Rais asiwe Mwenyekiti wa chama ili kuleta Ushindani wa Haki wa kisiasa

econonist

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
15,755
21,747
Ni muhimu kuwepo sheria ya uchaguzi ambayo itakataza Rais wa nchi ya Tanzania asiwe Mwenyekiti wa chama chochote Cha siasa wakati anagombea na wakati akiwa madarakani. Hii itasaidia Rais kujiweka asilimia Mia moja kwenye Mambo ya serikali na sio chama. Pia itamsaidia Rais kutokupendelea chama chake na baadala yake kuwaunganisha wananchi.

Kwa Tanzania tunapata shida Sana kulikubali suala la Ushindani wa kisiasa. Kwa Tanzania Ushindani wa kisiasa hakuna kabisa maana chama kimoja kimehodhi mchakato wote wa kisiasa, kwa sababu Rais was nchi ndiye Mwenyekiti wa chama kinachotawala CCM.

Kwa mfano

1. Rais wa nchi ambaye Ni Mwenyekiti wa CCM ndiye mwenye mamlaka ya kuamua Kama vyama vya siasa vifanye mikutano ya hadhara ama la. Kwa Sasa Kuna katazo la vyama vya siasa la kufanya mikutano ya hadhara kwa miaka Saba 7 Sasa.

Yani Mwenyekiti wa CCM anaviamulia vyama vingine visifanye siasa kabisa.

2. Rais wa nchi ambaye ni Mwenyekiti wa CCM ndiye mwenye mamlaka ya kuamua spika wa bunge aongee Nini na asiongee nini.

Na wabunge walliowengi wanaogopa kwenda kinyume na Mwenyekiti wao wa chama maana wanaweza wasirudi au kufutiwa uanachama. Hivyo bunge kwa kumtii Mwenyekiti wa CCM limekuwa kibogoyo na chombo Cha kusifia hata maamuzi yasiyofaa.

Kwa mfano, Bunge Ni chombo Cha wananchi na sio serikali. Spika wa bunge anapoongea anawakilisha maoni ya wananchi, lakini juzi Happ Spika Ndugai Kama spika alipopishana kauli na Mwenyekiti wake wa chama, ilibidi ajiuzulu.

Hii iliondoa Uhuru na mamlaka ya bunge, na sasa bunge sio mhimili unaojitegemea bali kikao cha kupitishwa mawazo ya Mwenyekiti wa chama na sio matakwa na matarajio ya wananchi.

3. Rais wa nchi ambaye Ni Mwenyekiti wa chama anamteua Mwenyekiti na Viongozi wengine wa Tume ya Uchaguzi. Inakuaje Mwenyekiti wa chama anawateulia vyama vingine mtu wa kuwasimamia uchaguzi mkuu?.

Mwenyekiti huyo huyo baada ya uchaguzi ndio anapewa ripoti ya uchaguzi na ndio anayetoa pesa kwenye Tume ya Uchaguzi. Kwa Hali hiyo unategemea Ushindani wa kisiasa utakuwa wa Haki?

Ni hitimisho kwa kusema kwamba Rais wa nchi asiwe Mwenyekiti au kiongozi wa chama Cha siasa ili ajikite kwenye masuala ya serikali na Wanachi pekee.
 
Mkwamo wa nchi ulianzia hapa..mwenyekiti wa chama kupewa na urais..hauwezi kufiti kote utaishi kuharibu tu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Wazo lako ni zuri sana lakini wasiwasi wangu ni TIHIS IS AFRICA siasa zetu hazijapevuka kwenye kuipenda nchi na watu wake, wengi wa viongozi wetu wanatanguliza maslahi yao binafsi mbele,

Hivyo wakiwa zaidi ya mmoja kwenye ngazi za juu sana huko nchi unaiweka kuangukia kwenye msukosuko wa hatari sana. Kwamba siku moja Mwenyekiti wa Chama akitofautiana na Rais, rais akafukuzwa kwenye chama unajua nini kitatokea?!?.

Majuzi tu hapa Rais alivyoaga dunia maneno yalizuka nani ataapishwa iwe kwenye hili?!?

ooh!! sijui mimi
 
Hilo liko wazi sana na ndicho kinachokifanya hicho chama kongwe kujikongoja kusikika.

Mengine yote yako wazi na yanajulikana.ila sidhani kama kwa utashi wao hilo linaweza kufanyika labda muda uwabadilishie.
 
Hakuna shida Rais akiwa Mwenyekiti wa chama chake, Tatizo la Katiba yetu ni madaraka makubwa sana ya Urais.
 
Rais kuwa pia Mwenyekiti wa Chama ndio utaratibu mbovu katika uendeshaji wa Serikali. Wasomi wengi wameshindwa kutumia elimu na uzoefu wao inavyotakiwa badala yake wapoteza muda mwingi kuwaza namna ya kukutana/kujipendekeza kwa Rais kwenye masuala ya Kiserikali au ya chama kwenye masuala ya kisiasa, na hii inapelekea Rais kuwa juu ya Sheria. Siku KOFIA hizi zitakapo TENGANISHWA ndio tutashuhudia mwanzo mzuri wa maendeleo na wasomi wetu hawatakimbilia kwenye vyama vya siasa na kutekeleza TAALUMA zao.
 
Kw

[/QUOTE

Kweli kabisa.
 
