Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ni muhimu kuwepo sheria ya uchaguzi ambayo itakataza Rais wa nchi ya Tanzania asiwe Mwenyekiti wa chama chochote Cha siasa wakati anagombea na wakati akiwa madarakani. Hii itasaidia Rais...
7 Reactions
23 Replies
1K Views
Mhashamu Baba Askofu Mkuu Renatus Nkwande wa Jimbo Kuu Katoliki la Mwanza anawaalika waamini na watu wote wenye mapenzi mema katika adhimisho la Misa Takatifu ya kumuombea pumziko la milele...
54 Reactions
609 Replies
28K Views
Taarifa kutoka CCM zinadokeza kwamba katika maandalizi ya chaguzi za ndani yameibuka mapendekezo kwamba Mtu mmoja hapaswi kuwa na vyeo viwili , kwa mfano huwezi kuwa RC halafu ukawa kiongozi wa...
8 Reactions
70 Replies
6K Views
Baada ya kuona kabisa kwamba tuko kwenye uelekeo ambao hauna dira, napemda kutoa Rai kwa Chama cha Mapinduzi 2025 mtuletee mgombea Urais mwenye dira maono na mwenye uchungu na Rasilimali za nchi...
22 Reactions
73 Replies
4K Views
Aliyekuwa mbunge wa viti maalum CHADEMA na Katibu mkuu BAWACHA ndugu Catherine Ruge amedai kwamba wakati akiwa mbunge akifanyia kazi kamati ya PAC alitishiwa kifo na aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa...
36 Reactions
134 Replies
15K Views
Akijibu swali la mtangazaji wa ITV Midle kuhusu uchunguzi ulipofikia kwenye tukio la kushambuliwa Tundu Lisu mbunge by then mh Simbachawene amesema yapo matukio mengi ya kutumia silaha...
2 Reactions
62 Replies
7K Views
Kauli za Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu wakati akipokea chanjo aina ya Sinovac dozi milioni moja kutoka Serikali ya Uturuki, leo Machi 23, 2022. "Kwa niaba ya Serikali chini ya Mhe. Samia Suluhu...
2 Reactions
25 Replies
2K Views
Tuzo hiyo inatokana na kazi alizozifanya alipokuwa Waziri wa Maji , ambapo inatajwa kwamba alifika nchini Misri ili kuwapigania wakazi wa Kanda ya Ziwa victoria ili wapate haki ya kutumia maji ya...
4 Reactions
17 Replies
2K Views
Mbowe amehojiwa na BBC na kusema aliposhtakiwa kwa ugaidi alidhani ni utani lakini hakushangaa kutokana na upinzani unavyonyanyaswa nchini Tanzania. Chanzo: BBC Dira ya Dunia Mahojiano yanaendelea.
19 Reactions
87 Replies
7K Views
Wanabodi, Misaada na mikopo iliwahi kuwa mizuri katika kuleta maendeleo haswa katika kipindi cha baada ya vita vikuu vya pili vya dunia. Nchi kama Uingereza na Ufaransa zilipata maafa makubwa...
11 Reactions
45 Replies
4K Views
Taarifa ya uchafuzi wa mto mara na kufa kwa samaki, je taarifa iliyotolewa imejaa siasa au uhalisia? Au ni mkakati maalum kama tulivyoanza na machinga (wanachafua jiji) tukaja kwa wamasai...
5 Reactions
34 Replies
3K Views
Kipenga kimepulizwa kwamba tupo Hadi 2030, hapo Bado miaka minne kuelekea uchaguzi. Je, 2025 tutegemee uchaguzi au tubaki kusubiri uchafuzi? Kibaya zaidi kamati inayojadili mambo ya Muda mfupi...
1 Reactions
2 Replies
538 Views
Raisi Samia nakupa mawazo tu kusaidia nchi yetu. Pamoja na mazuri Mengi aliyofanya Hayati Magufuli **** jambo baya kubwa sana ambalo kwa wengi linafunika mazuri yake mengi. Jambo hili ni kuagiza...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Mbunge wa Jimbo la Butiama (MB), Jumanne Abdallah Sagini ambaye pia ni Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi amewataka wananchi wa jimbo lake la Butiama kuondoa hofu kuhusu Mto Mara uliokuwa...
1 Reactions
33 Replies
3K Views
Viongozi na watawala wakijitahidi kufanya haki, uadilifu na usawa, wanaharakati watakosa kazi ya kufanya. Wanaharakati ajira yao kubwa inayowakalisha mjini ni udhalimu unaofanywa na viongozi au...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Ni ushauri tu! Kwa kasi sana tunaona wanavyojitahidi, kutengengeneza mazingira ya kukusogelea zaidi. Walianza na mechi ya kumchangia yule mtoto mgonjwa. Na kwa mara ya kwanza tangu uingie...
55 Reactions
201 Replies
15K Views
Habari! Hii habari nimeileta hapa kama tetesi ili kujilinda na watu wapumbavu ambao hao kila kitu utawasikia wanauliza source au kutaka utaje jambo direct. Kuna baadhi ya mambo hayapaswi kuwekwa...
0 Reactions
6 Replies
758 Views
Nimeangalia clip kadhaa Mama akiwa aidha anaongea ama anahojiwa, kuna hali anakuwa nayo anapojibu maswali ya kuonyesha kutoweza kudhibiti hisia zake. Kama kiongozi anapaswa kuwa na busara ya...
47 Reactions
251 Replies
17K Views
Ukiacha kelele zinazopigwa kwa nguvu Sana hapa nchini Tanzania za kutakiwa, Freeman Mbowe aachiwe huru, kutokana na makosa yanayoonekana wazi kuwa Jeshi la Polisi nchini limeamua "kubambika" ya...
22 Reactions
169 Replies
13K Views
wakuu ningependa kufahamu maelezo (cv) ya mbunge januari makamba. Kuanzia elimu yake, (na alama alizopata) na maisha yake kwa ujumla. Na ni sifa gani ya pekee ambayo ilimfanya apate nafasi ya...
12 Reactions
351 Replies
81K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…