johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,924
- 141,891
Msemaji wa familia ya MO ndugu Azim Dewji amesema walipopokea simu ya MO walikimbilia eneo la tukio bila ulinzi wowote na anakiri hilo lilikuwa kosa. Nimependa busara ya Dewji maana nyakati nyingine mnaweza kuingia kwenye mtego wa adui kirahisi.