Tatizo letu ni chama dola.
Uhuru Kenyatta ndiye Kiongozi mkuu wa chama cha Jubilee lakini anatengenisha majukumu yake hayo na ya Urais wa Kenya.
Aina ya katiba ndio inaleta utofauti huo.
Shida Ni kwamba atajua mipaka ya chama na serikali?. Ni wakati gani anasimama Kama Mwenyekiti na Ni wakati gani anasimama kama Rais.
 
Ni muhimu kuwepo sheria ya uchaguzi ambayo itakataza Rais wa nchi ya Tanzania asiwe Mwenyekiti wa chama chochote Cha siasa wakati anagombea na wakati akiwa madarakani. Hii itasaidia Rais kujiweka asilimia Mia moja kwenye Mambo ya serikali na sio chama. Pia itamsaidia Rais kutokupendelea chama chake na baadala yake kuwaunganisha wananchi.

Kwa Tanzania tunapata shida Sana kulikubali suala la Ushindani wa kisiasa. Kwa Tanzania Ushindani wa kisiasa hakuna kabisa maana chama kimoja kimehodhi mchakato wote wa kisiasa, kwa sababu Rais was nchi ndiye Mwenyekiti wa chama kinachotawala CCM.

Kwa mfano

1. Rais wa nchi ambaye Ni Mwenyekiti wa CCM ndiye mwenye mamlaka ya kuamua Kama vyama vya siasa vifanye mikutano ya hadhara ama la. Kwa Sasa Kuna katazo la vyama vya siasa la kufanya mikutano ya hadhara kwa miaka Saba 7 Sasa.

Yani Mwenyekiti wa CCM anaviamulia vyama vingine visifanye siasa kabisa.

2. Rais wa nchi ambaye ni Mwenyekiti wa CCM ndiye mwenye mamlaka ya kuamua spika wa bunge aongee Nini na asiongee nini.

Na wabunge walliowengi wanaogopa kwenda kinyume na Mwenyekiti wao wa chama maana wanaweza wasirudi au kufutiwa uanachama. Hivyo bunge kwa kumtii Mwenyekiti wa CCM limekuwa kibogoyo na chombo Cha kusifia hata maamuzi yasiyofaa.

Kwa mfano, Bunge Ni chombo Cha wananchi na sio serikali. Spika wa bunge anapoongea anawakilisha maoni ya wananchi, lakini juzi Happ Spika Ndugai Kama spika alipopishana kauli na Mwenyekiti wake wa chama, ilibidi ajiuzulu.

Hii iliondoa Uhuru na mamlaka ya bunge, na sasa bunge sio mhimili unaojitegemea bali kikao cha kupitishwa mawazo ya Mwenyekiti wa chama na sio matakwa na matarajio ya wananchi.

3. Rais wa nchi ambaye Ni Mwenyekiti wa chama anamteua Mwenyekiti na Viongozi wengine wa Tume ya Uchaguzi. Inakuaje Mwenyekiti wa chama anawateulia vyama vingine mtu wa kuwasimamia uchaguzi mkuu?.

Mwenyekiti huyo huyo baada ya uchaguzi ndio anapewa ripoti ya uchaguzi na ndio anayetoa pesa kwenye Tume ya Uchaguzi. Kwa Hali hiyo unategemea Ushindani wa kisiasa utakuwa wa Haki?

Ni hitimisho kwa kusema kwamba Rais wa nchi asiwe Mwenyekiti au kiongozi wa chama Cha siasa ili ajikite kwenye masuala ya serikali na Wanachi pekee.
Mkuu post yako hii ni ya muhimu na ina maana kubwa sana.Ni Ukweli ulio wazi kuwa hata ndani ya CCM penyewe Rais wa nchi kuwa ndo mwenyekiti wa Chama Kuna wanyima watu wengine uhuru Kwa mfano wabunge wa CCM wanakoswa uhuru wa kuikosoa na kusimamia serikali kwa kuhofia mwenyekiti anaweza kutumia nafasi ya umwenyekiti kukufukuza uanachama hivyo unakosa sifa ya kuwa mbunge.Lakini Chama kinashindwa kuisimamia serikali yaani check and balance.Naunga mkono hoja rais asiwe mwenyekiti.
 
Shida Ni kwamba atajua mipaka ya chama na serikali?. Ni wakati gani anasimama Kama Mwenyekiti na Ni wakati gani anasimama kama Rais.
Mkuu na kwa kutojua mipaka sio Rais tu,hata wanachama wa Chama chake hawajui shughuli za chama na za Kiserikali. Kwa mfano Rais anaweka jiwe la msingi la ujenzi wa zahanati utakuta wanachama wa chama chake wamejaa kwenye shughuli hiyo utadhani ni ya kichama. Aidha ni rahisi kwa Rais kutumia fedha za Serikali kwa majukumu ya chama chake. Hata leo TADEA kikipata ridhaa ya wananchi ya kuongoza Nchi na RAIS akawa Mwenyekiti wa Chama hicho basi ndani ya mwaka mmoja Chama kitakuwa na Ofisi Kuu ya Chama itakayo jengwa kwa fedha za Umaa. WAKATI UMEFIKA TUTENGANISHE KOFIA HIZI KWA MAENDELEO YA NCHI YETU
 
Na mwenyekiti wa chama asiwe mgombea ubunge ili asilete ushindani ndani ya chama
Mathalani Lipumba anautaka ubunge wa huko Tabora, nani atampinga kwenye kura za maoni!? Si atashinda tu. Kuna hoja hapa pia.
 
Back
Top Bottom