Serikali ya Tanzania imekutana na Umoja wa Ulaya (EU) kujadili masuala mbalimbali yanayohusu Mkataba wa Ushirikiano wa Kiuchumi (EPA) kati ya Umoja huo na Tanzania.
Akiongea wakati wa kikao cha...
Ninachokiona ni kwamba, Rais Samia ni Rais aliyeingia katika nyoyo za watu.
Ni Rais anayekonga nyoyo za watu.
Ni Rais anayefanya mambo na yanaokena. Anafanya maendeleo ya vitu na Watu.
Ni Rais...
Kiongozi wa Chama cha ACT wazalendo Zitto Kabwe amemshauri waziri wa nishati January Makamba apeleke DSE 20% ya hisa za Tanesco zikauzwe na fedha itakayopatikana itumike kulipa madeni ya Shirika...
Ndugu WanaJF,
Kuna taarifa njema hapa.
Kuelekea uanzishwaji wa Sarafu ya Pamoja na Benki Kuu ya Afrika Mashariki, Waziri wa Fedha amepigia chapuo Taasisi ya Fedha (East African Monetary...
Vyama Vikubwa vya Siasa nchini hasa vya upinzani vimekuwa vikilalamikia mchakato mzima wa uchaguzi kwenye nyanja zote, madai yao makubwa ni kuwa chama Tawala (CCM) kimekuwa kikibebwa na kupewa...
Rais Samia Suluhu Hassan amesema kauli yake aliyowahi kuitoa BBC Swahili kuhusu Freeman Mbowe haina athari kwa mahakama na mwendesha mashtaka.
Rais alisema Mbowe alifanya hesabu za kisiasa kwani...
Makomandoo hao ambao ni Walinzi wa Freeman Mbowe kwa kinachoitwa ( VIP PROTECTION ), waliokamatwa na kuwekwa Gerezani kwa miezi mingi, leo wamefika Hai Mkoani Kilimanjaro pamoja na Mtuhumiwa...
Ni taarifa rasmi iliyotolewa na CHADEMA kuwa Halima Mdee na wenzake 18 walifukuzwa uanachama wa CHADEMA kwa makosa mbalimbali waliyoyatenda dhidi ya chama chao. Walifukuzwa na Kamati Kuu ya chama...
Ni ile Jumuiya ya Afrika mashariki iliyokufa mwaka 1977.
Tanzania tuliaminiwa katika mambo ya siasa na porojo baada ya kupata Uhuru mezani bila ya mapambano.
Kenya iliaminiwa katika eneo la...
Spika wa Bunge, Dk. Tulia Ackson akizungumza na Wahariri wa Vyombo vya Habari. leo Februari 14, 2022 ameeleza kuwa Mdee na wenzake 18 wako bungeni kihalali:
“Uharamu haupo kwasababu hawezi kuwa...
Serengeti. Serikali ya Tanzania na Kenya zimekamilisha uwekaji vigingi katika mpaka unaoigawa Tanzania na Nchi ya Kenya katika hifadhi ya Taifa ya Serengeti na hivyo kufanikiwa kumaliza mgogoro wa...
Yanayoendelea ndani ya chama changu pendwa cha CCM yanahuzunisha na naweza kutabiri keamba huko mbeleni inaenda kuwanufaisha wananchi kwa nini nasema hivi;
Kwanza hoja ya Tozo inaenda...
SERIKALI IMEUNGANA NA DUNIA YA KWANZA KUWAKANDAMIZA MASIKINI. NAMI NASEMA WAMALIZENI KABISA
Na, Robert Heriel
Kusoma wakati mwingine sio kuelimika, ninaushahidi wa kutosha usiotia Shaka kuwa...
Chadema wanajulikana tangia siasa za vyama vingi zianze kuwa hawana uwezo wa kuendesha siasa bila ya kufanya harakati za kisiasa ili kujifanya kuna vuguvugu wanalidai kwa manufaa ya umma.
Mkuu wa...
Pamoja na mapungufu yake yote, Mzee wa Upako ni mmoja wa viongozi wachache wa dini waliojitokeza hadharani kukemea kitendo cha wewe kuwekwa ndani bila kujali gharama anayoweza kulipa kwa uamuzi...
BAADHI YA NUKUU ZA KATIBU MWENEZI CCM TAIFA SHAKA HAMDU SHAKA KATIKA KONGAMANO LA KUMPONGEZA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KUTIMIZA SIKU 365 ZA UONGOZI NCHINI.
#KaziIendelee
#ChamaImara...
Hakika watanzania wameshuhudia mwaka mmoja wenye giza na kukosa matumaini tena kwa serikali yao tangu awamu ya 6 iingie madarakani.
Je,Tanzania ingekuwa wapi kama ingepata kiongozi mzalendo?
1...
Ikiwa leo ni siku ambayo Freeman Mbowe anamshukuru Mungu kwa yote aliyopitia kwa kutoa Sadaka Maalum kwenye kanisa la KKKT Nshala , Machame , Umati mkubwa wa Waumini umehudhuria ibada hiyo kiasi...
Uchaguzi wa 1995 nilikuwa mdogo Primary School nakumbuka Mrema alishinda 1995, aliongoza mikoa 7 yenye nguvu Dar, Kilimanjaro, Arusha, Mbeya, Mwanza, Tanga, Kagera na Tume ya uchaguzi ikafuta...
With The permanent secretary in the ministry of foreign affairs and international cooperation Mr. John Haule
Msiniulize vetting ya yeye kupewa Ubalozi huko Guangzhou China ilifanya lini, na nani...