mwamba akaonekana Ikulu akifanya mazungumzo na Rais.
Baada ya kutoka kwenyevuwazi, wote kwa pamoja wakasisitiza kuwa maudhui ya mazungumzo yao msingi wake ni kufanya siasa za KUAMINIANA katika misingi wa HAKI na AMANI.
Honestly, mimi nimeipenda sana hii.
Kwangu mimi, nataka niamini kuwa kuwa, Mama Samia Suluhu Hassan, Rais wa JMT amezukiwa na mwanga wa neema na rehema ya Mungu muumba. Finally anaenda kukizika mazima kivuli cha Magufuli.
It's obviousily that, mabadiliko makubwa katika serikali yanakuja si muda mrefu...!
Naisubiri Press Conference ya M/kiti CHADEMA Taifa ndugu Freeman Mbowe kwa hamu sana.
Hata kama hatasema lolote lakini through body language tutaelewa tu kilicho nyuma ya movie hii.
Karibuni tena nyumbani kina Tundu Lissu, Godbless Lema, Hezekia Wenje, Roma Mkatoliki na wengine wote mliomkimbia wakala muuaji wa shetani. Sasa amezikwa rasmi, hata kivuli chake tu hakipo tena.!