Lissu: Rais Samia akiniteua katika Serikali yake atakuwa hanipendi

Ileje

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
8,796
12,239
Akihojiwa na mtangazaji wa Star Tv bwana Odemba, Makamu Mwenyekiti wa Chadema Mh. Tundu Lissu amesema endapo Rais Samia atamteua kushika nafasi yoyote katika serikali basi atajua kuwa hampendi.

Kwa kifupi Tundu Lissu amesema hawezi kukubali uteuzi wowote ndani ya serikali kwa sababu atakuwa amezibwa mdomo kwa kutoa mawazo mbadala. Amesema yeye hawezi kuwa ndani ya serikali ili abaki huru kusema mazuri na mabaya ya serikali!
 
12 March 2022​

#MEDANIZASIASA

Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Mh. Tundu Lissu ndani ya Medani za Siasa na Chief Edwin Odemba

Source : Star TV Habari
 
Akihojiwa na mtangazaji wa Star Tv bwana Odemba, Makamu Mwenyekiti wa Chadema Mh. Tindu Lissu amesema endapo Rais Samia atamteua kushika nafasi yo yote katika serikali basi atajua kuwa hampendi.

Kwa kifupi Tundu Lissu amesema hawezi kukubali uteuzi wo wote ndani ya serikali kwa sababu atakuwa amezibwa mdomo kwa kutoa mawazo mbadala. Amesema yeye hawezi kuwa ndani ya serikali ili abaki huru kusema mazuri na mabaya ya serikali!
Hongera Tundu Lissu endeleza mapambano ya kutafuta katiba mpya!
 
Akihojiwa na mtangazaji wa Star Tv bwana Odemba, Makamu Mwenyekiti wa Chadema Mh. Tundu Lissu amesema endapo Rais Samia atamteua kushika nafasi yoyote katika serikali basi atajua kuwa hampendi.

Kwa kifupi Tundu Lissu amesema hawezi kukubali uteuzi wowote ndani ya serikali kwa sababu atakuwa amezibwa mdomo kwa kutoa mawazo mbadala. Amesema yeye hawezi kuwa ndani ya serikali ili abaki huru kusema mazuri na mabaya ya serikali!
Ukisikia hivi ujue anaomba kazi kiujanja..."mbwa akiona chatu hukunja mkia huku anamfuata akilia"
 
Mmmh yuko sure atakataa
teuzi ni level nyingine my friend.

Mama Samia natamani sana awape vyeo tuone utendaji wenu.
Kwa katiba hii ya sasa yoyote atakayepewa cheo ku flop sio jambo la kushangaza.
 
Siyo kila mtu anashobokea ajira za serikali! Wengi wanaotaka uteuzi ni wake private sector inawasulubu au wanataka kufanya ufisadi au kulinda ufisadi wao!
Unajuaje ndani ya moyo wake,je siku akipewa teuzi akakubali utafuta hii comment?
Wanasiasa usiwaamini sana.
 
Akihojiwa na mtangazaji wa Star Tv bwana Odemba, Makamu Mwenyekiti wa Chadema Mh. Tundu Lissu amesema endapo Rais Samia atamteua kushika nafasi yoyote katika serikali basi atajua kuwa hampendi.

Kwa kifupi Tundu Lissu amesema hawezi kukubali uteuzi wowote ndani ya serikali kwa sababu atakuwa amezibwa mdomo kwa kutoa mawazo mbadala. Amesema yeye hawezi kuwa ndani ya serikali ili abaki huru kusema mazuri na mabaya ya serikali!
Hapa suala siyo kuzungumza ni kutenda, nashangaa anakataa kusaidia ujenzi wa kaya anamootakiwa kuishi yeye mwenyewe!
 
Back
Top Bottom