Ikulu, Dodoma: Humphrey Polepole na Waziri Kindamba waapishwa

Baraka Mina

JF-Expert Member
Sep 3, 2020
581
574
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kutoka Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Ndg. Samia Suluhu Hassan anawaapisha viongozi aliowateua kama ifuatavyo:
  1. WAZIRI KINDAMBA WAZIRI kuwa Mkuu wa Mkoa wa Njombe.
  2. HUMPHREY HEZRON POLEPOLE kuwa Balozi wa Tanzania nchini Malawi.
Pia soma:
- Uteuzi: Rais Samia amteua Humphrey Polepole kuwa Balozi Malawi, Mchechu arudishwa NHC

polepole2.jpg

Picha: Humphrey Polepole akiapa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Malawi

kindamba.jpg

Picha: Waziri Kindamba akithibitisha kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mjombe


Chamwino.jpg

Mkuu wa Mkoa wa Njombe Waziri Kindamba Waziri akiwa pamoja na Balozi wa Tanzania katika nchi ya Jamhuri ya Malawi Humphrey Polepole wakila Kiapo cha Maadili kwa Viongozi

415F0054-F5D0-4342-81F6-E75B462DCA7C.jpeg

Picha: Rais Samia kulia akiwa na Balozi Mpya wa Malawi Humphrey Polepole


 
Hii nchi utafikiri tupo kwenye The Godfather na Kina Michael Corleone...

Na hizo ndio moja ya Offer ambazo ni very difficult ku-refuse...

Sio kwamba nasifia bali nasikitika sababu Taifa halipaswi kuendeshwa hivi
 
Hamna issue ya njaa wala nini hapo?.

But wale wazee wa kashfa pamoja na kwamba Polepole anatengezewa zengwe ili kum_dust swali NI NANI ANATAKIWA KUWA BALOZI MALAWI?
Angemteua hata Lukuvi.

Lukuvi na beshte yake kabugi wamepotezwa kwenye ulingo wa siasa. Chezeya mama wewe....
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom