Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Polisi waua majambazi 6 -MOROGORO Eline Shaidi, Morogoro Daily News; Sunday,July 20, 2008 @00:01 Polisi wamewaua watu sita wanaotuhumiwa kuwa majambazi waliovunja na kuingia kwenye chumba...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Tanzania ni moja ya soko linalokuwa zaidi barani Afrika kwenye nyanja ya dijitali, takwimu ya mwaka 2020 ikionyesha watumiaji wa internet wamefika milioni 28.5 kutoka milioni 25.8 mwaka 2019 huku...
6 Reactions
37 Replies
3K Views
Tangu jana nimekuwa nikifuatilia mitandaoni hasa humu JF katika uchunguzi wangu mdogo sana nimegundua vijana wengi sana ambao ni "Pro-CCM wamekuwa wakianzisha nyuzi za kuponda, kukashifu na hata...
3 Reactions
39 Replies
2K Views
WAZIRI MKUU-MAJALIWA KASIM MAJALIWA. KATIKA kipindi cha mwaka mmoja kilichoanzia Novemba mwaka jana mpaka Oktoba mwaka huu ambacho kimeongozwa na Serikali ya Awamu ya Tano chini Rais John...
0 Reactions
93 Replies
11K Views
Kuelekea uchumi wa viwanda nchini, serikali imefanikiwa kufufua na kuanzisha viwanda ambapo kwa sasa vinavyofanya kazi vipo zaidi ya 52,000. Sekta hiyo pia imetajwa kuwa inatarajia kukuza uchumi...
4 Reactions
275 Replies
34K Views
Katibu mwenezi CHADEMA jimbo la Hai, Humphrey anasema "alitekwa na kulazimishwa kufanya mahojiano na @ayotv_ kupinga maamuzi ya kujitoa uchaguzi serikali za Mitaa". 'syndicate' ya watekaji ni...
11 Reactions
65 Replies
7K Views
Naona hii imekuwa ndiyo mtindo wa kinara wetu kwa sasa. Akiuma huku,anapuliza upande mwingine ili kutuliza munkari wa upamde wa pili. Sasa tena baada ya uteuzi uliowaacha wengi vinywa wazi...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
"Mkurugenzi nimekuteua mimi gari nimekupa mimi, Mshahara nakulipa mimi, Nitakushangaa kumtangaza Mpinzani mshindi."- John Joseph Pombe Magufuli Hii ndio kauli Rais aliwahi kutoa kwa Wakurugenzi...
37 Reactions
132 Replies
16K Views
Na Bwanku M Bwanku. Leo Alhamisi Machi 17, 2022 kwenye Gazeti la TANZANIA LEO Ukurasa wa 6 nimechambua mafanikio na mapinduzi makubwa sana yaliyopatikana kwenye Sekta ya Madini katika kipindi...
0 Reactions
3 Replies
760 Views
Msemaji wa familia ya MO ndugu Azim Dewji amesema walipopokea simu ya MO walikimbilia eneo la tukio bila ulinzi wowote na anakiri hilo lilikuwa kosa. Nimependa busara ya Dewji maana nyakati...
12 Reactions
135 Replies
25K Views
CHADEMA ni chama Cha upinzani Tanzania lakini kina maajabu yake hasa kwa vijana mfano Jana Godlisten malisa kamuita polepole extra genious yaan na madhila polepole aliyowafanyia chadema Leo ndo...
2 Reactions
26 Replies
1K Views
Kabla ya kufariki dunia kwa aliyekuwa Rais wa awamu ya tano hayati Magufuli alitoa maagizo kwa Wizara ya Katiba na Sheria iliyokuwa inaongozwa na Dk Mwigulu Nchemba enzi hizo kuwa sheria zote...
5 Reactions
54 Replies
4K Views
04 June 2021 Baada ya kauli za kupingana kati ya ile ya waziri Prof. Palamagamba Kabudi wa serikali ya Tanzania alipohojiwa na BBC Swahili na ya msemaji wa Mkuu serikali ya Tanzania Dr. Hassan...
25 Reactions
107 Replies
11K Views
Mbunge wa Kibamba na Naibu Katibu Mkuu amezuru msibani nyumbani kwa marehemu Akwilina jioni ya leo na kutoa sslamu zake kama mbunge lakini pia na salamu za chama. Mnyika amesema wao kama chama...
10 Reactions
102 Replies
9K Views
Mkurugenzi wa Jamiiforums leo ameongelea mchango wa dijitali kwenye demokrasia ikiwemo walipofikia na changamoto zake kwenye mjadala uliofanyika Msasani, Dar es Salaam. Maxence Melo: Tulipata...
12 Reactions
18 Replies
2K Views
Binadamu tumeweka siasa Mbele maisha ya watu na utu wao nyuma. Katika kipindi chote ambacho matendo maovu ya Jeshi la Polisi yanafanyika hakuna aliyewahi kusikia Chama cha Mapinduzi wakikemea...
7 Reactions
29 Replies
2K Views
Anaandika Paul Makonda kwenye ukurasa wake instagra: ACHA NISEME NAWE KIDOGO KAKA YANGU TUNDU LISSU HASA NIKIANZA NA Shukran kwake muumba wa mbingu na ardhi kwa kumpa kaka yetu Tundu Lissu afya...
30 Reactions
539 Replies
68K Views
Mbunge wa CCM Jimbo la Hai Mkoani Kilimanjaro, Mh. Saashisha Mafue anadaiwa kuwalipa vijana walioajiriwa ajira ya muda ya Postikodi Tsh 15,000 kwa siku badala ya Tsh 30,000 kwa siku kama...
6 Reactions
56 Replies
4K Views
POLEPOLE KUWA BALOZI NI PROMOTION LAKINI........ Na Elius Ndabila 0768239284 Leo Mhe Rais amemteua Mhe Humphrey Polepole kwenda kuwa Balozi wa Tanzania nchini Malawi. Ikumbukwe kuwa Mhe Polepole...
6 Reactions
49 Replies
7K Views
Baada ya Rais Mhe. Samia Suluhu na Waziri wa Fedha Mwigulu kutoa pesa za IMF kwa manunuzi ya vifaa mbalimbali hospitali za mikoa kwa nia ya kuboresha Afya, Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya alikasimu...
1 Reactions
3 Replies
994 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…